Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kafiri wanatamba kobaz chali
Wairan akili kubwa wewe.Kwani si Trump alituambia kuwa wameteketeza makombora yote sasa hayo yanayo safirishwa ni yapi?
Mkubali mkatae hii vita walio vianzisha wamepoteza muelekeo kwa sasa wanafanya mambo kwa pupa kujaribu kupunguza aibu.
Russia tayari kishampa Coordinates Iran sehemu za kupiga za Myahudi, wanacho subiria tu leo waone alicho ongea Trump kitatimia nao waanze kutembea na hizo Coordinates.
View: https://m.youtube.com/watch?v=DVshozkj1pg
Wamepiga Synagogue la wayahudi Iran Leo, bado kuna watu wanafkiri wale ni Jews na sio mashoga na ma Satanist.Uzuri wa Trump hana kabakoo 😁😁😁
Haya sasa malengo ya vita ni kutetea ushoga njooni waunga mkono ushoga mtie neno,
Tukiwaambia Israel na Trump hawana dini mnashupaza shingo 😁
Sawa kwani US na Myahudi hali zao zipoje? Au hujui US analamika tokea vita ianze kuwa Russia anamsaidia kumpa taarifa za sifi Iran? Sasa ushajiuliza US analamika nini.Russia mwenyewe Ukraine ana hali tete anapelekewa moto kimya kimya
Sasa hivi wanapiga vyuo (zaidi ya 30),wamepiga nyumba za maproffesa, sasa wamehamia kwenye nyumba za ibada baada ya Sinagogi, watakuja misikiti na kumalizia na makanisa. Mpaka sasa hawajui target yao juu ya hii vita ni ipi.🚨🇺🇸US-Zionist airstrike hits synagogue in Iran - report
The footage circulating online shows the debris of a building in Tehran totally destroyed in what apparently was a huge attack.
🤔 Meanwhile, the aggressors continue repeating that Iran — a country with the second largest Jewish community in West Asia — is the biggest threat to Israel…
Qatar ama Saudi? Eneo lilipigwa Jana ni Saudia, Kilomita za mraba 1000 ni viwanda tupu, hakuna Dunia hii concentration kubwa ya viwanda kuliko hapo, ukiangalia picha ya Satelite NASA kunawaka kote, SABIC Yenyewe ni $30B revenue factory, si kiwanda cha kitoto.Qatar safari hii lazima walie, wamekuwa na tabia za panya kung'ata na kupuliza
Unachokisema ni kweli Mkuu, malengo yao ya kufanya regime change, ndani ya Iran imeshindikana. Na kujitoa kwenye vita pia imeshindikana, maana waliyemshambulia ndio huyo, anazidi kuwa dhalilisha kila uchao. Kwa kuwafanya wapige hovyo, sehemu zisizo za mikakati. Huku wakizidi kutoa mikwala na vitisho vya kijinga,(mfano Trump kukomenti hadi matusi mtandaoni), ili kumuogopesha Iran. Ukweli ni kwamba Iran, ili iendelee kusurvive itapendeza kama malengo yake, yatafikiwa kikamilifu kwenye hii vita. Napia ndio atakua super power, wa hapo middle east. Sio US/Israel tu bali hakutakua na taifa lolote, litakuja kufanya ujinga wa kuingia nae vitani.Sasa hivi wanapiga vyuo (zaidi ya 30),wamepiga nyumba za maproffesa, sasa wamehamia kwenye nyumba za ibada baada ya Sinagogi, watakuja misikiti na kumalizia na makanisa. Mpaka sasa hawajui target yao juu ya hii vita ni ipi.
Kombora lisafirishwe liende wapi? Popote lilipo linaruka maelfu ya kilomita.Mnatumia kusafirisha makombora Mossad washatoa taarifa, chaguo ni lenu msimamishe mlanbwe mitama
Saudia na Qatar ni maifa ya ovyo sana unapigwa ulipiziQatar ama Saudi? Eneo lilipigwa Jana ni Saudia, Kilomita za mraba 1000 ni viwanda tupu, hakuna Dunia hii concentration kubwa ya viwanda kuliko hapo, ukiangalia picha ya Satelite NASA kunawaka kote, SABIC Yenyewe ni $30B revenue factory, si kiwanda cha kitoto.