Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran's 10-point conditions that the US has been forced to accept:

The US is fundamentally committed to:
— Non-aggression
— Continued Iranian control over the Strait of Hormuz
— Acceptance of enrichment
— Lifting all primary sanctions
— Lifting all secondary sanctions
— Termination of all Security Council resolutions
— Termination of all Board of Governors resolutions
— Payment of reparations to Iran
— Withdrawal of US combat forces from the region
— Cessation of war on all fronts, including against the heroic Islamic Resistance of Lebanon

View: https://x.com/i/status/2041658151414722753
 
Masharti mengine ni yapi?

Na Marekani itatekeleza masharti gani katika hayo makubaliano?

Au aliyepewa masharti ni Iran tu?
Haujafunguliwa ndio maan Trump anatishia kuwa ceasefire ya wiki mbili ataikatisha Kama Iran haitofungua Hormuz

So Acha upotoshaji kijana

Huyu jamaa Echolima1 sio Elimu tu hata akili hana , jamaa ndio King of fake news mpaka Jamii check wanamtambua hilo .

Jamaa aliwahi kupost fake news msemaji wa Hamas ameuwawa , baadae anaonekana yupo hai ikapita miezi kadhaa akauwawa kweli akaleta habari tena kuwa ameuwawa , nikamuuliza kwani mtu anakufa mara mbili mara ya kwanza si ulisema ameuwawa na tulivyosema fake news ukabisha sasa kwa nini unajiContradict mwenyewe na kuleta habari nyingine na Tarehe mpya ya kifo chake ?

Jamaa hakujibu hoja na kuanza mambo ya wafuga madevu na majini , sasa unajiuliza mtoto wa Kiume inakuwaje unaona wivu ndevu za Mwanaume ambazo ni identity ya Wanaume na Yesu anayemuamini alikuwa na ndevu ?
 
Israel haiwezi kupigana vita peke yake dhidi ya Iran na ikashinda.

Israel wanalijua hilo, mimi nalijua hilo, Marekani inalijua hilo, washikaji zangu wanalijua hilo…..
Sasa hau Iran toka wameanza kupigana na Israel nitajie hata kamanda mmoja au kiongoz mmoja waliouwa wa Israel zaidi ya kuuwa raia sasa Israel akiamua kujirushia makombora hovyo huko Iran unajua madhara yake? Wewe uliona wapi nchi inapigana vita inatumia raia wake kama ngao kwenda kulinda madaraja ni sababu wanajua Israel hawezi kupiga raia. Yaani leo serikali ya Iran inaheshimu na kuwapigia raia wake magoti kisa Netanyahu.
 
Iran anapigana peke yake dhidi ya nchi mbili zilizo na mabomu ya nyuklia lakini bado yupo na anatembeza kichapo!

Ni lini Israel imepigana vita na Iran ikiwa peke yake bila kupigwa tafu na Marekani?
 
Nina swali moja, kwa nini kila baada ya muda iran inavamiwa wanapigana alafu baada ya muda wanakubali ceasefire?

Khamenei kauliwa, larijani kauliwa, top generals wameuliwa. Why wanakubali ceasefire? Wamelipa kisasi?
Na Mimi nina swali kwa nini US akabuli ceasefire bila malengo yake ya vita kutimia ?

USA alikuwa na malengo gani na mpaka sasa yametimia mangapi ?

Yom kippur war Egypt alipoteza wanajeshi wengi , lakini unajua kwa nini baada ya vita tu Waziri mkuu na mkuu wa IDF wakajiuzulu ?

Suez war ya 1957 Misri alichakazwa vibaya na majeshi matatu Israel , France na Britain baada ya kufunga Suez canal baadae Marekani na UN wakaingikia kati na kutaka majeshi vamizi yote yaondoke . Japo Egypt alipigiwa sana na vita Kusimama haikuwa nguvu yake ila baada ya vita kuisha 👇👇

1. Viongozi wakubwa Uingereza na Ufaransa walijiuzulu

2. Heshima ya Ufaransa na Uingereza ikishuka globally kwa kuonekana hawana power na influence na ndio ukawa misumari wa mwisho wa kuzika Super power wao.

