Nikuambie kitu, unapojadiliana na mimi jaribu kujadilisna na mimi mwenyewe pasipo kuhusisha watu wengine umeni face mimi basi jitahidi kupambana na maswali na hoja zangu usitumie record zako za kujadiliana na watu wengine humu nami ukaniweka katika kundi hilo.Tatizo yale mnayotamani ndio mnachukua Kama uhalisia. Kwenye hiyo deal ya ceasefire Lebanon haikua included. Ndio maana Jana mlisema marekani kakubali masharti 10 ya Iran, kitu ambacho sio kweli. Ukija kuletewa ufafanuzi mnaona Kama mnachanganywa
Trump ametoa ufafanuzi kuwa Lebanon si sehemu ya ceasefire
View attachment 3569573
Nimekutolea mfano sababu tumetoka hapo kubishana kuhusu marekani kukubali masharti 10 ya Iran, na ukaamini kuwa marekani wamekubali.Nikuambie kitu, unapojadiliana na mimi jaribu kujadilisna na mimi mwenyewe pasipo kuhusisha watu wengine umeni face mimi basi jitahidi kupambana na maswali na hoja zangu usitumie record zako za kujadiliana na watu wengine humu nami ukaniweka katika kundi hilo.
Huwa sishiriki mijadala na mtu anaye shindwa kuni face mimi naye jadiliana nae analeta utoto na ushabiki wa kipuuzi uliojaa humu wa kuwaweka watu kwa mafungu kuwa huyu ndio wa kundi lile.
Tuachane na hayo, kukujibia ulicho leta sasa huyu hapa PM wa Pakistan View attachment 3569575
Hii ina maana gani ama inaashiria nini!?Iran wanasema wamebakiwa na missiles ambazo wakiambiwa wazihesabu itachukua siku mbili taslimu.
Usiku mwema.Moja!!!
Huyu ni Trump alisema Lebanon sio sshemu ya ceasefireKauli ya mediator, PM wa Pakistan
Note the highlighted in yellow
Upo kubishana O.K nilikuwa sahihiNimekutolea mfano sababu tumetoka hapo kubishana kuhusu marekani kukubali masharti 10 ya Iran, na ukaamini kuwa marekani wamekubali.
Mm sipo kubishana bali kueleweshana na pia kutokukubaliana na uongoUpo kubishana O.K nilikuwa sahihi
Toka nimeanza kujadiliana na wewe sikuwa na fikra za kubishana na wewe nilichokuwa nafanya ni kujibia uliyokuwa unauliza nami kuhoji maswali yangu wewe ulikuwa kubishana O.k
wanamtandao wameishika marekani, huko lebanon netanyahu anaweza ingia mwenyeweHuyu ni Trump alisema Lebanon sio sshemu ya ceasefire
View attachment 3569593
Huyu ni Netanyahu ambae muda huu anazungumza kuwa Lebanon sio sehemu ha ceasefire
View attachment 3569594
Sijakuelewawanamtandao wameishika marekani, huko lebanon netanyahu anaweza ingia mwenyewe
Sarcasm, ukianza kuhesabu kitu sasa hivi then unachukua siku 2 it means ni maelfu ama malaki ya vitu.Hii ina maana gani ama inaashiria nini!?
trump muongo na kashikwa akili na netanyahu huelewi wapi mkuuSijakuelewa
Hapo nimeelewa japo ulichosema sidhani Kama ni kweli bali ni hisia zakotrump muongo na kashikwa akili na netanyahu huelewi wapi mkuu
Direct speech ya mediatorHuyu ni Trump alisema Lebanon sio sshemu ya ceasefire
View attachment 3569593
Huyu ni Netanyahu ambae muda huu anazungumza kuwa Lebanon sio sehemu ha ceasefire
View attachment 3569594