Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ziliwekwa kando, wamelipua shule za mabinti wadogo na wakijua kabisa. Jana Israel imelipua synagogue la wayahudi hapo Tehran wakati maeneo ya kidini, shule, hospitali, n.k ni makosa ya kivita.

Hayo hayo yalitumika kushtaki Nazi Germany, Charles Taylor, Slobodan Milosevic, kina Ruto na uhuru n.k ila wakifanya USA na Israel ni halali.

Israel imetumia phosphorous kemikali iliyokatazwa ila Iran walipotumia cluster bombs wakaishtaki UN!!


Hata China ikiitaka Taiwan si itatumia nuclear tu, same to Russia kwa Ukraine mbona Putin anapigana bila nuclear si angemaliza vita siku moja. Kama unataka kubadili utawala au kuchukua mafuta, kufungua Hormuz ukipiga nuclear hauwezi pata chochote hapo maana madhara yake yataathiri hadi US wenyewe na allies wake middle east ikiwemo Israel.

Iran pia inayo dirty bomb (unatumia enriched uranium kwenye hypersonic missile/ICBM) ila haikutumia maana hiyo huwa ni last option kabisa kwenye crisis yoyote maana ukitumia nuclear basi hakuna kurudi nyuma wewe uliyetupa na aliyetupiwa wote mnapotea kwenye ramani ya dunia

Nimeongelea extent, naelewa marekani ihaswa kwa uongozi wa trump imekuwa ikifanya vitu ambavyo kama isingekuwa na uchumi mkubwa au VETO power UN. Ingekuwa imeshashughulikiwa kitambo

Ila kuna extent ambayo ni ngumu yeye kuipita kama "kiranja" Wa dunia.. Kwa sababu sio tu atatoa justification ya kutokea WW3 ila atapoteza influence ambayo ni msingi wa yeye kufanya political & economic diplomacy.

Kingine mimi sichukui upande ndio maana hii thread pengine ndio ya kwanza au ya pili kuchangia hii issue. Kwa sababu binafsi ku_discuss vita kama battle of supremacy huku wananchi wakipoteza maisha na mali zao. Sioni kama ni sawa

I wish iishe hata kesho
 
View attachment 3569305picha hii inatumiwa kama kebehi na mashabiki wa Israel na Marekani kwa Wairan lakini ina funzo kubwa sana.

Leo hii ukitoa Iran ni taifa gani duniani viongozi wa kisiasa na ulinzi wapo tayari kuwa mstari wa mbele kufia nchi na wananchi kabla hata ya askari wa ngazi ya chini kufanya hivyo ?

Leo hii Tanzania tukikumbana na hali kama ya Iran tuna viongozi wangapi walio tayari kufia Tanzania na Watanzania kabla hata ya askari wa ngazi za chini kuingizwa vitani au ndio watakuwa mstari wa mbele kukimbilia ughaibuni ?
Mkuu wamefia nchi kivipi wakati wametafutwa walipo wakauliwa?

Kwa muda mrefu ayatollah alikua akitafutwa kuuwawa, Feb 28 wakajua alipo wakafanya shambulizi
Vilevilr kwa hao wengine wametafutwa walipo wakauliwa
 
Na Mimi nina swali kwa nini US akabuli ceasefire bila malengo yake ya vita kutimia ?

USA alikuwa na malengo gani na mpaka sasa yametimia mangapi ?

Yom kippur war Egypt alipoteza wanajeshi wengi , lakini unajua kwa nini baada ya vita tu Waziri mkuu na mkuu wa IDF wakajiuzulu ?

Suez war ya 1957 Misri alichakazwa vibaya na majeshi matatu Israel , France na Britain baada ya kufunga Suez canal baadae Marekani na UN wakaingikia kati na kutaka majeshi vamizi yote yaondoke . Japo Egypt alipigiwa sana na vita Kusimama haikuwa nguvu yake ila baada ya vita kuisha 👇👇

1. Viongozi wakubwa Uingereza na Ufaransa walijiuzulu

2. Heshima ya Ufaransa na Uingereza ikishuka globally kwa kuonekana hawana power na influence na ndio ukawa misumari wa mwisho wa kuzika Super power wao.

3. Misri aliyechakazwa vibaya ila aliweza kulinda lengo na kuzuia mfereji wa Suez ambao anaishikilia mpaka Leo heshima yake ilipanda kwa Kasi ya ajabu , Gamal Abdul Nasser akawa ndio kiongozi mwenye power kwenye Arab world, Africa nk mpaka nchi nyingi viongozi wakawa wanamuogopa sababu alikuwa anakubalika sana na anapenyeza revolution ideology and pan Arabism

Soma geopolitics, history na muelekeo wa Siasa za Dunia vita ni zaidi ya kuua viongozi na kuharibu miundombinu.
Nina swali kwako: Iran yeye hana malengo yoyote dhidi ya Israel?
 
Jana ulileta updates nyingi za assassination operations dhidi ya Iran huko Tehran.

Ziliishiaje?
Assassination operation sio lazima zote zifanikiwe. Moja ya assassination iliyofeli uzi ni ha kumuua chief judge mohsei ejei. Hiyo ilifeli
Au unahisi assassination operation ikifanyika lazima ifanikiwe?
 
Niliona picha nikashangaa sana , niliona mpaka Al Jazeera wamepost picha na habari ya kutoa speech nikachukulia masihara , ngoja nikaVerify isijekuwa wamempa usemaji mtu mwingine anaitwa Abu Ubaidah .
Kuna comment umetoka kuniambia nikajifunze geo politics alafu wewe suala dogo kama hili umeshindwa kulijua. Baada ya abu obeida wa kwanza kuuliwa, aliyerithi nafasi nae kapewa hilo jina

Pia abu obeida halikua jina lake halisi, jina lake halisi ni Huthaiga Samir Abdullah
 
aaaaat.PNG


haiishi mpaka iishe
 
🚨🇺🇸🇮🇷 WATCH: "Donald Trump has essentially agreed to give Iran control over the Strait of Hormuz. That is extraordinary.

If this agreement indeed gives Iran the right to control the Strait, that is cataclysmic for the world.

Donald Trump took a military action that has apparently, at least for the time being, given Iran control over a critical waterway they did not have control over before the war began."

- Sen. Chris Murphy (D) of the Foreign Relations Committee to CNN:


View: https://x.com/i/status/2041793724468896117
 
Back
Top Bottom