3. Misri aliyechakazwa vibaya ila aliweza kulinda lengo na kuzuia mfereji wa Suez ambao anaishikilia mpaka Leo heshima yake ilipanda kwa Kasi ya ajabu , Gamal Abdul Nasser akawa ndio kiongozi mwenye power kwenye Arab world, Africa nk mpaka nchi nyingi viongozi wakawa wanamuogopa sababu alikuwa anakubalika sana na anapenyeza revolution ideology and pan Arabism

Soma geopolitics, history na muelekeo wa Siasa za Dunia vita ni zaidi ya kuua viongozi na kuharibu miundombinu.
 
Iran anapigana peke yake dhidi ya nchi mbili zilizo na mabomu ya nyuklia lakini bado yupo na anatembeza kichapo!

Ni lini Israel imepigana vita na Iran ikiwa peke yake bila kupigwa tafu na Marekani?
Ametembeza kichapo kwa nani na amepiga nini zaidi ya majengo huku yeye serekali imemalizwa. Ni hurumu tu ya Marekan na Israel ila kwa sasa wangeweza kuteketeza kila kitu hapo Iran ni vile wana huruma na raia wa Iran sasa kama wameweza kuwauwa viongozi wanaojificha vipi kuhusu miundombinu?
 
Fungua strait of Hormuz ntawarudisha stone age kunakucha mapema asubui meli zinapita bila shida
USA ndio kiranja wa dunia mkuu ila kuna watu wanajidanganya na kudanganywa kuwa imepoteza hiyo nguvu. Jana karibu dunia nzima ilikesha kusikilizia Trump atawafanyaje Iran. Tunahamka asubuhi tunakuta Iran kafungua mfereji.
 
Ametembeza kichapo kwa nani na amepiga nini zaidi ya majengo huku yeye serekali imemalizwa. Ni hurumu tu ya Marekan na Israel ila kwa sasa wangeweza kuteketeza kila kitu hapo Iran ni vile wana huruma na raia wa Iran sasa kama wameweza kuwauwa viongozi wanaojificha vipi kuhusu miundombinu?
Serikali ya Iran haijamalizwa! Serikali ya Iran bado ipo madarakani.

Kwa upande mwingine, Israel haitaki habari za madhara ya mashambulizi ya Iran zitoke.

Israel inaficha nini?
 
Ujuaji mwingi wa Trump mwishowe kaumbuka…
 
Attachments

  • IMG_5053.jpeg
    IMG_5053.jpeg
    264 KB · Views: 15
Huyu jamaa Echolima1 sio Elimu tu hata akili hana , jamaa ndio King of fake news mpaka Jamii check wanamtambua .

Jamaa aliwahi kupost fake news msemaji wa Hamas ameuwawa , baadae anaonekana yupo hai ikapita miezi kadhaa akauwawa kweli akaleta habari tena kuwa ameuwawa , nikamuuliza mtu snakufa mara mbili mara ya kwanza si ulisema ameuwawa na tulivyosema fake news ukabisha sasa kwa nini unajiContradict mwenyewe na kuleta habari nyingine na Tarehe mpya ya kifo chake ?

Jamaa hakujibu hoja na kuanza mambo ya wafuga madevu na majini , sasa unajiuliza mtoto wa Kiume inakuwaje unaona wivu ndevu za Mwanaume ambazo ni identity ya Wanaume na Yesu anayemuamini alikuwa na ndevu ?
Shekhe adriz abu ubaydah yupo hai na ametoa speech juzi.
 
Kwanza iran alishasema kuwa hataki ceasefire maana alichokozwa tunashangaa sasa kwa nini kukubali wakati alichokozwa na viongozi wake wengi tu wanauwawa akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na hawajalipa kisasi chochote.

Sisi Tumia mini tu ni ule Mkwara wa Trump wa kuirudisha Iran Enzi za mawe ndiyo uliosababisha Iran ifyate mkia na kukubali ceasefire na mlango bahari wa Hormuz kuwa wazi watu wajichotee kiwese bila shida!!!
Barua ya iran umeielewa au English ni tatizo?
 
Back
Top Bottom