hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
BREAKING
Umeme umekatika katika baadhi ya maeneo ya Karaj nchini Iran baada ya mashambulizi kugonga nyaya za kusafirisha umeme.
📌 Taarifa hii inaendana na ripoti kuwa mashambulizi yamelenga miundombinu ya umeme na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo karibu na Tehran na Karaj.