matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
US kuhusu Israel kushambulia Lebanon anasema makubaliano ya kusimamisha vita hayahusishi Lebanoni. Na Iran nao wanasema makubaliano hayo hayahusishi Israel
Hahaha kama ni yeye sijui anakufa mara ya ngapi hii.Niliona picha nikashangaa sana , niliona mpaka Al Jazeera wamepost picha na habari ya kutoa speech nikachukulia masihara , ngoja nikaVerify isijekuwa wamempa usemaji mtu mwingine anaitwa Abu Ubaidah .
mbona sio ngumu kuona jambo hilo mkuu. taarifa rasmi tunasikiliza na tunaangalia kinachofanyika --- lazima ustuke kwenye taarifa rasmi kuna shidaHapo nimeelewa japo ulichosema sidhani Kama ni kweli bali ni hisia zako
🚨 ANCHOR: Iran saying Trump surrendered and stopped the war?
SEN MARKEY: Yes, Trump has surrendered, not Iran.
Trump committed impeachable offenses. Threatened genocide. End of civilization. Even nukes on a non-nuclear country.
IMPEACH HIM NOW, CONGRESS 😡
View: https://x.com/i/status/2041735063352832288
NIsiwe mnafiki nampenda sana Netanyahu kwa kweli hana mzaa na ulinzi wa Taifa lake historia haitakuja kumsahau huyu mwamba.MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥 🔥
Trump anawalea Lea sana Hawa magaidi ,
Hata mwaka jana , Israel walishamuweka target Gaidi Ayatollah Khamenei , Trump akazuia
Huyu Iran tuavhiwe Sisi kama Wayahudi wakuchovya tukiongozwa na NETANYAHU,
Huyu anafadhili vikundi vya magaidi
View attachment 3569603
Mwanzo 49:27
“Benyamini ni mbwa mwitu mkali; asubuhi atakula mawindo, na jioni atagawanya mateka.”
Hii ni baraka ya Yakobo kwa kabila la Benyamini inaonyesha ujasiri na nguvu yao vitani.
Naona Iran amempania Israel safari hii.US kuhusu Israel kushambulia Lebanon anasema makubaliano ya kusimamisha vita hayahusishi Lebanoni. Na Iran nao wanasema makubaliano hayo hayahusishi Israel
Mwenyewe namkubali aisee, unapogusa waisraeli atakusaka popote pale ulipo... Hadi kipindi zinazushwa kwamba ameuawa nilivuta picha ya Israel mpya bila netanyahu nikaona itakuwa na pengo kubwa nikahis majonzi 🥹NIsiwe mnafiki nampenda sana Netanyahu kwa kweli hana mzaa na ulinzi wa Taifa lake historia haitakuja kumsahau huyu mwamba.
Israel bila Netanyahu ni Israel salama ambayo haitakua na migogoro ya vita.Mwenyewe namkubali aisee, unapogusa waisraeli atakusaka popote pale ulipo... Hadi kipindi zinazushwa kwamba ameuawa nilivuta picha ya Israel mpya bila netanyahu nikaona itakuwa na pengo kubwa nikahis majonzi 🥹
Hivi umefuatilia polls mbalimbali zilizofanywa inaonyesha asilimia kubwa ya waisraeli wanaunga mkono hii vita, au unahisi wao hawana akili sababu wanajua chanzo cha wao kukosa utulivu ni sababu ya Iran kufadhili hayo makundi yake ya kigaidi. Hata kama umefuatilia kati ya watu waliopokea ceasefire kinyonge sana basi ni IsraelIsrael bila Netanyahu ni Israel salama ambayo haitakua na migogoro ya vita.
Vita alizoanzisha zote ni za kipuuzi zisizo na mashiko yeyote yale.
-Kawachokoza Iran ilhali Iran hana ugomvi wowote na wao. Mwishowe ameteketeza maisha ya waIsrael wengi pasi na sababu yeyote.
Nukuu kutoka kwa TrumpHayajawekwa wazi
Polls zipi unazosemea wewe??Hivi umefuatilia polls mbalimbali zilizofanywa inaonyesha asilimia kubwa ya waisraeli wanaunga mkono hii vita, au unahisi wao hawana akili sababu wanajua chanzo cha wao kukosa utulivu ni sababu ya Iran kufadhili hayo makundi yake ya kigaidi. Hata kama umefuatilia kati ya watu waliopokea ceasefire kinyonge sana basi ni Israel
Nukuu kutoka kwa TrumpHayajawekwa wazi
Kwani Iran alivyoufunga ule mfereji ni wake?Acha porojo alipwe ule mfereji ni wake?
Huko hatokanyaga believe me bro.Denmark akae radaView attachment 3569760