Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Iran š„š„
Iran š„š„
View attachment 3569122
Akikujibu Niko pale kwa Mwarabu nasubiri kula Daku!!!Nina swali moja, kwa nini kila baada ya muda iran inavamiwa wanapigana alafu baada ya muda wanakubali ceasefire?
Khamenei kauliwa, larijani kauliwa, top generals wameuliwa. Why wanakubali ceasefire? Wamelipa kisasi?
Leo ndiyo nimekuambia kuwa wewe ni Bumunda kabisa!!!Lete na ya upande wa pili na wa tatuā¦.
Mwanzo Iran alikataa ceasefire nashangaa sasa kukubali sijui kapata na nini kuambiwa tu atarudishwa Enzi za Mawe tayari katepeta.
Iran Alipayās wa akatae mazungumzo yoyote au ceasefire maana yeye ndiye aliyevamiwa!!! Anafanyaje mazungumzo wakati anapigwa Kama Ngoma?
Wewe Bumunda kweliMuamba ngoma huvutia
Kwakeā¦ā¦lete na za waziri mkuu wa Pakistan na waziri wa mambo ya nje wa Iran.
Kwa nn Iran inakubali ceasefire wakati walitangaza jihad dunia nzima, wamefanikiwa kulipa kisasi cha kuuliwa Khamenei na viongozi wengine?Kiakili tu apo mwenye kuomba
Ceasefire nani si Trump!!! Milokole mzigo kwa Taifa!! Je ingekuwa ni Iranian ndio anaomba iyo Ceasefire ingekuwaje na Walokole awa wa nyendewa!!!!!!ššššššš
Kwahiyo hii vita ilikuwa kupigania mlango bahari wa Hormuz uwe wazi?!unajua hata maana ya Ceasefire we mlokole wa Nyandegwa au ushalewa Divai? Ceasefire maana yake mnaweka terms kwanini msitishe vita pande zote zinaweka masharti yake,shartu la kufunguliwa Hormuz halikuwa kwenye terms za Ceasefire za Marekani hilo ni shinikizo tu lakini sio kwamba bhna fungua mlango bahari tusitishe vita,kumbuka Iran naye ana masharti yake kwa Marekani hivyo alivyoona kwamba kuna rooms ya kukaa na Arekani na wakakubaliana terms zote za pande zote ndio hiyo kabla ya mazungumzo action ya kwanza kufungua Hormuz,angeendelea kukaza dunia nzima ingemuuliza sasa wewe mwenzetu masharti yake yanaenda kujadiliwa na kukubaliwa na adui yako kwanini bado unafunga hilo eneo!? Nimetumia muda mwingi sana kumuelewesha kiazi mimi huwa sipend kukujibu kwakuwa huna unalojua mweupe sana kichwaniMojawapo ya Masharti ya ceasefire ni Mlango bahari wa Hormuz uwe wazi!! Wewe ndiyo Una ushabiki wa Kizuzu kabisa!!
Nani aliyeomba Ceasefire? Unajua diplomasia?kuna swali uliniuliza huko nyuma kuhusu wayahudi na waislamu sikutaka hata kukujibu maana sijibu maswali ya kipuuzi ambayo majibu yake yapo wazi kabisaKwa nn Iran inakubali ceasefire wakati walitangaza jihad dunia nzima, wamefanikiwa kulipa kisasi cha kuuliwa Khamenei na viongozi wengine?
Si unasema hakuna popote Iran kasema kafungua Mlango bahari wa Hormuz? Soma hapo chini ili uendelee kuwazuga Wafuga Midevu na Majini wenzako!!Hakuna popote Iran imekubali kufungua Hormuz ingekua hivyo Trump asingetishia kulipua Iran baada ya wiki mbili Kama Hormuz haijafunguliwa.
Source: The Times of Israel https://share.google/Y0QoSmzIy00YjkWOf
So punguza uzushi na taharuki
Jihad dunia nzima ? Jihad ni nini kwanza ?Kwa nn Iran inakubali ceasefire wakati walitangaza jihad dunia nzima, wamefanikiwa kulipa kisasi cha kuuliwa Khamenei na viongozi wengine?
Kwanza iran alishasema kuwa hataki ceasefire maana alichokozwa tunashangaa sasa kwa nini kukubali wakati alichokozwa na viongozi wake wengi tu wanauwawa akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na hawajalipa kisasi chochote.Mpaka apo ni Truā°mp na Israel ndio wanapigania Ceasefire sio Iranian lakini akili kisoda Walokole kwao wanajisifia jamvin mbona kakubali Ceasefire!!!
badala kujiuliza nani kaomba kwanini kaomba !!!
Mbona sio Iranian ndio kaomba!!!!
yeye anashinda uku anaomba iyo Ceasefire šššš
Walokole wanataka kunyang.anya Ushindi wa Iranian kupitia Propaganda !!!
na Mikelele kama wapo Kwenye Vijiwe vyao walivovipa jina eti Kanisa!!!!