Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump ni very idiotic.
Nilimuonea huruma alipokoswa koswa na risasi lakini sasa hivi natamani asingekoswa na ile risasi!

Mtu gani huyu anataka kulipua gridi ya Iran ambapo kuna watu wapo mahospitalini na kuna vitoto vichanga vipo kwenye incubators zinazotegemea umeme?

Anataka watu vulnerable kama hao wakose huduma na wafe?

Fuuck him.
 
Nawakumbusha tu Iran ni ngumu hata kupata mkate wa kila siku, sababu licha ya vikwazo pesa nyingi anazopata baada ya kuuza mafuta China kwa bei ya kutupwa fedha nyingi anaweka kwenye silaha na kufadhili ugaidi
Hata Marekani inawekeza fedha nyingi sana kwenye silaha, tena nyingi kushinda nchi zote duniani na pia inafadhili ugaidi.

So what’s your point?
 
Hata Marekani inawekeza fedha nyingi sana kwenye silaha, tena nyingi kushinda nchi zote duniani na pia inafadhili ugaidi.

So what’s your point?
Yeye silaha ni faida ukizingatia pia ni muuzaji namba 1 wa silaha duniani, uwezi compare uchumi wa USA na Iran labda compare kwenye vingine huko
 
Yeye silaha ni faida ukizingatia pia ni muuzaji namba 1 wa silaha duniani, uwezi compare uchumi wa USA na Iran labda compare kwenye vingine huko
Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha ili iweze kujilinda.

Leo tumeona umuhimu wa Iran kuweza kujilinda.

Iran ingekuwa haina uwezo wa kujilinda, ingekuwa imeshafanywa koloni la Marekani na Israel.

Kuhusu uchumi, ninauelewa vizuri sana uchumi wa Marekani.

Kuna wananchi wengi sana wa Marekani walio na shida na ambao wangeweza kusaidiwa na hizo pesa ambazo zinawekezwa kwenye mambo ya silaha na jeshi.

Nakutana na hao Wamarekani kila siku. Wengine hadi huwa nawasaidia hapa na pale. Hili ninalijua. Sibahatishi.

Hata Marekani shida zipo nyingi tu.

Kaka utawaua wapumzishe kiaina,😫😄🤣🤣
 
Wairan mwezi wa kwanza tu wameandamana kuhusu gharama za maisha, vipi ushawahi iona hiyo USA....

Na hao wenye maisha duni waliopo huko unao waona Iran wapo wa kutosha..

Yote kwa yote Iran lazima aonywe ajue kuwa kuna taifa teule..
 
Hakuna mtu alikuwa MAGA to the bone kama huyu mdada anaitwa Marjorie Tayloy, leo anaitisha sheria itumike kumtoa uraisi hilo zee pumbavu

1775593874241.png
 
Wairan mwezi wa kwanza tu wameandamana kuhusu gharama za maisha, vipi ushawahi iona hiyo USA....

Na hao wenye maisha duni waliopo huko unao waona Iran wapo wa kutosha..

Yote kwa yote Iran lazima aonywe ajue kuwa kuna taifa teule..
Mambo ya uchumi wa ndani ni mambo ya Iran.

Hayaihusu Marekani.

Na gharama za maisha za Iran haziipi mamlaka Marekani kuiangamiza Iran.

Halafu kuiangamiza Iran kama alivyotishia Trump, kunaisaidiaje Iran? Kunawasaidiaje Wairan?

Make it make sense.
 
usikchokijua huyu jamaa ana chuki zake binafsi na Trump miaka ya nyuma alikuwa akiishi huko so baada ya Trump kurudi awamu hii na akaja sera juu ya wahamiaji nahisi jamaa ni miongoni mwao waathirika. Kwani miaka hiyo ni nilikuwa nasoma tu jamiiforum bila akaunti jamaa alikua humwambii kitu kuhusu USA na Trump
 
usikchokijua huyu jamaa ana chuki zake binafsi na Trump miaka ya nyuma alikuwa akiishi huko so baada ya Trump kurudi awamu hii na akajibu kisha juu ya wahamiaji nahisi jamaa ni miongoni mwao waathirika. Kwani miaka hiyo ni nilikuwa nasoma tu jamiiforum bila akaunti jamaa alikua humwambii kitu kuhusu USA na Trump
Badala ya kujibu hoja unamuattack mtu husiye mjua.
 
