Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Assassination operation sio lazima zote zifanikiwe. Moja ya assassination iliyofeli uzi ni ha kumuua chief judge mohsei ejei. Hiyo ilifeli
Au unahisi assassination operation ikifanyika lazima ifanikiwe?
Hahaaa.

Naona umekuwa defnsive bila hata sababu.

Najua kuwa operation yoyote ile ya kijeshi inaweza kufeli. Hii ni common sense tu.

Mine was a genuine question. Kwa sababu wakati unaleta zile taarifa, uliandika pia kuwa taarifa zaidi zitafuata. Au hukuandika hivyo?

Hivyo nilikuwa nauliza ili kujua tu.

Hukuwa na haja ya kuwa defensive.
 
Sijawa defensive sababu najua hata mashambulizi ya kawaida tu sio yote hufikia lengo
Taarifa zaidi huna endapo mpango unakua imefanikiwa na Kuna mtu amekua assassinated, lakini ukiona kimya maana yake hakuna aliyekua assassinated
 
Ayatollah aliuawa akiwa wapi ? Al-Quds day hakukua na viongozi wa Iran ?
Kwa hiyo ayatollah aliuwawa akiwa mtaani? Quds day unataka jets zishushe makombora mbele ya wale raia wote? Walipoonekana pale maana yake maisha yao yapo hadharani?

Nikuulize swali, Netanyahu kutokea hadharani mara kadhaa akikagua sehemu zilizoshambuliwa hii maana yake ni kuwa Netanyahu yupo tu hadharani ni rahisi kufikiwa?
 
Hujajibu swali twende taratibu japo maswali yangu unaya kwepa.
 
MURPHY: “Trump gave Iran control of the Strait of Hormuz, agreed to Iran’s right to enrichment, suspended all sanctions against Iran, and allowed Iran to keep their missile, drone, and nuclear programs.”

Huge W for Iran. 🇮🇷

View: https://x.com/i/status/2041687183870836957

Murphy anaongea tu kwakua amepewa mdomo ila hata kama ni yeye, kipigo alichotoa Iran angekuhaliana na masharti ya waajemi
 
Donald Trump created an international disaster over absolutely NOTHING and then entered into a negotiation in which he gave up EVERYTHING.

This guy is a massive loser elected by 77 million lost and misguided Americans.

America is weak under Trump.

View: https://x.com/i/status/2041716720214192579

Ameua watu aliotakiwa kukaa nao mezani mwisho ikabidi makombora yamuite mezani 🤣🤣🤣 makombora hayajui kuongea lugha laini zaidi ya kukubali kile makombora yanachotaka
FB_IMG_17756451773311373.jpg
FB_IMG_17753936313708312.jpg
 
Hujajibu swali twende taratibu japo maswali yangu unaya kwepa.
Hakuna swali nililokwepa. Maswali yote ninekujibu
Nakujibu tena: Kiongozi kuonekana hadharani mara moja au mbili haimaanishi kuwa anafikika kirahisi ndio maana nimekutolea mfano wa Netanyahu

Unafikiri ni rahisi tu kuingiza ndege kutoka Israel zikaenda zikaingia ndani ya Iran zikajua muda huu Khamenei yupo wapi, zikafanya shambulizi na zikaondoka. Hakukua na resistance yoyote. Unafikiri hayo mambo ni rahisi tu?
 
Huyu ni wewe ulianza hapa:

Mkuu wamefia nchi kivipi wakati wametafutwa walipo wakauliwa?

Kwa muda mrefu ayatollah alikua akitafutwa kuuwawa, Feb 28 wakajua alipo wakafanya shambulizi
Vilevilr kwa hao wengine wametafutwa walipo wakauliwa
 
Nikakuhoji hivi:
Screenshot_20260408_141702_Chrome.jpg
 
Hakuna swali nililokwepa. Maswali yote ninekujibu
Nakujibu tena: Kiongozi kuonekana hadharani mara moja au mbili haimaanishi kuwa anafikika kirahisi ndio maana nimekutolea mfano wa Netanyahu

Unafikiri ni rahisi tu kuingiza ndege kutoka Israel zikaenda zikaingia ndani ya Iran zikajua muda huu Khamenei yupo wapi, zikafanya shambulizi na zikaondoka. Hakukua na resistance yoyote. Unafikiri hayo mambo ni rahisi tu?
Hukujibu ukauliza hivi:

Maisha ya viongozi tena wa Iran ambao wanajua wanasakwa na Israel, wataishi hadharani kama raia wa kawaida?
 
Ndio maana anaamuumiza kwenye ardhi ya majirani zake ambao ni washirika ila yeye hana ubavu Wa kufika marekani na akafanya hata nusu ya marekani anachoweza kufanya katika ardhi yake.

Kiufupi iran yupo strategic kwa sababu hana machaguo mengine zaidi ya hayo. Kiufupi akienda uso kwa uso na marekani bila allies ama sheria za kumbana mmarekani. Iran itafutika kwa muda mchache sana
Huhutaji kuwa Marekani kumpiga Marekani, Marekani Leo ni Taifa kubwa kwa kuyanyonya mataifa mengine, ukiziba hio mirija tayari unampiga yeye, just mwezi mmoja wa kufunga Hormuz tayari zaidi ya Dola Trilioni 3 hisa zimeshuka, usifkiri Trump kapenda kujishusha it's just Iran kaziba hio mirija.

Hii ilikua stance ya Trump kabla ya Vita
20260408_135105.jpg

Yako wapi.
 
Huyu ni wewe ulianza hapa:

Mkuu wamefia nchi kivipi wakati wametafutwa walipo wakauliwa?

Kwa muda mrefu ayatollah alikua akitafutwa kuuwawa, Feb 28 wakajua alipo wakafanya shambulizi
Vilevilr kwa hao wengine wametafutwa walipo wakauliwa
Hapo hujaelewa wapi?
Ulisema viongozi wa Iran wapo mstari wa mbele kufia nchi kuliko wale wa chini.

Hiko ndio nimekataa kuwa si kweli, hawakua mstari wa mbele kufia nchi Bali walitafutwa wakauliwa
 
Hukujibu ukauliza hivi:

Maisha ya viongozi tena wa Iran ambao wanajua wanasakwa na Israel, wataishi hadharani kama raia wa kawaida?
Hilo sio jibu? Huoni kuwa hapo maana yake ni kuwa hawaishi maisha ya hadharani?
 
Hiyo Sheria ipo.
Inaweza ikawa ngumu kuwa applied pale harmuz.
Ila ilikuwa iko applied.

Hizi tozo za transit fees ambazo sasahiv inabid zilipwe kwa Iran na Oman hazikuwepo kabla ya vita.

Iran kwasababu alikuwa anapiga allies wa US. Angepiga meli yoyote ya hao allies.

Meli ambazo zilikuwa zinapita ni China. Kwasababu yeye hafungaman na upande wowote
Hujajibu swali langu umesema ni km22 toka pwani ya Nchi, kama sehemu ina km 33 na Nchi mbili zinakubaliana Oman na Iran, km 22 toka Oman na km 22 toka Iran ni km 44, so according to you hapo Sheria hai apply. Inge apply pale Tu Oman anaekataa, so km 22 toka Iran kungebaki km 11 pwani ya Oman.
 
Back
Top Bottom