Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la la kermanshah
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Kuna watu humu wanajifanya hawaamini Media za Magharibi.. wanadai habari zao huwa wanapata Dark Web wakatuletea story za Netanyahu ameuawa ili kubalance habari ya Khomenei kubutuliwa na Bunker Buster sijui Story iliishiwa wapi ?ama Neta alifufuki Mochwali ?
 
Kuna watu humu wanajifanya hawaamini Media za Magharibi.. wanadai habari zao huwa wanapata Dark Web wakatuletea story za Netanyahu ameuawa ili kubalance habari ya Khomenei kubutuliwa na Bunker Buster sijui Story iliishiwa wapi ?ama Neta alifufuki Mochwali ?
Wewe dada vaa sidiria kwanza kabla ya kuja hapa kuongea na wanaume
 
💥💥💥💥
Makumi ya ndege za Israel na marekani muda huu zipo juu ya anga ndani ya Tehran. Zipo kwenye low altitude(kimo cha chini sana)
 
Naomba msamaha kwa kwenu nyote.

Muungwana akikosea huchutama.

Kwa kweli nilikuza sana kupita maelezo nguvu za jeshi la Marekani na intelijensia ya Israel.

Kwa jinsi malengo ya vita yalivyotupwa na kugeuka kushambulia chochote kilicho hai na mfu ndani ya Iran, kweli Iran kanionesha pande ya pili ya haya majeshi yanakuzwa na majarida mbalimbali.

Japo binafsi toka mwanzo nilionya vita sio kitu cha mchezo ni rahisi kuingia ila kutoka ndipo huwa kipengele.

Leo hii U.S pamoja Israel wanaitishia nchi kama Iran wata shambulia kila kitu hii sio vita tena umegeuka ni uwendawazimu na kushindwa kutumia kwa malengo ya vita ndani ya wakati na hii hali inatokana na kulazimishwa na mbinu za kimapigano za jeshi la Iran.

Mpaka kufika sasa majeshi yote mawili Marekani na Israel yanaonesha hali ya kuchanganyikiwa.

Nikumbushe Israel isifikiri Iran ni Gaza wanacho panga yeye na Marekani kukifanya Iran kitapatiwa majibu sawia ndio itafahamika raia gani wamezoea tabu na uwezo wa kuvumilia shida kwa muda mrefu.

Hawa wanao shambulia miundombinu ya kiraia ndio tuliaminishwa wanaenda kukomboa raia wa Iran na kupeleka demokrasia dhidi ya udikteta uliopo kumanina wanaharakati wote wa kidemokrasia duniani.

Kweli dunia uwanja wa fujo.
 
Basi itakuwa Iran haikuwa na mahusiano mema na majirani zake, maana majirani zake wote wamejitenga naye na kumwita adui wa Kanda. Wote kwa Nia moja wameungana kwa hoja ya nguvu dhidi ya Iran. Kuna video imevuja ikionesha nia ya Iran ya kuitwaa Maka na Madina na kupanda imani ya kishia. Huenda ndio sababu.
 
Hali ilivyokuwa Isfahan baada ya mashambulizi ya Israeli na Marekani.

Marekani na Israeli zimelenga shabaha nyingi sana ndani ya Iran. Shabaha ambazo zimeleta hali ngumu ya kiuchumi kwa wananchi wa Iran.

Leo Kuna uwezekano mkubwa Marekani na Israeli zikaharibu zaidi miundombinu mingi ya kiraia na kuleta janga kuu ndani ya Iran. Rais wa Iran Masoud amewaomba raia waizunguke miundombinu ili Marekani na Israeli washindwe kupiga kwa kuhofia mauaji ya halaiki.
 
Marekani kakutana taste ambayo hakuitarajia kabisa huku kote ni kuchanganyikiwa bila shaka huko ndani katika kuta za White House na Pentagon hakukaliki si ajabu kuona watu wakijiuzulu na majenerali kutimuliwa
Anaechanganyikiwa ni anaetaka kurudishwa karme ya 18 au anaeshambulia?
 
Tahir Andrabi, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Pakistan:

Pakistan imesema Islamabad itasimama pamoja na Saudi Arabia chini ya makubaliano ya ulinzi iwapo mzozo utaongezeka, Reuters imeripoti.

