Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Washabiki wenzako wa Iran walikua wanasema Trump kakubaliana na masharti ya Iran. Ukiwauliza walitoa wapi hiyo habari hawajui
Washabiki wenzako wa Iran walikua wanasema Trump kakubaliana na masharti ya Iran. Ukiwauliza walitoa wapi hiyo habari hawajui
Daah!Kazi kweli kweli View attachment 3569372
Nahisi vita Ile Iran hakuwemo,ni Hawa waarabu wajingawajinga.Hii vita ikiisha itabidi turudi kujiuliza Israel alishindaje ile vita ya siku 6 dhidi ya waarabu.
Hana u spesho wa aina yoyote huyu mteule zaidi ya kutulisha propaganda tu.
Sahihi stores za makombora na drones zitabidi ziongezwe.Daah!
Hii vita mataifa mengi yataitumia kama "case study " kwenye masuala ya ulinzi na usalama.
Nionyeshe alipokubaliana na masharti ya Iran. Just a highlight
kama ni kweli hii Iran kinachofata ni civil war
Una maanisha haya ?Nionyeshe alipokubaliana na masharti ya Iran. Just a highlight
Hivyo vikwazo ni kwa nchi nyingine ila sio kwa Russia,North Korea na China unaweza ukakuta anapewa mzigo mwengine mpya wa silaha tena new model ndani ya wiki hizi mbili.Haya bwanaView attachment 3569373
Itaanza kutokea lini ?kama ni kweli hii Iran kinachofata ni civil war
Najiulizaga huyu jamaa kawaje Secretary of Defence, ukizama press zake namuona kama comedian.hegseth chenga sana aisee
Hizi week mbili haziwezi kuwa za kukaa kizembe hata kidogo ndio Trump maybe kanusa harufu ya Iran kujiimarisha zaidi.Hivyo vikwazo ni kwa nchi nyingine ila sio kwa Russia,North Korea na China unaweza ukakuta anapewa mzigo mwengine mpya wa silaha tena new model.
Mkuu unataka kuniambia hujui kusoma? Nimekuuliza ni wapi Trump amekubaliana na masharti ya IranUna maanisha haya ?View attachment 3569400
Trump kajipigia Iran kadri alivojiskiaHizi week mbili haziwezi kuwa za kukaa kizembe hata kidogo ndio Trump maybe kanusa harufu ya Iran kujiimarisha zaidi.
Unafahamu walicho zungumza katika dakika za mwisho Iran na China before ceasefire fire kuwekwa hata small details ?
Mkuu unataka kuniambia hujui kusoma? Nimekuuliza ni wapi Trump amekubaliana na masharti ya Iran
Unajua nini ? Au basi maybe kosa sio lako ila umri wako au ukubwa wa fikra zako.Trump kajipigia Iran kadri alivojiskia
Na Iran kaogopa karuhusu njia ya Hormuz
Marekani hawezi kutishiwa na hao nyau
Kuwa hujaelewa kuwa wamepewa proposal ambayo wataenda kujadiliana?
Sijajua walizungumza nini, ila nilikuwa na mwambia kuhusiana na hivyo vikwazo Russia,China na North Korea, huwa hawa banagwi na vikwazo vya US.Hizi week mbili haziwezi kuwa za kukaa kizembe hata kidogo ndio Trump maybe kanusa harufu ya Iran kujiimarisha zaidi.
Unafahamu walicho zungumza katika dakika za mwisho Iran na China before ceasefire fire kuwekwa hata small details ?
teuzi ya trump mkuuNajiulizaga huyu jamaa kawaje Secretary of Defence, ukizama press zake namuona kama comedian.