Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Alaaa! Kumbe mnakubali kuwa mchokozi hapo ni Marekani na Israel eh?Kinachotushangaza sisi ni Iran aliyechokozwa na kuuliwa viongozi wake wengi tu harafu anakubalije ceasefire wakati mwanzoni alikataa katakana na Jana tu alifuta mazungumzo yoyote na Marekani, Tunashangaa imefika usiku kukubali ceasefire hii inaonyesha ni jinsi gani Iran ilivyo dhaifu!!!
😂 safi sana.