Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la karaj. Milipuko mikubwa sana
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
FB_IMG_1775579059262.jpg
 
QAASIM SULEIMAN KAMANDA WA IRAN
ALIWEKA WAZI KUWA SILAHA ZA IRAN N KWAAJILI YA KUUA WAISLAMU SAUDIA SIO MAYAHUDI WA ISRAEL

WENYE KUJUA HISTORIA ASILI YA MAMBO TUNAFAHAMU KINACHOENDELEA.
WATU(wamajusi na mashia) WAKO KWENYE KISASI DHIDI YA WAISLAMU HASWAA WAARABU KWA SABABU KINA ABUU BAKRI NA UMAR KHALID BIN WALID NI WAARABU.

ANAYEBISHA NITAMLETEA VIDEO
 
🖊Ramani ya mashariki ya kati.
Hapa ndipo mashariki ya kati ambako ndio sehemu pana mizozo ya kihistoria ya karne na karne.

➡️Mayahudi wanaamini Palestina ni katika sehemu yao ya kihistoria na wakijumuisha na Kanaani hivyo wana Ramani yao mkononi wakilala wakiamka mawazo yako katika ramani hiyo.

➡️Waajemi Iran nao wana ramani yao ya kihistoria wakizingatia ramani ya Dola ya kifursi iliyoangushwa na maswahaba zama hizo.
Ramani hiyo inachukua iraq mpaka bahrain alkubraa inayokusanya mpaka sehemu katika Saudi Arabia.

⬆️Kupitia ushia
Mashia nao wanadhihirisha wazi wako katika vita dhidi ya Abuu bakri Umar na Uthmaan mpaka uanguke utawala wa Saqifa yaani usunni ufutike duniani ndio kikomo cha vita.

🔄Masuala hayo ni masuala ya kihistoria ambayo hayatafutika kamwe kwa sababu yako katika mioyo ya watu.

➡️Katika kuhakikisha wanatimiza mipango yao.
Iran na Mashia wameanzisha vikundi vingi mashariki ya kati au hutumia vikundi vilivyoanzishwa na wengine na kuvifadhili ili viwe chini yao.

Na kote huko ni sehemu ya kimkakati tu lakini lengo lao ni Saudia kama wanavyodai.

1_MISRI.
Iran na mashia walijipenyeza Misri kwa kutumia wanasiasa wa mlengo wa kiikhwaan kama Muhammad morsi.

2_SYRIA.
Licha ya kuwa na tifauti ya kimadhehebu kati ya iran Ithnasharia na mashia wa Syria waduruz na Alawiya lakini wakaungana wakaacha tofauti zao lengo wawamalize masunii kwanza wakamtumia shia Alawiya bashar al asad kuwamaliza masunni kwa mabomu na sumu.

3_YEMEN.
Wameunga mkono kikundi cha Nasrullaata (Wahouthi) kinachoongozwa na Abdul maalik Al houthi ambao mwanzo walikiwa Shia zaidiya lakini viongozi wao wakawabadirisha na kuwa ithnasharia na wakatia baiya kwa khamenei wakawaua masunni na dunia ipo kimya ajabu alipoingia Saudia kuwatetea masunni dunia ikaamka na kusema Saudia inawaua wayemen!!
Wayemeni wenyewe ni kina nani ni Wahouthi !!

4_LEBANONI.
Kwa kutumia vukindi vyao Iran na Mashia wakawaua walebanoni mpaka wakaitawala wao kwa kiasi kikubwa.

5_PALESTINA.
wanavikundi vyao kama PIJ na kuunga mkono Hamas wakasababisha kuuliwa kwa mamilioni ya Masunni ndani ya miaka miwili tu.

6_IRAQ.
khomein baada ya kutoka ufaransa kuaanzishwa vita dhidi ya iraq Iran wakidai Ramani yao inafika mpka iraq na khomein alikuwa na kisasi binafsi kwa Shah na Iraq ni kawaida kwa wamagharibi kiwatumia watu wenye visasi binafsi kuwashinikiza ili wapate maslahi yao.

Iran na mashia kutokana na moango wao wa kuwamaliza masunni wakakubali kushirikiana na marekani dhidi ya iraq.
Marekani walikuja kwa madai ya Sadam lakini iran na mashia wakaona fursa ndio hii wakaungana na marekani na baada ya marekani kumaliza akawaachia mashia watawale iraq.
Kuanzia hapo mashia wakawa kama mbuzi waliofunguliwa wakajaa iraq na kuanza kuwashambulia masunni na kuwaua.

7_AFGHANISTAN.
Mashia wakakubali kuungana na marekani ili tu wawamalize masunni afghanistani.
Marekani walipotaka kuingia afghanistani wakapitia upande wa mashia na walipoishika afghanistani tu wakaitisha uchaguzi wa mchongo wakampachika Hamid KarZai Mashia na dada wa Hamid ana mgahawa huko marekani.

MAENENO YOTE HAYO NI YA KIMKAKATI TU LAKINI LENGO LAO NI SAUDIA WANAYOIZUNGUUKA KILA KONA.
 
Kuzuia jets bila wewe kuwa na jets huwa ni kazi bure
Iran wakitaka kuzuia jets za Israel na marekani lazima nao wawe na jets, vinginevyo kila siku kila mara Israel na marekani watakua wanaingia na kutoka kadri wanavyotaka
Kwani Iran hawana jets?
 
ni
Basi itakuwa Iran haikuwa na mahusiano mema na majirani zake, maana majirani zake wote wamejitenga naye na kumwita adui wa Kanda. Wote kwa Nia moja wameungana kwa hoja ya nguvu dhidi ya Iran. Kuna video imevuja ikionesha nia ya Iran ya kuitwaa Maka na Madina na kupanda imani ya kishia. Huenda ndio sababu.
Kuhusu Hilo la Iran kuitwaa makka na Madina mimi namuunga mkono yeye aichukue tu hii makka imekuwa ya kuchezewa mpaka na akina mwijaku
 
Kwa hiyo sasa hivi wanashambulia kila kitu kwa kisingizio kwamba kinatumiwa na jeshi?

Hawa ndo watu wasiostahili kuwa na silaha za aina yoyote ile ila wamefanikiwa kuwa gaslight watu walio wapumbavu kwamba Iran ndo haistahili kuwa na silaha za kujilinda!

Sickening.
Huo uwezo hana.
 
Iran hana mpango na Macca wala Madina wala Madina. Ila Myahudi anadai nusu ya Saudi ikiwemo Macca na Madina ni yao.
Mkuu kwanini hii vita isiishe tu mbona naona kama haina maana yeyote

Tazama wanawake na watoto mda huu wako kwenye madaraja kuyalinda

Sasa ya nini yote hii
 
Back
Top Bottom