Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Aya gani?
Aya gani?
Kufa Viongozi sio tatizo kiongozi ni mtu tu lkn taasisi ipo pale pale wanachagua mwengine!!Kwanza iran alishasema kuwa hataki ceasefire maana alichokozwa tunashangaa sasa kwa nini kukubali wakati alichokozwa na viongozi wake wengi tu wanauwawa akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na hawajalipa kisasi chochote.
Sisi Tumia mini tu ni ule Mkwara wa Trump wa kuirudisha Iran Enzi za mawe ndiyo uliosababisha Iran ifyate mkia na kukubali ceasefire na mlango bahari wa Hormuz kuwa wazi watu wajichotee kiwese bila shida!!!
Aya ya mwisho kwenye post Yako niliyo replyAya gani?
HiiWewe Bumunda kweli
Hata Mimi hapa ukinichokoza nitakupiga mpaka upigike siwei kukubali ceasefire maana umenichokoza.
Hii ya aliyechokozwa kukubali ceasefire ni udhaifu wa Wafuga Midevu na Majini!!
Kwenye vita vya siku 12 mlikubali ceasefire wakati watu wenu wameuwawa!!!Kufa Viongozi sio tatizo kiongozi ni mtu tu lkn taasisi ipo pale pale wanachagua mwengine!!
Ndiomana Trump lengo lake Kuu lilikuwa kufanya Mapinduzi ndani ya Iranian sio kuuwa Viongozi wake!!!!
awa Viongozi watakufa tu iwe kwa Vita au kuumwa kitandani!!
Chenye umuhimu sio kufa Viongozi hapana!!!
ni kuwezesha kufanya Mapinduzi apo sasa ndio kama ni nyoka mshauwa!!!
Lkn zaidi unadai kwanini Iranian imekubali kusitisha Vita!!!
Sawa lkn yeye kaombwa kusitisha na Marekani sasa tunapaswa kumuoji Marekani kwanini kaomba kusitisha mtanange sio uyu wa pili.!!!!
Mpaka apo Vita vikisimama kabisa mshindwa ni yule kaomba kusitisha Vita sio uyu wa pili!!!
Kwanini mm sikuuwa pia au kwakuwa media zinaficha!!!Nakuja nyumbani kwako naua wazazi wako na ndugu wengine karibu wote, alafu nakuambia njoo tuongee. Utakubali tuongee?
Wewe uliyechokozwa kwa nini usikatae ili vita iendelee mpaka apatikane mshindi? Wewe uliyekubali ndiyo Unaonekana umezidiwa kwenye ulingo!!Kama Marekan na mwenzie walikuwa wanashinda Vita. Sasa kwanini wanatafuta Ceasefire ili iweje !!!
**Majitaka Khamenei**anatoa Maagizo akiwa hoi kitanda I!!!
Kwenye vita vya siku 12 mlikubali ceasefire wakati watu wenu wameuwawa!!!
Sasa hivi tena mnakubali ujinga huohuo wakati viongozii wenu wameuliwa akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hii inaonyesha wazi mlivyotepeta kwenye ulingoni!!
Nimemuona aren’t wa Mossad Mheshimiwa Qaan Akifanya vitu vyake hebu na wewe muangalie!!
Ki ukweli Iran katepeta unachokozwa harafu unakubali kusimamisha mapigano na huku ulikataa tena ukakubali huo ni usenge kabisa!!Ayatollah uyu wa pili wakwanza kafia kitandani!!!
lengo la Marekan angesema ni kuuwa Viongozi wa Irani basi tungesema kashinda !!!
lkn Trump kasema lengo ni taasisi ya Serikali kwamaana ya Mapinduzi ya uwongozi ili kuwakomboa wa Iranian sasa sijui kafanikiwa apo!!!
Mbaya zaidi niyeye baada ya kipondo eneo lote la Gulf States
ni Marekani ndio katupia taulo!!!
kilokole Kipropaganda zako bado unataka tuamini Iranian ndio kashindwa..😜😜
Mshindi tayari ni Iranian Sababu zipo wazi!!!Wewe uliyechokozwa kwa nini usikatae ili vita iendelee mpaka apatikane mshindi? Wewe uliyekubali ndiyo Unaonekana umezidiwa kwenye ulingo!!
Ki ukweli Iran katepeta unachokozwa harafu unakubali kusimamisha mapigano na huku ulikataa tena ukakubali huo ni usenge kabisa!!
Aliyeomba kusimamisha vita mara 5 ni Rais TrumpKi ukweli Iran katepeta unachokozwa harafu unakubali kusimamisha mapigano na huku ulikataa tena ukakubali huo ni usenge kabisa!!
Haiwezi tena kuunda Nyuklia. Muwege mnatumia akili 🤣🤣🤣.Hapana, hii itaifanya Iran ikimbizane kuunda bomu la nuclear ili isivamiwe. Israel na US huwezi sikia zinaivamia Pakistan au North Korea au Russia sababu ya kuhofia nuclear war.
France pia imeanza kuongeza stockpile ya nuclear bombs maana wameona ndio solution ya kutovamiwa in future.
Hili halitotokea tena kma wakifika nuclear enrichment ya 90+
😀😀😀😀Kama Marekan na mwenzie walikuwa wanashinda Vita. Sasa kwanini wanatafuta Ceasefire ili iweje !!!
Wahuni jeuri