Nawakumbusha tu Iran ni ngumu hata kupata mkate wa kila siku, sababu licha ya vikwazo pesa nyingi anazopata baada ya kuuza mafuta China kwa bei ya kutupwa fedha nyingi anaweka kwenye silaha na kufadhili ugaidi
Si kweli, Iran wanatumia Up to 20% ya Government Expenditure kwenye Elimu. Na pia hawana shida ya kula Nchi Yao ni katika Nchi zinazoongoza Duniani watu kutokua na Njaa, angalia global hunger index, Sasa hivi Israel kuna Food crisis kuliko wao. Sio Tu Iran wana Chakula Bali ni bei rahisi Hadi bure,

Mambo ya uchumi wa ndani ni mambo ya Iran.

Hayaihusu Marekani.

Na gharama za maisha za Iran haziipi mamlaka Marekani kuiangamiza Iran.

Halafu kuiangamiza Iran kama alivyotishia Trump, kunaisaidiaje Iran? Kunawasaidiaje Wairan?

Make it make sense.
We hukufuatilia taarifa namna maelefu ya watu walivyouawa na serikali kipindi cha maandamano ya kudai haki zao, we unahisi bila mkono wa super power wa dunia nani mwingine angewakomboa
 
Wewe sasa unaleta uhalisia gani zaidi ya kutuuzia chai uhalisia husio na reference huo nao unauita uhalisia, maana vita umeigeuza kama marede,mara Fatuma kamrushia mpira,Habiba mara Fatuma kamrushia mpira Joyce reference hauna?

Sasa umeshambulia high rankings officer vipi wamefanikiwa kupunguza rate ya mashambulizi? Umeangamiza high rankings officers halafu unaomba suluhu ya kidiplomasia, sasa ina maana gani? Iran sio Hamas, kila position ina watu zaidi ya kumi wanaweza shikilia hiyo nafasi. Yaani unaangamiza high rankings officers halafu bado unapiga vyuo vikuu,nyumba za maproffesa mpaka nyumba za ibada, vipi sites za kijeshi zimeisha? Maana rate ya mashambulizi Iran inazidi kuwa kubwa kila siku.

Hizo nyingine ngonjera hao high ranking officers wenyewe wa NATO na mkuu wa Counterterrorism Kent hawajui wala hawaoni sababu ya kwa nini US/Myahudi wanampiga Iran,hizo sijui Iran anataka kumfuta Myahudi ni sababu tu za uongo kama ilivyo kwa Mass of Weapons Destruction na Iraq ya Sadam.

Hata nikikuuliza wewe malengo ya hii vita hauna kwani kila siku yanabadilika, Trump mwenyewe mpaka sasa haeleweki lengo lake ni nini,yaani ile press ya jana amekuwa kama chizi aliye kabiziwa rungu, hajui alitumiwe wapi na wakati gani.

Kuna Maseneta huko wanataka ku-invoke 25 ammendments,wanaona wanaongozwa na chizi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=ZlQAP_VGCq8

Ulichoandika mwanzo na nilichokujibu hakiendani na hiki umeandika sasa

Kutolea mfano wa hao high ranking officers sababu ulivyoandika mwanzo ni kama wanashambuliwa maprofesa tu na vyuo

Kuhusu kuuza chai nadhani wewe ndio mhusika mkuu, wewe ambae ulikua unaamini Netanyahu kauliwa, kila mara uaweka link. Hakuna ujuha mkubwa zaidi ya huu uliokua unaamini

Kuhusu Iran kuangamiza Israel Hilo Iran wenyewe wamekua wakilisema wala sio siri

Najua wewe ni mtu mwenye jazba na uchungu sana kwa hii Vita ambayo naamini haikuhusu.
 
Back
Top Bottom