Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
100%Isije ikawa ni wanajeshi wamevaa kiraia?
100%Isije ikawa ni wanajeshi wamevaa kiraia?
iIran wana jeshi mimi nadhani badala ya kupeleka Watoto sehemu hizo za miundombinu, walipaswa kuzuia ndege za Israel na marekani zisifanye mashambulizi yoyote ndani ya Iran
Hili lazima tuliweke sawa. Kwa udogo wa tel Aviv Kama Iran angekua anapiga popote anapotaka basi pasingekalika kabisaSasa hivi anga za Iran, Israel na middle east yote zimetoboka Iran anapiga popote akitaka na yeye anapigwa popote itakapohitajika. Interceptors zinaoperate sehemu chache mno.
i
Nachelea kusema unaupeo mdogo kwenye hili la vita zaidi ni ushabikiBasi itakuwa Iran haikuwa na mahusiano mema na majirani zake, maana majirani zake wote wamejitenga naye na kumwita adui wa Kanda. Wote kwa Nia moja wameungana kwa hoja ya nguvu dhidi ya Iran. Kuna video imevuja ikionesha nia ya Iran ya kuitwaa Maka na Madina na kupanda imani ya kishia. Huenda ndio sababu.
Doh!🖊Ramani ya mashariki ya kati.
Hapa ndipo mashariki ya kati ambako ndio sehemu pana mizozo ya kihistoria ya karne na karne.
➡️Mayahudi wanaamini Palestina ni katika sehemu yao ya kihistoria na wakijumuisha na Kanaani hivyo wana Ramani yao mkononi wakilala wakiamka mawazo yako katika ramani hiyo.
➡️Waajemi Iran nao wana ramani yao ya kihistoria wakizingatia ramani ya Dola ya kifursi iliyoangushwa na maswahaba zama hizo.
Ramani hiyo inachukua iraq mpaka bahrain alkubraa inayokusanya mpaka sehemu katika Saudi Arabia.
⬆️Kupitia ushia
Mashia nao wanadhihirisha wazi wako katika vita dhidi ya Abuu bakri Umar na Uthmaan mpaka uanguke utawala wa Saqifa yaani usunni ufutike duniani ndio kikomo cha vita.
🔄Masuala hayo ni masuala ya kihistoria ambayo hayatafutika kamwe kwa sababu yako katika mioyo ya watu.
➡️Katika kuhakikisha wanatimiza mipango yao.
Iran na Mashia wameanzisha vikundi vingi mashariki ya kati au hutumia vikundi vilivyoanzishwa na wengine na kuvifadhili ili viwe chini yao.
Na kote huko ni sehemu ya kimkakati tu lakini lengo lao ni Saudia kama wanavyodai.
1_MISRI.
Iran na mashia walijipenyeza Misri kwa kutumia wanasiasa wa mlengo wa kiikhwaan kama Muhammad morsi.
2_SYRIA.
Licha ya kuwa na tifauti ya kimadhehebu kati ya iran Ithnasharia na mashia wa Syria waduruz na Alawiya lakini wakaungana wakaacha tofauti zao lengo wawamalize masunii kwanza wakamtumia shia Alawiya bashar al asad kuwamaliza masunni kwa mabomu na sumu.
3_YEMEN.
Wameunga mkono kikundi cha Nasrullaata (Wahouthi) kinachoongozwa na Abdul maalik Al houthi ambao mwanzo walikiwa Shia zaidiya lakini viongozi wao wakawabadirisha na kuwa ithnasharia na wakatia baiya kwa khamenei wakawaua masunni na dunia ipo kimya ajabu alipoingia Saudia kuwatetea masunni dunia ikaamka na kusema Saudia inawaua wayemen!!
Wayemeni wenyewe ni kina nani ni Wahouthi !!
4_LEBANONI.
Kwa kutumia vukindi vyao Iran na Mashia wakawaua walebanoni mpaka wakaitawala wao kwa kiasi kikubwa.
5_PALESTINA.
wanavikundi vyao kama PIJ na kuunga mkono Hamas wakasababisha kuuliwa kwa mamilioni ya Masunni ndani ya miaka miwili tu.
