Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa kama kakubali Iranian kusitisha Vita kwa 2weeks!!!

kiakili kwenu mnashangilia nini
Wkt Dunia nzima inajua ni Trump na mwenzie ndio wanataka iyo Ceasefire!!!

kwenu na Vichwa vyenu vya kilokole mnaruka ruka Mitaani kwa Ushindi

Washindi gani wanaomba Ceasefire!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbona akuomba Iranian iyo Ceasefire!!!!

Kuongoza kondoo waliopotea sio kazi ndogo tena kondoo wenyewe wawe wa Kilokole 🫡🤔🫡🤔🫡🤔!
Kinachotushangaza sisi ni Iran aliyechokozwa na kuuliwa viongozi wake wengi tu harafu anakubalije ceasefire wakati mwanzoni alikataa katakana na Jana tu alifuta mazungumzo yoyote na Marekani, Tunashangaa imefika usiku kukubali ceasefire hii inaonyesha ni jinsi gani Iran ilivyo dhaifu!!!
 
Kwa nn Iran inakubali ceasefire wakati walitangaza jihad dunia nzima, wamefanikiwa kulipa kisasi cha kuuliwa Khamenei na viongozi wengine?

Kwani kaomba Iranian iyo Ceasefire kukubali kwengine kwanza tuanze nani kaomba iyo Ceasefire kama ni Trump wewe mlokole mzigo kiakili kwa Taifa!!!

ndiomana mkaitwa kondoo waliopotea 😜😜😜😜

Unashangangila ni apo. !!!

sio. IRANIAN wameomba iyo Ceasefire!!!

Wangeomba Iranian nyinyi Walokole mngefungua Nyuzi 10 Jamii forum na maneno ya ovyo uku mkiwaita Wapumbavu na wajinga wa Iranian!!!

na kusifia jini lenu la DAMU mliolipa jina la Jehova😜😜

Jehova mpenda DAMU za viumbe wake,, akili kila mtu anazake!!!
 
Mimi sio mlokole. Nimekuuliza kwa nia njema Iran kwa nn kila Mara anavamiwa alafu anakubali ceasefire? Kuna kitu nilitaja kujifunza kupitia jibu lako
 
Nani aliyeomba Ceasefire? Unajua diplomasia?kuna swali uliniuliza huko nyuma kuhusu wayahudi na waislamu sikutaka hata kukujibu maana sijibu maswali ya kipuuzi ambayo majibu yake yapo wazi kabisa
Kwa maelezo ya viongozi wao walisema hawawezi kukubali ceasefire.
Pili swali langu lililenga kwa nini wanakubali ceasefire ikiwa walitangaza jihad?
Waliala kulipa kisasi kuuwawa kaa Khamenei, Larijan na generals. Wamelipa kisasi?
Hayo ndio nilitaka kujua na kujifunza pia
 
Akikujibu Niko pale kwa Mwarabu nasubiri kula Daku!!!
Tatizo sio kukubali Tatizo ni yule mwenye kuomba iyo Ceasefire ndio zaifu!!!!

apo ni muombaji iyo Ceasefire sio yule wa pili!!

Tatizo apo ni uwezo wa kiakili kuweza kutafsiri tukio!!!

Kwanini
Mnamuoji mwenye kuombwa na sio yule zaifu muombaji 🫡🫡🫡🫡🫡

Bible imesema sio mimi NO simo!! Ni Bible nyinyi ni kondoo Mliopotea. kiakili !!✍️
 
Nakuja nyumbani kwako naua wazazi wako na ndugu wengine karibu wote, alafu nakuambia njoo tuongee. Utakubali tuongee?
 
"On behalf of the Islamic Republic of Iran, I express gratitude and appreciation for my dear brothers HE Prime Minister of Pakistan Sharif and HE Field Marshal Munir for their tireless efforts to end the war in the region.In response to the brotherly request of PM Sharif in his tweet, and considering the request by the U.S. for negotiations based on its 15-point proposal as well as announcement by POTUS about acceptance of the general framework of Iran’s 10-point proposal as a basis for negotiations, I hereby declare on behalf of Iran’s Supreme National Security Council:

Wale ambao hawakuuliwa waliachwa for this reason.

Iran watakuwa wanapigwa hivi hivi hadi miaka ikienda wanakuwa kama third world
Hapana, hii itaifanya Iran ikimbizane kuunda bomu la nuclear ili isivamiwe. Israel na US huwezi sikia zinaivamia Pakistan au North Korea au Russia sababu ya kuhofia nuclear war.

France pia imeanza kuongeza stockpile ya nuclear bombs maana wameona ndio solution ya kutovamiwa in future.

Hili halitotokea tena kma wakifika nuclear enrichment ya 90+
 
Tatizo sio kukubali Tatizo ni yule mwenye kuomba iyo Ceasefire ndio zaifu!!!!

apo ni muombaji iyo Ceasefire sio yule wa pili!!

Tatizo apo ni uwezo wa kiakili kuweza kutafsiri tukio!!!

Kwanini
Mnamuoji mwenye kuombwa na sio yule zaifu muombaji 🫡🫡🫡🫡🫡

Bible imesema sio mimi NO simo!! Ni Bible nyinyi ni kondoo Mliopotea. kiakili !!✍️
Hata Mimi hapa ukinichokoza nitakupiga mpaka upigike siwei kukubali ceasefire maana umenichokoza.

Hii ya aliyechokozwa kukubali ceasefire ni udhaifu wa Wafuga Midevu na Majini!!
 
Nakuja nyumbani kwako naua wazazi wako na ndugu wengine karibu wote, alafu nakuambia njoo tuongee. Utakubali tuongee?
Lengo ilikua kung'oa serikali na kufuta mipango ya nuclear kipi kimefanikiwa hapo?

Kufa kwenye vita kupo hata US imepoteza askari na ndege za mabilioni ya dollar ila mwisho wa siku ushindi ndio una matter
 
Jibu Swali acha kubwabwaja ovyo ovyo!!!
 
Lengo ilikua kung'oa serikali na kufuta mipango ya nuclear kipi kimefanikiwa hapo?

Kufa kwenye vita kupo hata US imepoteza askari na ndege za mabilioni ya dollar ila mwisho wa siku ushindi ndio una matter
Hata Iran amepoteza Askari wengi na vibgu vya thamani.
Nimeconcentrate na Khamenei sababu alikua kiongozi mkuu pia Iran ilitangaza jihad
 
Back
Top Bottom