Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nje ya mada, kwako Echolima1 (choo cha kulima kimoja1), nilikua na maswali kwako kama ifuatavyo.

SWALI LA 1
Wazazi wako walishakwambia, kama ulizaliwa kabla ya wakati.(nikiwa na maana mimba yako haikutimiza miezi 9).

SWALI LA 2
Wazazi wako walishakwambia, kipindi unazaliwa kwa njia ya kawaida ya asili, ulitanguliza miguu nasio kichwa.

SWALI LA 3
Wazazi wako walishakwambia, kipindi unazaliwa daktari alikupima alama za (Apgar), akakuta ni ndogo. Ndipo daktari na timu ya wauguzi wakakufanyia ufufuaji(resuscitation).

👆👆👆nimekuuliza hayo maswali, baada ya kuona una changamoto kwenye afya yako ya akili. Kwa jinsi unavyojenga hoja na kufikiri kimantiki.
Maswali ya kijinga kupata kutokea!!!!
 
Bila kujali mtu atasema nini, au upande gani atachagua kusimamia, kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi kabisa

Iran, kwa sasa, ni moja ya mataifa yenye ujasiri wa kipekee duniani.

Imeweza kusimama dhidi ya United States, taifa lenye unparalleled military superiority na nguvu za kijeshi zilizoendelea zaidi duniani.

Pia imekabiliana na Israel, ambayo nayo ni miongoni mwa mataifa yenye highly sophisticated technological and defense capabilities.

Zaidi ya hayo, Iran imebeba mzigo wa geopolitical pressure katika eneo lote la Middle East na imefanya haya yote bila kuwa na explicit strategic backing kutoka kwa China au Russia.

Hata baada ya kushambuliwa mara kwa mara, kupoteza baadhi ya viongozi wake na kukumbana na sustained external aggression, bado Iran imeendelea kusimama imara na kuendelea kujibu na imeonesha wazi kutokubali kunyenyekea.

Kwa mtazamo wa kihistoria (from a historical and strategic perspective), si rahisi kukumbuka taifa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita lililoonyesha kiwango hiki cha resilience, defiance and strategic boldness.

Mtu anaweza kubishana kuhusu matokeo, siasa au madhara yake (outcomes, politics or long-term consequences), lakini jambo moja halipingiki:

Iran imeonyesha kiwango cha uthubutu (boldness) ambacho mataifa machache sana yangethubutu hata kujaribu.

Na bila kujali jinsi hali hii itaishia (regardless of how this unfolds) baada ya hii 2 weeks ceasefire historia huenda ikaikumbuka Iran kama taifa lililokuwa na ujasiri wa kusimama kidete wakati wengine wengi hawakuthubutu.
 
Screenshot_20260408_102606_X.jpg

Screenshot_20260408_102756_X.jpg
 
Mpira unarudi kati
Kesi za Netanyahu zinarudi mahakamani na wanaitisha uchaguzi kumtoa
Kwa Trumpet nako Congress wanaita kura ya impeachment na cabinet wanatakiwa ku invoke Article 25 kumuondoa madarakani na huko mahakamani anaitwa akatoe ushahidi wa Epstein files
Wa Israel wanalalamika Trumpet kawasaliti, sasa watayafumua mafile ya Epstein au wamtungue kama Kennedy
 
Bila kujali mtu atasema nini, au upande gani atachagua kusimamia, kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi kabisa

Iran, kwa sasa, ni moja ya mataifa yenye ujasiri wa kipekee duniani.

Imeweza kusimama dhidi ya United States, taifa lenye unparalleled military superiority na nguvu za kijeshi zilizoendelea zaidi duniani.

Pia imekabiliana na Israel, ambayo nayo ni miongoni mwa mataifa yenye highly sophisticated technological and defense capabilities.

Zaidi ya hayo, Iran imebeba mzigo wa geopolitical pressure katika eneo lote la Middle East na imefanya haya yote bila kuwa na explicit strategic backing kutoka kwa China au Russia.

Hata baada ya kushambuliwa mara kwa mara, kupoteza baadhi ya viongozi wake, na kukumbana na sustained external aggression, bado Iran imeendelea kusimama imara na kuendelea kujibu, na imeonesha wazi kutokubali kunyenyekea.

Kwa mtazamo wa kihistoria (from a historical and strategic perspective), si rahisi kukumbuka taifa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita lililoonyesha kiwango hiki cha resilience, defiance and strategic boldness.

Mtu anaweza kubishana kuhusu matokeo, siasa, au madhara yake (outcomes, politics, or long-term consequences), lakini jambo moja halipingiki:

Iran imeonyesha kiwango cha uthubutu (boldness) ambacho mataifa machache sana yangethubutu hata kujaribu.

Na bila kujali jinsi hali hii itaishia (regardless of how this unfolds) baada ya hii 2 weeks ceasefire historia huenda ikaikumbuka Iran kama taifa lililokuwa na ujasiri wa kusimama kidete wakati wengine wengi hawakuthubutu.
Hata kipindi cha Marekani kuingia Somalia,Afghanistan,Libya na Iraq watu walisifia resilience ya nchi hizo na hawakuangalia outcome ya vita hivyo!!!

Kwa taarifa yako tu nchi hizo tanga walishapata kilema cha Maisha hawana Serikali imara machafuko kwao ilishakuwa wimbo wa Taifa!,,

Kwa upande wa Iran hata Marekani itoke huko leo usitarajie Iran will stand with its feet. Wapambe endeleeni tu kuwasifia na kuwapamba Iran!!! Lakini Kumbuka I sifa Kama hizi alizipata Saddam Hussein wa Iraq na Muamar Gaddafi wa Libya alionekana Shujaa sana lakini mwisho wake tu Naona nchi hizo mpaka leo hazitawaliki kabisa.

Take note Kokote akiingia Marekani alitoka anakuachia kilema cha Maisha.
 
Mpira unarudi kati
Kesi za Netanyahu zinarudi mahakamani na wanaitisha uchaguzi kumtoa
Kwa Trumpet nako Congress wanaita kura ya impeachment na cabinet wanatakiwa ku invoke Article 25 kumuondoa madarakani na huko mahakamani anaitwa akatoe ushahidi wa Epstein files
Wa Israel wanalalamika Trumpet kawasaliti, sasa watayafumua mafile ya Epstein au wamtungue kama Kennedy
Mambo magumu kila mahali
 
Back
Top Bottom