6_IRAQ.
khomein baada ya kutoka ufaransa kuaanzishwa vita dhidi ya iraq Iran wakidai Ramani yao inafika mpka iraq na khomein alikuwa na kisasi binafsi kwa Shah na Iraq ni kawaida kwa wamagharibi kiwatumia watu wenye visasi binafsi kuwashinikiza ili wapate maslahi yao.
Iran na mashia kutokana na moango wao wa kuwamaliza masunni wakakubali kushirikiana na marekani dhidi ya iraq.
Marekani walikuja kwa madai ya Sadam lakini iran na mashia wakaona fursa ndio hii wakaungana na marekani na baada ya marekani kumaliza akawaachia mashia watawale iraq.
Kuanzia hapo mashia wakawa kama mbuzi waliofunguliwa wakajaa iraq na kuanza kuwashambulia masunni na kuwaua.
7_AFGHANISTAN.
Mashia wakakubali kuungana na marekani ili tu wawamalize masunni afghanistani.
Marekani walipotaka kuingia afghanistani wakapitia upande wa mashia na walipoishika afghanistani tu wakaitisha uchaguzi wa mchongo wakampachika Hamid KarZai Mashia na dada wa Hamid ana mgahawa huko marekani.
MAENENO YOTE HAYO NI YA KIMKAKATI TU LAKINI LENGO LAO NI SAUDIA WANAYOIZUNGUUKA KILA KONA.
Iran alikuwa selective. Sasa imeanza vita ya kupiga popote tusubiri wave zitakazofuata kwenda hapo TEL AvivHili lazima tuliweke sawa. Kwa udogo wa tel Aviv Kama Iran angekua anapiga popote anapotaka basi pasingekalika kabisa
Ingekua rahisi hivyo unavyosema basi Iran wangekua wanarusha makombora hata 50 au 100 na yote yanapiga. Unafikiri tel Aviv pangekalika tena?
Interceptors bado zinafanya kazi japo haziwe kuzuia missiles kwa 100%.
Jeshi la Iran litalinda, usiwe na shaka maana tuliambiwa USA ni Mchumba tu kwa IranMtu anataka kuifutilia mbali civilization nzima ya Iran halafu tunaambiwa kwamba viongozi wa Iran ni vichaa!
Lakini anayeandika matusi na kutishia kuifuta civilization ya Iran, eti ndo mwenye akili! Tena yeye mwenyewe huwa anajiona ni jiniasi 🤣.
Maajabu sana.
Wewe unaona anapiga sana ila hata Target huzijui,Myahudi kapiga Vyuo zaidi ya 30 (source AJ+ Tiktok) vya Iran, kapiga nyumba na Maproffesa na leo kapiga sinagogi, sasa hivi vina maana gani kwenye vita na ndio maana unaona anashambulia sana. Iran mwanzo alikuwa anapiga site za kijeshi, radar na vifaa vya mawasiliano,Myahudi/US walivyo anza kushambulia miundombinu yake ndio nae akaanza kulipa kisasi. Iran hajapiga chuo wala nyumba ya ibada yoyote japo uwezo huo anao.Hili lazima tuliweke sawa. Kwa udogo wa tel Aviv Kama Iran angekua anapiga popote anapotaka basi pasingekalika kabisa
Ingekua rahisi hivyo unavyosema basi Iran wangekua wanarusha makombora hata 50 au 100 na yote yanapiga. Unafikiri tel Aviv pangekalika tena?
Interceptors bado zinafanya kazi japo haziwe kuzuia missiles kwa 100%.
Unachosema hakiwezi kuwa kweli. Iran hawezi kuwa selective kwa Israel sababu moja ya lengo kubwa la Iran ni kuifuta kabisa IsraelIran alikuwa selective. Sasa imeanza vita ya kupiga popote tusubiri wave zitakazofuata kwenda hapo TEL Aviv
😀😀😀😀😀Naomba msamaha kwa kwenu nyote.
Muungwana akikosea huchutama.
Kwa kweli nilikuza sana kupita maelezo nguvu za jeshi la Marekani na intelijensia ya Israel.
Kwa jinsi malengo ya vita yalivyotupwa na kugeuka kushambulia chochote kilicho hai na mfu ndani ya Iran, kweli Iran kanionesha pande ya pili ya haya majeshi yanakuzwa na majarida mbalimbali.
