Hata kipindi cha Marekani kuingia Somalia,Afghanistan,Libya na Iraq watu walisifia resilience ya nchi hizo na hawakuangalia outcome ya vita hivyo!!!
Kwa taarifa yako tu nchi hizo tanga walishapata kilema cha Maisha hawana Serikali imara machafuko kwao ilishakuwa wimbo wa Taifa!,,
Kwa upande wa Iran hata Marekani itoke huko leo usitarajie Iran will stand with its feet. Wapambe endeleeni tu kuwasifia na kuwapamba Iran!!! Lakini Kumbuka I sifa Kama hizi alizipata Saddam Hussein wa Iraq na Muamar Gaddafi wa Libya alionekana Shujaa sana lakini mwisho wake tu Naona nchi hizo mpaka leo hazitawaliki kabisa.
Take note Kokote akiingia Marekani alitoka anakuachia kilema cha Maisha.
Ndiyo mnavyojisifia na kujisikia kuvamia na kubomoa nchi za watu halafu wakifanya resistance muwaite magaidi
Moral compass tu na ule upendo wa vitabu vyenu vya dini uko wapi?
Mgeuzie shavu au jino kwa jino?
Kwa hiyo, unapoingia kwao Libya, Somalia, Iraq, Afghanistan, Syria, Iran, Venezuela kuiba resources na kuvunja serikali zao na kujisifia umeharibu wakae kimya, ila wakileta resistance, muanze kuwapa majina na kuwaita magaidi.
Unawa-oppress, kama una-control kwa nguvu, na wanapojitahidi kupinga, unawaweka kwenye kundi la magaidi!
Kina Mandela, Castro, Che Guevara, Samora Machel, wote walikuwa wanapigania uhuru, lakini walikuwa wanaitwa magaidi kwenye wakati wao.
Leo hii, wanaitwa heroes, lakini wakati wao walikuwa enemies of the state. That’s funny, right?
Kwa sababu standards zinabadilika.
Leo hii Hizbollah na Hamas mnaziita terrorist organization ila hamjiulizi kwanini zipo?
Kabla ya 1982 kulikuwa hakuna Hizbollah lakini baada ya Israel kuivamia Lebanon na kufanya mauaji ndipo ikazaliwa na kuipinga na kusaidia kuwepo Lebanon mpaka leo, la sivyo zionists wangeshaifuta kwa kui-overrun
Hamas walianzisha hao zionist kumpinga Yasser Arafat na PLO/Fatah matokeo yake ndio hao wamewageuka na kuanza kudai haki yao ya recognition kama taifa
Tanzania pia ilikuwa kwenye hiyo situation. In the current context, ukisema Tanzania ilisaidia uhuru na camps za wanaharakati kutoka nchi kama Mozambique, Zimbabwe, Namibia, South Africa. Ila leo hii, those same camps would be considered terrorism camps based on current standards.
Now, fikiria pia hata yule mungu , the one who was crucified by the Roman, kama angerudi leo kwao Bethlehem au Nazareth, His birthplace, huoni kwamba wayahudi wangemuita gaidi kwa sababu angepinga mnachotaka kifanyike kuharibu nchi za watu kwa ulafi na wizi wa resources za watu?
Unafikiri wasingemsulubu tena kwa uhaini na ugaidi?
It’s crazy how history judges people based on context.
Si mngemuita gaidi au mhaini kama alivyoshtakiwa mwanzoni, au siyo?
Now, let’s keep it real, kuna taifa lililoshambulia taifa lingine zaidi kuliko Marekani au Israeli katika miaka ya hivi karibuni?
Wanafadika na nini kuharibu nchi, ustawi na maisha ya watu?
Babu yako huko Nanjilinji au Uhanging’ombe akikosa madawa kwa kupanda kwa gharama za usafiri wewe unaeshabikia kupigwa kwa Iran au Somalia na kwingineko nani anayepata ulemavu wa maisha?
So, who’s the real “terrorist” here?
Why should Israel and US be the one causing all this mayhem, destruction and bloodshed?