Tahir Andrabi katika ripoti za hivi punde alilaani mashambulizi ya Iran dhidi ya vituo vya nishati huko Jubail, Saudi Arabia. Kauli yake:

Alieleza kuwa Pakistan inaona mashambulizi hayo kama "uchokozi hatari" (dangerous escalation) na amesisitiza kuwa Pakistan itatoa "msaada usioyumba" (unwavering support) kwa usalama wa Saudia.

Alisisitiza kuwa:

"Pakistan haiwezi kubaki pembeni wakati usalama wa maeneo matakatifu na washirika wetu wa kimkakati (Saudi Arabia) upo hatarini."

Mosharraf Zaidi (Msemaji wa Waziri Mkuu kwa Vyombo vya Habari vya Nje) naye amesema wazi kuwa:

Msaada wa Pakistan kwa Saudi Arabia ni wa "lazima na hauna masharti" (unequivocal and not conditional). Alikariri kuwa chini ya mkataba wa Septemba 2025, shambulizi lolote dhidi ya Saudia ni shambulizi dhidi ya Pakistan.

Huyu amekuwa na msimamo mkali zaidi kwenye mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa (kama Bloomberg TV).

Na Khawaja Asif, Waziri wa Ulinzi wa Pakistan:

Naye alisha wahi kusema kuwa: "Kile tulichonacho (ikiwemo uwezo wetu wa nyuklia), kitatolewa kusaidia ulinzi wa Saudia" chini ya mkataba wa Septemba 17, 2025.

Kauli hii ilitafsiriwa na wachambuzi wa kijasusi kama dokezo la kutumia silaha za nyuklia au makombora mazito kulinda ufalme huo.

Saudi Arabia na Pakistan mnamo Septemba 17, 2025 katika jiji la Riyadh, Saudi Arabia waliingia mkataba wa ulinzi.

Mkataba huo unajulikana kama Strategic Mutual Defence Agreement (SMDA) ambao ni moja ya mikataba mizito zaidi kuwahi kushuhudiwa Mashariki ya Kati na Asia ya Kusini. Huu ndio mkataba unaoifanya Pakistan kuwa "mlezi wa usalama" wa Saudi Arabia kwa sasa.

Makubaliano Makuu ya Mkataba (Core Agreements)
Chini ya mkataba huu wa Septemba 2025, nchi hizi mbili zimekubaliana mambo yafuatayo ya kimkakati:

1. Ulinzi wa Pamoja (Mutual Defense Clause): Kipengele hiki kinafanana na Article 5 ya NATO. Kinatamka kuwa shambulizi dhidi ya Saudi Arabia litachukuliwa kama shambulizi dhidi ya Pakistan, na kinyume chake.

2. Ulinzi wa Maeneo Matakatifu: Pakistan imejitolea rasmi kupeleka vikosi vyake vya nchi kavu na anga kulinda miji ya Makka na Madina dhidi ya tishio lolote la nje (hasara ya makombora au uvamizi).

3. Mwavuli wa Nyuklia (Implicit Nuclear Shield): Ingawa neno "nyuklia" halikuwekwa wazi kwenye maandishi ya kidiplomasia, mkataba unahusisha matumizi ya "uwezo wowote ule wa kijeshi" kulinda mamlaka ya Saudi Arabia. Hii inachukuliwa na wachambuzi kama ahadi ya Pakistan kutumia silaha zake za nyuklia ikiwa Saudia itakabiliwa na tishio la kuangamizwa.

4. Ushirikiano wa Intelijensia: Maofisa wa usalama wa Pakistan wamepewa mamlaka ya kushirikiana taarifa za siri na Saudi Arabia kuhusu harakati za makundi ya kigaidi na harakati za jeshi la Iran.

5. Ubadilishaji wa Teknolojia ya Makombora: Pakistan ilikubali kuisaidia Saudi Arabia kuunda na kurekebisha mifumo yake ya makombora ya masafa marefu (ballistic missiles) kwa kutumia utaalamu wa Pakistan.
 
Huyu takataka aliweza vipi kuwa Rais wa taifa kubwa lenye silaha za maangamizi ?
20260407_190810.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khorramshahr
 
Back
Top Bottom