hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hatuvisikii kabisa 😄Ving'ora siku hizi vimeenda likizo?
Hatuvisikii kabisa 😄Ving'ora siku hizi vimeenda likizo?
🔨🔨🎯Na tangu imeundwa iyo Israel mwaka 1948 hajawahi kupigana Vita yoyote pekeyake ni uwongo !!!
wanaopigana ndio awa USA na Ulaya !!!
Hakuna cha Vita ya Siku 6 wala siku 10 ni media Propaganda mashine tu leo ndiomana Walokole wanadai Israel taifa teule!!!!
Sababu za zile Propaganda utasikia Israel wananguvu sana wanaweza piga hata iyo Marekani na Dunia😀😀!!!
zile zama technology mawasiliano ilikuwa ndogo.
.ndiomana Propaganda ilifanikiwa zaidi..✍️
hataamini aipac inakwenda kufaIla echolima anafanya walokole wote waonekane hawana ubongo
Donald Trump created an international disaster over absolutely NOTHING and then entered into a negotiation in which he gave up EVERYTHING.
This guy is a massive loser elected by 77 million lost and misguided Americans.
America is weak under Trump.
View: https://x.com/i/status/2041716720214192579
Enheee kwaio una jeshi imara kuliko la iran? Wacha weeee mchambuzi kutoka hungumalwa
Donald Trump created an international disaster over absolutely NOTHING and then entered into a negotiation in which he gave up EVERYTHING.
This guy is a massive loser elected by 77 million lost and misguided Americans.
America is weak under Trump.
View: https://x.com/i/status/2041716720214192579
Iran’s “peace plan” isn’t peace—it’s surrender terms.
Lift ALL sanctions.
Accept their nuclear program.
Pay war reparations.
Pull US forces out.
Let Tehran control Hormuz traffic.
Are you tired of winning?
Lol.
View: https://x.com/i/status/2041702575678816573
Tatizo Wafuga Midevu na Majini ni watu waongo waongo sana!!! Iran alishasema haitaki ceasefire toka zamani na Jana asubuhi alikataa na kufuta mazungumzo yoyote na Marekani Mimi Nilijua wako serious kumbe ovyo kabisa!!Mshindi tayari ni Iranian Sababu zipo wazi!!!
Malengo ya Marekani kashindwa kufikia na Marekani imepigika Vibaya tena kwa Aibu kubwa kimataifa!!!
eneo la Gulf States kambi zake zimechakazwa Wanajeshi wao wamekufa wengi lkn wanaficha!!!
Swali kwako Echolima1 kwanini Marekani karusha taulo wewe usikii Aibu pro Marekani na Israel???