Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Leo naona Kuna assassination operation nyingi zinafanyika. Je zitakua successful au la, tusubiri taarifa zaidi kesho
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Assassination operation imefanyika katika eneo la kaskazini mwa tabarsi mashhad
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la ekhtiarieh kaskazini mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la chabahar. Milipuko mikubwa sana. Bunker buster imetumika
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi Qaleh Hassan khan Tehran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…