Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

So uliposema kuwa habari zipo Hindustan na hao Hindustan ni media inaaminika na sio millard ayo, ulikua ukimaanisha?
Hata Hindustan walipost kama rumors, Times of India,Al Jazeera, CNN nk wote walipost kama Rumors.
Screenshot_20260408_005639_Chrome.jpg

Ndio maana hata kwenye comment yangu sikuhangaika kuweka link ya hii habari. Sababu niliichukulia kama uvumi ambayo bado haukuthibitishwa.
Screenshot_20260408_010049_Chrome.jpg

Screenshot_20260408_005935_Chrome.jpg
 
Afya ya kiakili?

Vyovyote vile, this is not normal.

Rais mzima unaandika matusi kwenye kwenye mtandao wa kijamii?

Kuna jambo haliko sawa kichwani…

💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la chabahar
Iran Wapigwe tu hakuna namna
 
Mbona Trump ndoo anaomba poo? Alitishia kuifuta Iran leo usiku na Iran wakasema wapo tayari. Sahivi Trump kakubali yaishe kaongeza wiki 2 tena.
Mwanzo Iran alikataa ceasefire nashangaa sasa kukubali sijui kapata na nini kuambiwa tu atarudishwa Enzi za Mawe tayari katepeta.

Iran Alipay’s wa akatae mazungumzo yoyote au ceasefire maana yeye ndiye aliyevamiwa!!! Anafanyaje mazungumzo wakati anapigwa Kama Ngoma?
 
Back
Top Bottom