Japo binafsi toka mwanzo nilionya vita sio kitu cha mchezo ni rahisi kuingia ila kutoka ndipo huwa kipengele.
Leo hii U.S pamoja Israel wanaitishia nchi kama Iran wata shambulia kila kitu hii sio vita tena umegeuka ni uwendawazimu na kushindwa kutumia kwa malengo ya vita ndani ya wakati na hii hali inatokana na kulazimishwa na mbinu za kimapigano za jeshi la Iran.
Mpaka kufika sasa majeshi yote mawili Marekani na Israel yanaonesha hali ya kuchanganyikiwa.
Nikumbushe Israel isifikiri Iran ni Gaza wanacho panga yeye na Marekani kukifanya Iran kitapatiwa majibu sawia ndio itafahamika raia gani wamezoea tabu na uwezo wa kuvumilia shida kwa muda mrefu.
Hawa wanao shambulia miundombinu ya kiraia ndio tuliaminishwa wanaenda kukomboa raia wa Iran na kupeleka demokrasia dhidi ya udikteta uliopo kumanina wanaharakati wote wa kidemokrasia duniani.
Kweli dunia uwanja wa fujo.
Kwani Iran wenyewe wanasemaje? Hawababaishwi na mikwara ya Trump.
taarifa tutapata asubuhi aiseeHawezi mkuu huijui Iran wewe? Kwanza US kashashindwa vita yale mameli ya kubeba ndege yote yashapigwa yamekimbia yako Ugoriki huko.
Kwahiyo muajemi ameanza kutumia human shield? Ngoja tujipe muda utatoa majibu tu.😀😀😀😀😀
Hayo ni malengo ya mda mrefu. Lengo la vita hii kwa Irani ni kujilinda zaidi ndio mana alipomaliza kupiga air na water base za US huko mido east akawa hapigi mpaka apigwe kwanza yeye. Ila Sasa vita imefika pabovu mno.Unachosema hakiwezi kuwa kweli. Iran hawezi kuwa selective kwa Israel sababu moja ya lengo kubwa la Iran ni kuifuta kabisa Israel
Isije ikawa ni wanajeshi wamevaa kiraia?
Tatizo huwa mnakua na hisia zaidi na matamanio fulani badala ya uhlisia sababu hii vita haituhusu.Wewe unaona anapiga sana ila hata Target huzijui,Myahudi kapiga Vyuo zaidi ya 30 (source AJ+ Tiktok) vya Iran, kapiga nyumba na Maproffesa na leo kapiga sinagogi, sasa hivi vina maana gani kwenye vita na ndio maana unaona anashambulia sana. Iran mwanzo alikuwa anapiga site za kijeshi, radar na vifaa vya mawasiliano,Myahudi/US walivyo anza kushambulia miundombinu yake ndio nae akaanza kulipa kisasi. Iran hajapiga chuo wala nyumba ya ibada yoyote japo uwezo huo anao.
Moja ya eneo lilokuwa na ulinzi mkubwa sana ni Damona Nuclear Sites, eneo la Haifa sababu ndio kuna food deport kubwa, bandari na Oil Refinery kubwa inayo lisha sheli zote za Myahudi, ila Damona ndani ya wiki imepigwa mara tatu, Haifa ishapiga zaidi ya mara tano. Ule ukanda wa viwanda ambao unaviwanda zaidi ya tisini, Iran karusha mabomu ya kutosha ukanda ule. Wewe ushajiuliza ka nini Damona ilitembelewa na PM,Rais na Wazifi wake wa mambo ya ndani baada ya kupigwa? Sema Myahudi kwa kuna zuio la media na kama hujui Damona mabomu yalitua hata ving"ora havikulia.
Kwani wewe hujui kuwa Tel aviv imebaki majivu,imekuwa Gaza? Wanaficha taarifa tuHili lazima tuliweke sawa. Kwa udogo wa tel Aviv Kama Iran angekua anapiga popote anapotaka basi pasingekalika kabisa
Ingekua rahisi hivyo unavyosema basi Iran wangekua wanarusha makombora hata 50 au 100 na yote yanapiga. Unafikiri tel Aviv pangekalika tena?
Interceptors bado zinafanya kazi japo haziwe kuzuia missiles kwa 100%.