City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la chaharbagh karaj
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la chaharbagh karaj
Kwa kuongezea kidogo hapo kwamba marekani hadhuriki:Marekani sio Mungu kwamba kila anachotaka anafanikiwa.
Twende kwa relevance mfanano na kufungwa kwa Hormuz.
-2018 US-China trade war Trump alipojishaua kuizuia Huawei isitumie google China ilimlipiza kwa kuzuia rare earth metals,vipuli vya uundwaji meli,malighafi za chuma. Mwishowe ilii hit back USA ikai slow down kwenye GDP growth.
-2025-2026 Tarrif war vivyo hivyo akipandisha ushuru China inapandisha zaidi ikam back fire hadi akaomba mazungumzo na Xin Jinping.
Kwa relevance hiyo kufungwa kwa Hormuz kunamuumiza hata USA ila HANA UWEZO WA KUPAFUNGUA ndio maana.
-Umefuatilia kama mafuta ya Venezuela ni mazito na huchukua muda kuyasafisha?? Mafuta ya Venezuela peke yake hayawezi ku meet demand.
Kuna muda mwingine tukubali tu kuwa USA inafeli na inashindwa.
Kusema kweli sijui watu wanashindwaje kuona pattern ya michezo ya marekani na Israel kwa mataifa mengine yanayoonekana hayaendani na interest zao! Imefanyika HIVI Syria, Iraq, Yeemen, Lebanon, Somalia, Sudan na sasa wanaleta ujanja ule ule Iran lakini watu bado wanawakenulia meno hawa mashetani.Hezbollah wanapambania Ardhi yao imetekwa na Israel !!!
na HAMAS Ivyo ivyo wanakufa wakijitaidi kupigania Ardhi yao ni Ardhi yao inafanya MEDIA propaganda wawaite magaidi ili wakiwauwa kinyama watu
waone wameuwawa Magaidi tu..
sio Binadamu wakawaida!!
mwenye haki zote ya Ardhi yao. Israel ni tatizo kubwa Duniani✍️
Kwahiyo sasa hivi malengo yamebadilika kutoka kwenye kushambulia na kuharibu makombora mpaka kwenye kushambulii reli na train?Israeli katoa onyo waajemi wasitumie reli, asante wametii zimesimama🤓![]()
Iran war updates: Trump suspends US attacks, Tehran agrees to ceasefire
These were the updates on the US-Israeli attacks on Iran for Tuesday, April 7.aje.news
Mnatumia kusafirisha makombora Mossad washatoa taarifa, chaguo ni lenu msimamishe mlanbwe mitamaKwahiyo sasa hivi malengo yamebadilika kutoka kwenye kushambulia na kuharibu makombora mpaka kwenye kushambulii reli na train?
Kwani si Trump alituambia kuwa wameteketeza makombora yote sasa hayo yanayo safirishwa ni yapi?Mnatumia kusafirisha makombora Mossad washatoa taarifa, chaguo ni lenu msimamishe mlanbwe mitama