Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

“Almost all of the various points of past contention have been agreed to between the United States and Iran, but a two week period will allow the Agreement to be finalized and consummated,”.
Sijui hata Kama umeelewa kilichomaanishwa hapo

Hiyo ni paragraph mpya, akimaanisha karibu yale yote waliyokua hawakubaliani mwanzo kwa sasa wamekubaliana kati ya Iran na usa. Hayo ambayo wamekubaliana Sasa ndio kayaweka kwenye message yake ya leo

Kama angekua amakubaliana na hago masharti 10 basi leo kwenye message yake kusingekua na suala la regime change, kusingekua na suala la kutorutubisha uraniuma, kusingekua na suala la kuchukua uranium. Sababu haya yanapinana na walichokua wanataka Iran
 
Ni mambo gani ambayo karibu yote hawakukubaliana mwanzo wamekubaliana mpaka ceasefire ya wiki mbili kuwekwa ?

Masharti 10 ya Iran yana mzuia vipi U.S kuweka maoni yake na matamanio yake na yeye katika finalisation ya hiyo agreement wanayo panga ikamilishwe ndani ya hizi wiki mbili ?
 
"Point 10 za Iran ndio itakua base of Negotiation" matokeo yote ya vita yapo hapa na chochote watachozungumza ni kushusha ama kupandisha hapa.

Mfano tetesi ni kwamba Iran amekubali kutocharge Meli Dola milioni 2 badala yake ata charge $1 kwa kila barell. Kwa vimeli vidogo vya barell 70,000 ina maana vitalipa dola 70,000 na Mimeli mikubwa ya barell milioni 2-3 italipa kutokana na ukubwa wake.

Hicho ndio kinachozungumzwa sasa mengine ni propaganda Tu na PR wa Trump.
 
Haiwezi tena kuunda Nyuklia. Muwege mnatumia akili 🤣🤣🤣.

Ni kwamba hamjui physics hata Google/ChatGPT inawashinda.

Iran walishazingua big-time kukosa nyuklia wakati wanaweza.

Ile vita ya siku 12 ndio ilawamaliza nguvu
Kwanini washindwe bado centrifuge zipo na URANIUM 235 ipo enriched kwa zaidi ya 60% so ana uwezo wa kutengeneza nuclear warhead. Trump ndio maana anazitaka hizo stockpiles zilizo kwenye mahandaki ya chini ya mlima. Kama ingekua hazipo na zinebaki majivu basi wangeshaachana na kuzuia Iran kurudi kwenye vituo vya nuclear walivyoshambulia tokea 2025

Iran now kijeshi imekuwa kama yale makundi ya Kigaidi. Haiwezi kujilinda au kupigana as army.

Kwa hiyo there is no way they nchi yao ukitulia kama ilivyokuwa kabla ya vita ya siku 12.

Marekani na Israel walichokuwa wanakiangalia kwa makini kwa Iran ni makombora yake, yalikuwa yanampa cover
 
Kitu kimoja ninachoona kwa watu mnaoichukia Iran na Israel hamjui Historia ya Iran.

Mpango wa Nyuklia na Mazungumzo ya Nyuklia ya Iran yalianza Tangu wakati wa mfalme wao na yeye ndio alianzisha na kukataa baadhi ya masharti ya Marekani.
Tofauti yake na Utawala wa sasa yeye alikuwa anawachukulia wazungu kama washirika na hakuwa na mawazo ya kufuta nchi zingine
 
Iran now kijeshi imekuwa kama yale makundi ya Kigaidi. Haiwezi kujilinda au kupigana as army
Kama haiwezi kwanini Wameshindwa kuifungua Hormuz mpaka majadiliano? Au kwanini wananchi wasingekua wamepindua nchi? Hizo capability za kudungua ndege wamezitoa wapi?
Kwa hiyo there is no way they nchi yao ukitulia kama ilivyokuwa kabla ya vita ya siku 12.
Imetulia na itakua more powerful kuliko awali. Kumbuka wameondolewa vikwazo vya kuuza mafuta pia baada ya ceasefire kuna majadiliano ya kurudishiwa frozen assets basically watakua na pesa kuliko kabla ya vita walipokua na vikwazo vya kiuchumi. Pia kwa sasa raia wako nyuma ya serikali tofauti na kabla ya vita. Kama Iran ilimpoteza Ayatollah na wakuu wengine wa jeshi na serikali na bado haijatetereka basi haitowahi angushwa tena.
Marekani na Israel walichokuwa wanakiangalia kwa makini kwa Iran ni makombora yake, yalikuwa yanampa cover
Si walisema wamelipua 90% ya makombora ya Iran kivipi bado wanarusha kila siku makombora gulf states na Israel bila dalili za kuisha?
 
Mpango wa Nyuklia na Mazungumzo ya Nyuklia ya Iran yalianza Tangu wakati wa mfalme wao na yeye ndio alianzisha na kukataa baadhi ya masharti ya Marekani.
Hakuna kitu huyu alikua kibaraka wa USA asingeweza kuwa na ubavu wa kuanzisha nuclear program yoyote.
Tofauti yake na Utawala wa sasa yeye alikuwa anawachukulia wazungu kama washirika na hakuwa na mawazo ya kufuta nchi zingine
Hii ni excuse tu, Israel ina mpango unaitwa SAMSON OPTION ambao unasema wakipata existential threat (mfano nchi kuvamiwa na kukaribia kuanguka) basi wataachia nuclear warheads ziende kwa sio tu nchi iliyovamia bali kwa mataifa yote makubwa ili wakifa basi wafe na dunia nzima kama samson alivyofanya kwa maadui zake.
https://blogs.timesofisrael.com/the...-temple-columns-soon-fall-on-israels-enemies/

Enhee una maoni gani na huo mpango wa Israel hauoni ni hatari kuliko wa Iran?
 
Kitu kimoja ninachoona kwa watu mnaoichukia Iran na Israel hamjui Historia ya Iran.

Mpango wa Nyuklia na Mazungumzo ya Nyuklia ya Iran yalianza Tangu wakati wa mfalme wao na yeye ndio alianzisha na kukataa baadhi ya masharti ya Marekani.
Tofauti yake na Utawala wa sasa yeye alikuwa anawachukulia wazungu kama washirika na hakuwa na mawazo ya kufuta nchi zingine

Kama nchi ya MASHOGA kwanini isifutwe vitabu vya Dini ikiwemo Bible imetwambia Usodoma na kilichotokea kwenye miji ya wanaoendekeza Usodoma!!!!

So kama ndani ya Bible ukumu za Usodoma Ushoga leo zipo wazi basi Iranian yupo kutetea Ulimwengu wapo njia nzuri..
 
Iran now kijeshi imekuwa kama yale makundi ya Kigaidi. Haiwezi kujilinda au kupigana as army.

Kwa hiyo there is no way they nchi yao ukitulia kama ilivyokuwa kabla ya vita ya siku 12.

Marekani na Israel walichokuwa wanakiangalia kwa makini kwa Iran ni makombora yake, yalikuwa yanampa cover
Endelea kujidanganya kijana.
Kama Iran jeshi limesambaratika wale makamanda wa regular army laki sita waliopelekwa kulinda Hormuz ni shemeji zako!?
 
Back
Top Bottom