City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bagheri
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bagheri
Humjui vizuri Nyani Ngabu, he choose a side by thinking first not kissing azzusikchokijua huyu jamaa ana chuki zake binafsi na Trump miaka ya nyuma alikuwa akiishi huko so baada ya Trump kurudi awamu hii na akaja sera juu ya wahamiaji nahisi jamaa ni miongoni mwao waathirika. Kwani miaka hiyo ni nilikuwa nasoma tu jamiiforum bila akaunti jamaa alikua humwambii kitu kuhusu USA na Trump
Tunaongelea homeless na Nchi zote hizo tumewapita, Uhusiano wa Tanzania na Ethiopia ni Malori yetu na Gari zetu kutorosha wa ETHIOPIA waokimbia nchi Yao kutafuta maisha mazuri.Msumbiji na Ethiopia ni vi nchi vya ajabu wewe mgonjwa wa akili eeeh?
Ethiopia inazidiwa nini na Tanzania na Kenya combined? Bahari?
Hiyo Maputo wewe umefika au unabwabwaja na hiyo dar yenu mavi mavi kila kona unakutana na harufu mbaya mbaya?
Nionyeshe niliposema Netanyahu ameangamizwa sipaoni? Kila nilichopost humu na kikumbuka.Ulileta hii habari ya Netanyahu, ukasema umetoa kwenye vyombo vya kuaminika. Nikakuambia acha uongo pia nlikushauri utumue vizuri akili kwenye kule unachoweka. Sasa hivi unakataa hukuleta? Hii ni nini? Au joseph1989 mpo wawili?
View attachment 3569092
Dakika chache baadae Netanyahu akafanya ziara ya ujaguzi, nikakutag Ila hukujibu ukala kona
View attachment 3569094
💯%.Humjui vizuri Nyani Ngabu, he choose a side by thinking first not kissing azz
Hapo nilikua najiongelesha mwenyewe? Hapo so umesema taarifa umetoa Hindustan, na ukasema hao Hindustan sio millard ayo. Au tulikua tunazungumzia nini?Nionyeshe niliposema Netanyahu ameangamizwa sipaoni? Kila nilichopost humu na kikumbuka.
Kiwanda kinaitwa IRALCO💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kiwanda cha alluminium Arak
View attachment 3569097
Hapo nilikua najiongelesha mwenyewe? Hapo so umesema taarifa umetoa Hindustan, na ukasema hao Hindustan sio millard ayo. Au tulikua tunazungumzia nini?
Unapoteza muda bure humu wengi wazee wa chai huwa nawaangalia nacheka mwenyewe na ma video yake ya youtube.Hapo nilikua najiongelesha mwenyewe? Hapo so umesema taarifa umetoa Hindustan, na ukasema hao Hindustan sio millard ayo. Au tulikua tunazungumzia nini?
So uliposema kuwa habari zipo Hindustan na hao Hindustan ni media inaaminika na sio millard ayo, ulikua ukimaanisha?View attachment 3569109
Comment yangu ya kwanza kuhusiana na tetesi za Netanyahu. Kuna sehemu niliconclude Netanyahu kauwawa? Mimi najua kila nilichopost humu. Hizo Rumour hata vyombo vya ulaya vilipost huku vikiuliza "wapi alipo Netanyahu ".
Labda kama hukuelewa nilicho andika.