Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

So what? Has the regime fell?
Maana hiyo ndio objective unless objectives ilikua kuua raia wa Iran maana hiyo ndio itafanya raia wanganui na serikali ya Ayatollah.
Kama Iran ni Mwamba kweli kwa nini amekubali Ceasefire? Alipay’s wa akatae ili afumuliwe vizuri!! Kapigwa Mkwara kidogo tu kukubali kuunga mkono juhudi!! Hiyo ndiyo imetoka!!!

Mnajificha kwenye kuua raia na watoto Mmesahau kuwa Jana mliwahamasisha waende wakalale kwenye Madaraja na.vituo vya umeme Iran imewatoa mchanga wakafe.

Kila siku tunawaambia Iran ni Magaidi Kama Hamas,Hezbollah na Houth wanawatumia raia wanawake na watoto kama Kings!!
 
Na ceasefire ni ya USA na Iran Tu, vyuma tayari vishafika Israel soon baada ya kauli ya Trump
20260408_015959.jpg
 
Mwanzo Iran alikataa ceasefire nashangaa sasa kukubali sijui kapata na nini kuambiwa tu atarudishwa Enzi za Mawe tayari katepeta.

Iran Alipay’s wa akatae mazungumzo yoyote au ceasefire maana yeye ndiye aliyevamiwa!!! Anafanyaje mazungumzo wakati anapigwa Kama Ngoma?
Kakubali wapi? USA ilisema ikifika Monday anaifuta Iran mbona kaufyata?
 
Kakubali wapi? USA ilisema ikifika Monday anaifuta Iran mbona kaufyata?
Iran aliambiwa kufikia leo usiku Kama hajakubali Mashariki ya ceasefire Iran ingerudishwa Enzi za mawe, Uzuri kakubali mwenhewe kwa hiyo hakuna sababu ya kumfuta kwa maana hiyo Iran ndiye aliyeufyata!!

Kumbuka mchana alisema anafuta mazungumzo yoyote na marekani na alizuia mtu yeyote asifanye mazungumzo na Marekani alifikiri Marekani itatikisika lakini alipoona Marekani haitikisiki na ina dhamira ya dhati kuirudisha Iran enzi za Mawe imebidi tu magaidi hao wakubali mazungumzo na huku ndiko Kuufyata!!!!
 
Uzuzu ni ugonjwa!
 
Hakuna popote Iran imekubali kufungua Hormuz ingekua hivyo Trump asingetishia kulipua Iran baada ya wiki mbili Kama Hormuz haijafunguliwa.

Source: The Times of Israel https://share.google/Y0QoSmzIy00YjkWOf

So punguza uzushi na taharuki
 
Pande zote mbili zimekubali kulegeza baadhi ya masharti lakini jamaa anadai ni Iran tu ndo iliyokubali kulegeza masharti.
 
Pande zote mbili zimekubali kulegeza baadhi ya masharti lakini jamaa anadai ni Iran tu ndo iliyokubali kulegeza masharti.
"On behalf of the Islamic Republic of Iran, I express gratitude and appreciation for my dear brothers HE Prime Minister of Pakistan Sharif and HE Field Marshal Munir for their tireless efforts to end the war in the region.In response to the brotherly request of PM Sharif in his tweet, and considering the request by the U.S. for negotiations based on its 15-point proposal as well as announcement by POTUS about acceptance of the general framework of Iran’s 10-point proposal as a basis for negotiations, I hereby declare on behalf of Iran’s Supreme National Security Council:

Wale ambao hawakuuliwa waliachwa for this reason.

Iran watakuwa wanapigwa hivi hivi hadi miaka ikienda wanakuwa kama third world
 
Huu ni ushabiki wa kizuzu.

Pande zote mbili zimekubaliana na kila upande umewajibika kwa kiwango chake.

Huna tofauti na watu wataodai kuwa Trump chickened out.

Single digit IQ amoeba.
Wewe kumbe ni Bumunda Kabisa hebu soma hapo chini ujinga wako ukutoke!!
 
Attachments

  • IMG_5260.jpeg
    IMG_5260.jpeg
    451.9 KB · Views: 12
Haujafunguliwa ndio maan Trump anatishia kuwa ceasefire ya wiki mbili ataikatisha Kama Iran haitofungua Hormuz

So Acha upotoshaji kijana
Nina swali moja, kwa nini kila baada ya muda iran inavamiwa wanapigana alafu baada ya muda wanakubali ceasefire?

Khamenei kauliwa, larijani kauliwa, top generals wameuliwa. Why wanakubali ceasefire? Wamelipa kisasi?
 
Back
Top Bottom