Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Tatizo yale mnayotamani ndio mnachukua Kama uhalisia. Kwenye hiyo deal ya ceasefire Lebanon haikua included. Ndio maana Jana mlisema marekani kakubali masharti 10 ya Iran, kitu ambacho sio kweli. Ukija kuletewa ufafanuzi mnaona Kama mnachanganywa
Trump ametoa ufafanuzi kuwa Lebanon si sehemu ya ceasefire
View attachment 3569573
Nikuambie kitu, unapojadiliana na mimi jaribu kujadilisna na mimi mwenyewe pasipo kuhusisha watu wengine umeni face mimi basi jitahidi kupambana na maswali na hoja zangu usitumie record zako za kujadiliana na watu wengine humu nami ukaniweka katika kundi hilo.

Huwa sishiriki mijadala na mtu anaye shindwa kuni face mimi naye jadiliana nae analeta utoto na ushabiki wa kipuuzi uliojaa humu wa kuwaweka watu kwa mafungu kuwa huyu ndio wa kundi lile.

Tuachane na hayo, kukujibia ulicho leta sasa huyu hapa PM wa Pakistan
Screenshot_20260408_210619_X.jpg
 
Nikuambie kitu, unapojadiliana na mimi jaribu kujadilisna na mimi mwenyewe pasipo kuhusisha watu wengine umeni face mimi basi jitahidi kupambana na maswali na hoja zangu usitumie record zako za kujadiliana na watu wengine humu nami ukaniweka katika kundi hilo.

Huwa sishiriki mijadala na mtu anaye shindwa kuni face mimi naye jadiliana nae analeta utoto na ushabiki wa kipuuzi uliojaa humu wa kuwaweka watu kwa mafungu kuwa huyu ndio wa kundi lile.

Tuachane na hayo, kukujibia ulicho leta sasa huyu hapa PM wa Pakistan View attachment 3569575
Nimekutolea mfano sababu tumetoka hapo kubishana kuhusu marekani kukubali masharti 10 ya Iran, na ukaamini kuwa marekani wamekubali.
 
Nimekutolea mfano sababu tumetoka hapo kubishana kuhusu marekani kukubali masharti 10 ya Iran, na ukaamini kuwa marekani wamekubali.
Upo kubishana O.K nilikuwa sahihi

Toka nimeanza kujadiliana na wewe sikuwa na fikra za kubishana na wewe nilichokuwa nafanya ni kujibia uliyokuwa unauliza nami kuhoji maswali yangu wewe ulikuwa kubishana O.k
 
BREAKING: Iran's Speaker of the Parliament Ghalibaf releases a statement claiming that 3 clauses of their "10 point proposal" have been violated by the US and Israel.

Parliament Speaker Ghalibaf says:

1. The first clause of the 10-point proposal has been violated regarding a ceasefire in Lebanon

2. The entry of a drone into Iranian airspace, was a "clear violation" of the clause prohibiting any further violation of Iran's airspace

3. The US' denial of Iran’s right to enrichment is a violation, which was included in sixth clause of the framework

"Now, the very 'workable basis on which to negotiate' has been openly and clearly violated, even before the negotiations began," he says.
 
IRANIAN PARLIAMENT SPEAKER GHALIBAF'S FULL STATEMENT:

"Statement on the violation of three key clauses of the 10-Point Proposal (Agreed Framework) before the start of the negotiations

The deep historical distrust we hold toward the United States stems from its repeated violations of all forms of commitments, a pattern that has regrettably been repeated once again.

As the President of the United States has clearly stated in his Truth, the Islamic Republic of Iran’s 10-Point Proposal is a “workable basis on which to negotiate” and the main framework for these talks. However, 3 clauses of this proposal have been violated so far:

1. Non-compliance with the first clause of the 10-Point Proposal regarding the ceasefire in Lebanon, a commitment that Prime Minister Shehbaz Sharif has also explicitly referred to and declared as “an immediate ceasefire everywhere, including Lebanon and other regions, effective immediately”;

2. The entry of an intruding drone into Iran airspace, which was destroyed in the city of Lar in Fars Province, in clear violation of the clause prohibiting any further violation of Iran airspace;

3. Denial of Iran’s right to enrichment, which was included in sixth clause of the framework.

Now, the very “workable basis on which to negotiate” has been openly and clearly violated, even before the negotiations began.

In such situation, a bilateral ceasefire or negotiations is unreasonable."
 
Upo kubishana O.K nilikuwa sahihi

Toka nimeanza kujadiliana na wewe sikuwa na fikra za kubishana na wewe nilichokuwa nafanya ni kujibia uliyokuwa unauliza nami kuhoji maswali yangu wewe ulikuwa kubishana O.k
Mm sipo kubishana bali kueleweshana na pia kutokukubaliana na uongo
 
Waziri wa vita US Pete Hegseth
Iran wachague moja kukabidhi Enriched Uranium waliyonayo au tutakuja kuichukua.

Maneno hayahaya yamesema na Netanyahu. Iran wachague kukabidhi Uranium yao kwa makubaliano au kwa vita kuendelea
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥 🔥


Trump anawalea Lea sana Hawa magaidi ,

Hata mwaka jana , Israel walishamuweka target Gaidi Ayatollah Khamenei , Trump akazuia

Huyu Iran tuavhiwe Sisi kama Wayahudi wakuchovya tukiongozwa na NETANYAHU,

Huyu anafadhili vikundi vya magaidi
FB_IMG_1775670614762.jpg


Mwanzo 49:27
“Benyamini ni mbwa mwitu mkali; asubuhi atakula mawindo, na jioni atagawanya mateka.”

Hii ni baraka ya Yakobo kwa kabila la Benyamini inaonyesha ujasiri na nguvu yao vitani.
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥


An aide to Hezbollah’s secretary-general was killed in an airstrike targeting Beirut, according to reports.
FB_IMG_1775674266714.jpg
 
Huyu ni Trump alisema Lebanon sio sshemu ya ceasefire
View attachment 3569593

Huyu ni Netanyahu ambae muda huu anazungumza kuwa Lebanon sio sehemu ha ceasefire
View attachment 3569594
Direct speech ya mediator
Reported speech za hao wengine
It took 12 hours to respond to the original tweet ambayo wote Trump, VP JD Vance, Sec Rubio, President Dr Masoud na FM wa Iran walikuwa copied/tagged

Maana yake hakukuwa na cease fire in the first place licha ya kauli ya Trump to suggest otherwise na pia kutuma delegation ya VP , Jared na Witkoff kwenda Islamabad kwa negotiation ilikuwa ni uongo

It doesnt make sense at all unless Iran has been played for a sucker au Trump kageuka baada ya Israel kulalamika kuona hawapo sehemu ya negotiation
 

Attachments

  • IMG_7230.jpeg
    IMG_7230.jpeg
    231.3 KB · Views: 25
Back
Top Bottom