Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kwani mashambulizi ya US/Myahudi yaliratibiwa na kupangwa kwenye ardhi ya nchi zipi? au unazani zile kambi zilizoweka Middle East unazani zilikuwa urembo ule? na uzuri Iran alishawambia zamani kabla ya hiyo vita au why US alitishia kumshambulia Cuba endandapo Russia angeweka silaha zake za maangamizi Cuba?
Kwenye ardhi ya Myahudi mbona tayari kishapiga Petrochemical zake hiko kiwanda US anamaslahi yake so kukipiga ni sawa kagusa maslahi ya US.Shambulio ambalo Iran hajajibu ni la daraja na University basi. Sasa wewe unapiga vyuo na daraja ili iweje? Kwa mujibu wa AJ+ Myahudi kapiga mpaka nyumba za Maproffesa na vyuo 30 vya Iran.
Kwahiyo Qatar na Saudia wakiingia hii vita na kujibu mapigo kwa Iran itakuwa ni sawa?.