Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Maisha ya hadharani kwa tafsiri yako ni yapi ? Kwa sababu kuhusu wao kujificha mpaka sasa umeshindwa kunijibuHilo sio jibu? Huoni kuwa hapo maana yake ni kuwa hawaishi maisha ya hadharani?
Maisha ya hadharani kwa tafsiri yako ni yapi ? Kwa sababu kuhusu wao kujificha mpaka sasa umeshindwa kunijibuHilo sio jibu? Huoni kuwa hapo maana yake ni kuwa hawaishi maisha ya hadharani?
Ila una intelijensia ya kujua maisha ya hadharani na yasiyo ya hadharani ?Mimi Sina intelijensia ya kujua safe house zao zipo wapi. Wenye intelijensia waligundua wakawapata
Nimekuuliza mpaka sasa hujajibu Ayatollah kauliwa akiwa wapi ? Al-Quds day viongozi wa Iran walikuwa wapi ?
Najua kabisa hilo sio jina halisi majina ya dizaini hiyo yanaitwa "Kun'ya " hata mimi ninayo Kun'ya yangu Naitwa Abuu ............Kuna comment umetoka kuniambia nikajifunze geo politics alafu wewe suala dogo kama hili umeshindwa kulijua. Baada ya abu obeida wa kwanza kuuliwa, aliyerithi nafasi nae kapewa hilo jina
Pia abu obeida halikua jina lake halisi, jina lake halisi ni Huthaiga Samir Abdullah
Maisha ya hadharani kama unayoishi wewe au mimiMaisha ya hadharani kwa tafsiri yako ni yapi ? Kwa sababu kuhusu wao kujificha mpaka sasa umeshindwa kunijibu
Kwa hiyo unakubali walikuwa hadharani sio mafichoni ?Ayatollah kauliwa akiwa Iran kwenye makazi yake. Hii kwako ndio kufa mstari wa mbele?
Quds day haina maana kuwa viongozi wa Iran wanaishi maisha ya hadharani ambayo unaweza kuwafikia kirahisi.
Nimekutolea mfano hata israe Netanyahu n
Viongozi wengine eote hutokea mara nyingi hadharani lakini haimaanishi kuwa unaweza kuwafikia kirahisi
Jibu gani hapo hujalielielewa?
Yeye hajaanzisha vita kwa hiyo lengo lake kuu lazima kutakuwa mvamizi asitimize malengo yake.Nina swali kwako: Iran yeye hana malengo yoyote dhidi ya Israel?
Ambayo ndio taarifa ya vifo vyao zinavyotoka sio ?Maisha ya hadharani kama unayoishi wewe au mimi
Umeweka maelezo mengi ambayo hayakua na msingi. Kama ulikua unajua abu obeida kafa hakukua na haja ya kujibu kile ambacho ulijibu kwa huyo mtu na kusema ngoja ukajiridhishe. Unaenda kujiridhisha wapi wakati mtu una uhakika kafa. Kwamba una doubt kuwa huenda hajafa?Najua kabisa hilo sio jina halisi majina ya dizaini hiyo yanaitwa "Kun'ya " hata mimi ninayo Kun'ya yangu Naitwa Abuu ............
Kitu kingine unamtafsiri mtu vibaya kwa anachokiandika ndio maana jamaa humu joseph1989 alidai umemlisha maneno kutoka na wewe kushindwa kumtafsirinvtema maandiko yake humu.
Tukija post yangu sijakataa kama Abuu obeida hajafa bali ndio maana nilisema hivyo post ya kwanza kama amefariki , ila Kuna mtu akajlniQuote kuwa yupo hai , sijamkubalia nikasema ngoja nikaVerify sababu nina uhakika asilimia 💯 amekufa ndio maana nilipona taarifa ya Al Jazeera Abuu obeida ametoa kauli sikuchukulia siriaz na nikadhani tu mtu mwingine sio wa mwanzo.
Hakuna mahali nimesema yupo hai bali nimesema naenda kuhakikisha na siku zote watu Wenye akili huwezi kupuuzia jambo na Kukubali bila kuchunguza na kupata evidence ndio Mimi nilichokifanya .
Hiki ulichoandika mbona hakieleweki. Weka vizuri ulichotaka kumaanishaAmbayo ndio taarifa ya vifo vyao zinavyotoka sio ?
Wewe ukiuawa nyumbani kwako au ofisini/sehemu ya kazi kwako na adui yako unakua umeuawa hadharani au mafichoni ?Hiki ulichoandika mbona hakieleweki. Weka vizuri ulichotaka kumaanisha
Anahekuchokoza si ndio unapaswa ummalize?Yeye hajaanzisha vita kwa hiyo lengo lake kuu lazima kutakuwa mvamizi asitimize malengo yake.
Makazi ya kiongozi mkuu ni makazi yaliyo na mifumo ya ulinzi na bahati nzuri inakua compound yenye maeneo tofauti. Huwezi fananisha na nyumbani kwangu au kwako. Una unataka kusema wewe kwako kupo Kama pale ikulu kwa Samia?Wewe ukiuawa nyumbani kwako au ofisini/sehemu ya kazi kwako na adui yako unakua umeuawa hadharani au mafichoni ?
Umehamia kwenye jeshi tena ?Makazi ya kiongozi mkuu ni makazi yaliyo na mifumo ya ulinzi na bahati nzuri inakua compound yenye maeneo tofauti. Huwezi fananisha na nyumbani kwangu au kwako. Una unataka kusema wewe kwako kupo Kama pale ikulu kwa Samia?
Swali langu Iran mifumo yao ya ulinzi, jeshi lao na idara ya intelijensia zilikua wapi Hadi jets zinasafiri zaidi ya km 2000 zinaingia ndani ya Iran bila shida, zinaenda kushambulia makazi ya kiongozi mkuu, zinatoka zinaondoka. Hapo ndio swali langu lilipo.
Hapo kipi hujaelewa? Viongozi wakuu wa nchi hulindwa, Khamenei alikua akilindwa. Hakufa mstari wa mbele kama ulivyosema, ameuwawa sababu ya udhaifu wa ulinzi na jeshiUmehamia kwenye jeshi tena ?
Nikuulize swali jepesi nafikiri litafunga huu mjadala kati yetu unaoenda kuwa wakipuuzi.
Wewe huwa una ingia na mtu kwenye majadiliano kujifunza na kujenga hoja ? Au kubishana tu muda usonge ? Inawezekana nguvu ya kufikiri inapotezwa bure kama mtu yupo kubishana tu.
Washabiki wenzako wa Iran walikua wanasema Trump kakubaliana na masharti ya Iran. Ukiwauliza walitoa wapi hiyo habari hawajuiKazi kweli kweli View attachment 3569372