Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kete muhimu za Iran

1. Umoja wa watu wake

2. Strategy nzuri ya kudecentralize mamlaka za kijeshi wakati wa vita

3. Makombora ya kutosha

4. Drone za nei rahisi

5. Uwezo wa kutia hasara maslahi ya USA ktk nchi za Gulf

6. Public opinion ndani ya Marekani iko kinyume cha vita

7. Uwezo wa kuproject power hadi Tel-Aviv Israel

8. Kucontrol Strait of Hormuz

9. Kutokuwa waoga na kuwa Tayari kufa kuliko kusurrender

10. Falsafa ya kama mimi nakufa basi na hizi nchi washirika wa marekani hapa Gulf tunakufa wote.

N.B
Ile move ya Iran kupiga rada za Marekani mwanzoni kabisa mwa vita ilidaidia sana kuvuruga kwa kiasi fulani mipango mkakati ya USA
 
Hakika.

1. Serikali ya Kiislam ya Iran imeshindwa kuangushwa na Wananchi wake.

2. Serikal ya Kiislam ya Iran imeshindwa kuangushwa na Us -Israel.

Pamoja na Damage walizopata. Hili Ni jambo kubwa sana kwa Serikali iliyopo madarakan.
 
Kete muhimu za Iran

1. Umoja wa watu wake

2. Strategy nzuri ya kudecentralize mamlaka za kijeshi wakati wa vita

3. Makombora ya kutosha

4. Drone za nei rahisi

5. Uwezo wa kutia hasara maslahi ya USA ktk nchi za Gulf

6. Public opinion ndani ya Marekani iko kinyume cha vita

7. Uwezo wa kuproject power hadi Tel-Aviv Israel

8. Kucontrol Strait of Hormuz

9. Kutokuwa waoga na kuwa Tayari kufa kuliko kusurrender

10. Falsafa ya kama mimi nakufa basi na hizi nchi washirika wa marekani hapa Gulf tunakufa wote.

N.B
Ile move ya Iran kupiga rada za Marekani mwanzoni kabisa mwa vita ilidaidia sana kuvuruga kwa kiasi fulani mipango mkakati ya USA
Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo baada ya Iran kupigwa Mkwara wa kurudishwa kwenye Enzi za mawe!!
 
Hii vita ndio imamalizika kimtindo hata baada ya wiki mbili kwisha, hakutakuwa na mapigano mangine tena. Vitafuata vikao vya kusawazisha mambo. Trump alikuwa anaitafuta sana hii chance ya kusimamisha vita na sasa kaipata, hatakubali tena kuingizwa cha kike na Netanyau.

Kitu cha kuangalia sasa ni kutathamini malengo ya vita kwa pande zote za mahasimu kama yamefikiwa ili tupate mshindi na kumpa maua yake
 
China kaishawishi vipi Iran katika dakika za mwisho kuhusu ceasefire anaye fahamu kwa undani nini walizungumza wakuu ?
 
Jibu Swali acha kubwabwaja ovyo ovyo!!!
Nje ya mada, kwako Echolima1 (choo cha kulima kimoja1), nilikua na maswali kwako kama ifuatavyo.

SWALI LA 1
Wazazi wako walishakwambia, kama ulizaliwa kabla ya wakati.(nikiwa na maana mimba yako haikutimiza miezi 9).

SWALI LA 2
Wazazi wako walishakwambia, kipindi unazaliwa kwa njia ya kawaida ya asili, ulitanguliza miguu nasio kichwa.

SWALI LA 3
Wazazi wako walishakwambia, kipindi unazaliwa daktari alikupima alama za (Apgar), akakuta ni ndogo. Ndipo daktari na timu ya wauguzi wakakufanyia ufufuaji(resuscitation).

👆👆👆nimekuuliza hayo maswali, baada ya kuona una changamoto kwenye afya yako ya akili. Kwa jinsi unavyojenga hoja na kufikiri kimantiki.
 
Marekani ni kama mbwa Koko anabwekea ndani ya fensi anaambiwa ajaribu kutoa pua apate kipigo, kaamua kuingia mitini baada ya kukubali mashatri ya Iran
 
Attachments

  • 20260408_094901.jpg
    20260408_094901.jpg
    260.2 KB · Views: 17
So far waajemi wana heshima yangu wana stahili bila ubishi kuwa watu wenye akili kubwa sasa nazidi kuelewa kwanini wapo heavy sanctioned
Heshima ipi viongozi wao wote wamefyekwa ,miundombinu imeharibiwa
 
Back
Top Bottom