Sasa hau Iran toka wameanza kupigana na Israel nitajie hata kamanda mmoja au kiongoz mmoja waliouwa wa Israel zaidi ya kuuwa raia sasa Israel akiamua kujirushia makombora hovyo huko Iran unajua madhara yake? Wewe uliona wapi nchi inapigana vita inatumia raia wake kama ngao kwenda kulinda madaraja ni sababu wanajua Israel hawezi kupiga raia. Yaani leo serikali ya Iran inaheshimu na kuwapigia raia wake magoti kisa Netanyahu.
Swali lako kama sijakosea nikwite mbumbumbu au unajizima data!!!
kwani we Ujui kuwa Israel imepitisha Sheria ya kusema uwongo kukana Ukweli!!!!????
ikiwa raia tu wanaficha kuhusu hesabu ya Vifo vyao !!!!!!
unategemea tutaambiwa kuhusu kiongozi wao yoyote kuwa Kafa Vitani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
raia tu hesabu wanaficha unatuuliza kuhusu Viongozi wao!!!
Ni kwamba Viongozi wao wakifa wewe sisi tutajua kutokuonekana kwenye Vikao vyao basi.!!!!
Israel hasemi kiongozi wao yoyote kafa Vitani ni mwiko kwao kisheria!!!!!!!
japo Base zao za Jeshi zimeteketezwa makao makuu yao Mossad nk yameteketezwa!!!
wamechapiga sana lkn vifo wanaficha kisheria jua tena kisheria iliopitishwa Bungeni!!!
So Mfumo wa ni kuficha Maafa yao Dunia isijue
ili wenye akili za vichwa vya kuku Wataendelea kuimba taifa teule lenye nguvu linaweza piga Dunia yote😜 !!!!
mijitu yenye akili kubwaaa kuliko baba zao!!!😜
Kumbe kiakili wapumbavu tu.
Uwezo wao kupigana na mgambo tu!!!
.Sio JESHI kubwa km Iranian nk.