Malengo ya muda mrefu kivipi? Siku zote hayo ni malengo yake, akipata hiyo chance hawezi kuacha, ikiwa bado hajaweza kufanya hivyo basi sababu ni resistance anayopata na uimara wa Israel.Hayo ni malengo ya mda mrefu. Lengo la vita hii kwa Irani ni kujilinda zaidi ndio mana alipomaliza kupiga air na water base za US huko mido east akawa hapigi mpaka apigwe kwanza yeye. Ila Sasa vita imefika pabovu mno.
Hakuna kitu kama hichi. Ni ushabiki usio na maana tuKwani wewe hujui kuwa Tel aviv imebaki majivu,imekuwa Gaza? Wanaficha taarifa tu
Hujui kwamba yemen kuna houthi na Lebanon kuna hizbollahKusema kweli sijui watu wanashindwaje kuona pattern ya michezo ya marekani na Israel kwa mataifa mengine yanayoonekana hayaendani na interest zao! Imefanyika HIVI Syria, Iraq, Yeemen, Lebanon, Somalia, Sudan na sasa wanaleta ujanja ule ule Iran lakini watu bado wanawakenulia meno hawa mashetani.
Hata kama watataka kutuaminisha kwa kutumia vifungu vya maandiko ya kwenye biblia kuwa Palestina ni ardhi yao ya ahadi, (ingawa hii nadharia inatia shaka sana) basi tujiulize Lebanon pamoja na Yemen wanataka nini?
Lengo nikurudishwa stone ageKwahiyo sasa hivi malengo yamebadilika kutoka kwenye kushambulia na kuharibu makombora mpaka kwenye kushambulii reli na train?
Lakini si tulikubaliana kuwa raia wa Iran hawaitaki serikali yao?Ukiwa na akili timamu huwezi kuwatoa raia chambo.
Maana yake umeshindwa vita.
IRAN kaniangusha sana
Deadline saa ngapi ?Hakuna kitu kama hichi. Ni ushabiki usio na maana tu
Na Netanyahu ameshauwawa sio na vidole vyake SITA ??Kwani wewe hujui kuwa Tel aviv imebaki majivu,imekuwa Gaza? Wanaficha taarifa tu
Saa mbili usiku ya marekani, huku kwetu itakua saa tisa usikuDeadline saa ngapi ?
Atabondwa na nani? Israel imekuwa Gaza na US base zote majivu na manowari zao zimekimbilia Ulayaleo Iran atabondwa... Tofauti na wengine lengo la Israel ni kuona Iran inakuwa thirdword country
Nilijua tu Marekani atakuja kutushangaza Kwa kipigo kikali Kwa magaidiSaa mbili usiku ya marekani, huku kwetu itakua saa tisa usiku
hahahahahaRambo ndani john cena ndani
50 cent ndani jay z ndani
another one💥💥💥💥
Assassination operation imefanyika katika eneo la ajudanieh Tehran. Taarifa zaidi zitakuja