100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hata siku 2 haongezwi.⁰
Bora trump wamuongezee miaka 10 ili Wafuga Midevu na Majini wanyooshwe!!
Hata siku 2 haongezwi.⁰
Bora trump wamuongezee miaka 10 ili Wafuga Midevu na Majini wanyooshwe!!
Masahihisho,duru zinasema Iran amefunga Hormuz kwasababu ya Israel kushambulia Lebanon.Asubuhi Iran kashambuliwa na Pia Israel ameshambulia na makombora 100 Lebanon, So Iran wamesema soon wanatoa tamko kuhusu Hilo, pengine vita vinaanza upya mda si mrefu.
Wewe ni mgumu wa kuelewa, al Jazeera na white house wamekusaidia hapo uelewe.Ni mambo gani ambayo karibu yote hawakukubaliana mwanzo wamekubaliana mpaka ceasefire ya wiki mbili kuwekwa ?
Masharti 10 ya Iran yana mzuia vipi U.S kuweka maoni yake na matamanio yake na yeye katika finalisation ya hiyo agreement wanayo panga ikamilishwe ndani ya hizi wiki mbili ?
Naona hakuna aliyeridhika na matakwa yake.Sioni vita vikisimama hapo
Kama ni hivyo basi Trump hawezi kutolewa kwa kazi nzuri anayofanya!!Hata siku 2 haongezwi.
Netanyahu hata sura yake ni imekaa kiuaji, kile unafanya sana huwa kina shape na mwili wako, ukinywa sana pombe mtu akikutizama tu hawezi uliza kama wewe ni mlevi ama la...Naona baada ya kushindwa vita wamegeuzia hasira zao kwa raia wa Lebanon.
Yaani nadhani Netanyau akipitisha siku bila kuuwa watu siku yake inakuwa haijakamilika.
Una hasira na mimi ? Maana huu mwandiko haupo normal tuachane na hili.Wewe ni mgumu wa kuelewa, al Jazeera na white house wamekusaidia hapo uelewe.
View attachment 3569537
Acha porojo alipwe ule mfereji ni wake?Hajafungua ni lazima ulipe, na ikubaliwe na jeshi la Iran. Acheni kupotosha
Kila meli inailipa Iran Bili 4+ kama kodi ya kupita pale.Acha porojo alipwe ule mfereji ni wake?
Sema Kama unazitaka Mimi nikuwekee za wote wawili Marekani-15 na Iran-10Una hasira na mimi ? Maana huu mwandiko haupo normal tuachane na hili.
Hizo points walizo kubaliana mpaka kufikia ceasefire umeshindwa kuziandika hapa ili twende vizuri ?
Yaani kwa ufupi aliyoyasema Iran si aliyoyasema MarekaniWewe ni mgumu wa kuelewa, al Jazeera na white house wamekusaidia hapo uelewe.
View attachment 3569537
Una IDS ngapi ?Sema Kama unazitaka Mimi nikuwekee za wote wawili Marekani-15 na Iran-10
Tatizo yale mnayotamani ndio mnachukua Kama uhalisia. Kwenye hiyo deal ya ceasefire Lebanon haikua included. Ndio maana Jana mlisema marekani kakubali masharti 10 ya Iran, kitu ambacho sio kweli. Ukija kuletewa ufafanuzi mnaona Kama mnachanganywaBREAKING: Israel was not formally part of the Iran negotiations and is unhappy that it "got word" that the deal was finalized at a late stage, per WSJ.
Details include:
1. Israel was not consulted regarding the ceasefire agreement, mediators tell WSJ
2. The extent of the consultation was President Trump calling Israeli Prime Minister Netanyahu "shortly before" the ceasefire was announced
3. Mediators said Israeli officials were unhappy with the terms, including the planned inclusion of Lebanon in the agreement
4. Netanyahu said Wednesday morning that the deal does not include Lebanon, contradicting an earlier statement by Pakistan
The ceasefire situation remains fluid.
Sio kweli, Leo Trump na marekani wanatoa ufafanuzi Hawa washabiki wanahisi Kama marekani kavunja makubaliano. Wao kile wanachotamani ndio wanahisi ni ukweliYaani kwa ufupi aliyoyasema Iran si aliyoyasema Marekani
Moja!!!Una IDS ngapi ?
Tatizo ni washabiki ndio wanajitengenezea habari wenyewe kwa namna wanavyotamani iwe. Mkuu wewe wapi uliona kuwa Marekani wamekubali masharti 10 ya Iran??? Jiulize washabiki waliokua wanasema hivyo walitoa wapiSuluhisho la huu mgogoro ni kumtoa Trump na Netanyahu madarakani..
Halafu ndipo Iran watoe mapendekezo yao..
Sio kweli, Leo Trump na marekani wanatoa ufafanuzi Hawa washabiki wanahisi Kama marekani kavunja makubaliano. Wao kile wanachotamani ndio wanahisi ni ukweli
Hormuz inapita kwenye mipaka ya maji ya Iran na other gulf states. Acha ubishi.Acha porojo alipwe ule mfereji ni wake?