Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mwenyewe namkubali aisee, unapogusa waisraeli atakusaka popote pale ulipo... Hadi kipindi zinazushwa kwamba ameuawa nilivuta picha ya Israel mpya bila netanyahu nikaona itakuwa na pengo kubwa nikahis majonzi 🥹
Mnamsifia bure kwasababu anapigana na wanyonge. Nchi zote zinazopakana na Israel zimewekewa sheria zinazowafanya waww dhaifu kijeshi ili Israeli awe anajipigia tu pale anapojisikia na sheria hizo hizo Israeli inashinikiza Iran iwekewe ili Israeli awe anajipigia tu ki uraisi pale anapojisikia.

Hacheni kuipa Israeli sifa za kijinga0. Hapo Iran tu aliona kwenda kupambana peke yake ni kujichimbia kaburi
 
BREAKING: President Trump is considering a plan to "punish" some NATO countries by moving US troops out of countries which he deemed "unhelpful" to the Iran War, per WSJ.

Details include:

1. The proposal would involve moving US troops from "unhelpful" countries and into countries who were "more supportive" of the Iran War

2. The plan is early in conception and one of several the White House is discussing to punish NATO

3. The US currently has around 84,000 troops stationed across Europe

4. Countries that could benefit because they are viewed as supportive include Poland, Romania, Lithuania, and Greece, US officials said

US-NATO relations appear to be degrading.
 
Sio wake ndio maana alivyoambiwa atarudishwa zama za mawe chap kafungua
 
Ameacha ndala

Muhammad Samir Muhammad Washah, gaidi wa Hamas anayefanya kazi kwa kutumia kivuli cha mwandishi wa habari wa Al Jazeera.

Washah, gaidi muhimu katika makao makuu ya Hamas ya uzalishaji wa roketi na silaha, pia alihusika katika uzalishaji na uhamishaji wa silaha kupitia Gaza.

Gaidi huyo alihusika kikamilifu katika kupanga mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa IDF na kuwa tishio kubwa kwa vikosi katika eneo hilo.

Dah kazi ya uandishi wa habari mashariki ya Kati ni ngumu 😃
 
Nahisi hivyo pia
 
Kiduku
Kama US atathubutu kutumia Nyuklia Iran, nao wanaishambulia Iran na Washington kwa Nyuklia.
Kwani NK yanawahusu nini haya au biti tu
Hiki kitu hata mimi nilikuwa nakiombea sana ili kumkata ngebe Israel maana akizidiwa hatosita kuachia nukes kwa Iran na proxies wake. Hata Russia na China walitakiwa watoe onyo kwa yeyote atakayejaribu matumizi ya nyuklia
 
Angekuwa firm na maneno yake, asingekubali cease fire na wala asingemvuta USA kwenye vita yake mbwa huyu. Israel hawezi kwenda vitani na muajemi akatoboa hata wiki tu, US ndiye anamuweka pale middle east na mbwembwe zote hizo
 
Angekuwa firm na maneno yake, asingekubali cease fire na wala asingemvuta USA kwenye vita yake mbwa huyu. Israel hawezi kwenda vitani na muajemi akatoboa hata wiki tu, US ndiye anamuweka pale middle east na mbwembwe zote hizo
🤣🤣🤣🤣Ndivyo mnavyodanganyana hapo Masjid kubra na sheikh kipozeo?
 
Angekuwa firm na maneno yake, asingekubali cease fire na wala asingemvuta USA kwenye vita yake mbwa huyu. Israel hawezi kwenda vitani na muajemi akatoboa hata wiki tu, US ndiye anamuweka pale middle east na mbwembwe zote hizo
Kuna maswali huwa nawauliza washabiki wa Iran lakini nakosa majibu
Iran waliapa kulipa kisasi kwa kuuliwa Khamenei, Iran waliapa kulipa kisasi kwa kuuliwa Larijani n.k. ni kipi so far wamefanya kwenye kulipa kisasi?
Iran walitangaza jihad dunia nzima, so far kipi kimefanyika kwenye hiyo jihad?

Para 2;. Kama israel wanaweza kuingia Tehran na kufanya assassination ya kiongozi yoyote wanayemtaka, kwa nini Iran nao wasitafute namna ya kuingia Israel na kufanya assassination ya kiongozi wanayemtaka?
 
Trump anavyoropoka utadhani malengo ya msingi ilikuwa kufungua Hormuz, jamaa amepata mlango wa kutokea kwenye huu msala sidhani kama atauacha upite bure bure
Mkuu hii unatuongopea Iran hii ceasefire wanaihitaji sana. Jana marekani waliweka wazi kuwa yale mapendwkezo yao waliyatupa kwenye dustbin

Waliweka wazi kuwa Lebanon si sehemu ya ceasefire. Iran hadi Leo walikua wanalalamika kwa nn masharti ya ceasefire yamevunja na Kama Israel wataendelea kushambulia lebanon basi ceasefire haitafanyika. Lakini Israel bado wanashambulia Lebanon, so far Iran bado wanaenda kwenye negotiation

Kwa walichofanya Israel na wanachoendelea kufanya israe nilitegemea Iran wangeachana na ceasefire
 

Jamaa kumbe Mweupe❗️ndiomana unajisumbua ku UPDATE ujinga ujinga!!!

Nikujibu kwanza swali la mwisho!!!

Tufanye Wairani nawao wameiga Ugaidi wa Mossad❗️

Wakauwa mtu ndani ya Israel wewe City Thunder OKC unategemea Serikali ya Israel kutangaza icho kifo pamoja na kuwepo Sheria ya kuzuiya habari za aina iyo,???

WAISRAEL wa Mwandewa mnashida sana.

Umedai Iranian imeapa kulipiza kisasi kweli!!!

Lkn kwakuwa wewe kwenye macho umefichwa Vifo wanajesh wengi wa Marekani wameangamia ni wengi na raia wa Israel ❗️❗️❗️

kwakuwa umefichwa ndiomana unashangaa ujaona Iranian ikilipiza kisasi!!

Kambi zote kupigwa Gulf States za Jeshi la Marekani mifumo ya Air Defense system aina kibao imebutuliwa Aibu City Thunder!!!

Unashangaa uku unadai ujaona Iranian ikilipiza kisasi!!!

lkn Ushangai Trump kufanya juhudi za kutafuta Ceasefire mbele ya Macho ya Ulimwengu‼️ bado ujagundua kuwa Marekani imechapika!!!

ukitaka kujua ukubwa wa Iranian kwenye Vita hii ondosha Ulokole kwanza!!!

Na ukobaz ndio utaelewa kwanini Marekani na Israel wametafuta hii Ceasefire!!!

Pia Usipende kuongea na watu wa mlengo mmoja tu.
Utoelewa kinachoendelea pande nyengine!!!✍️
 
Tufanye Wairani nawao wameiga Ugaidi wa Mossad❗️

Wakauwa mtu ndani ya Israel wewe City Thunder OKC unategemea Serikali ya Israel kutangaza icho kifo pamoja na kuwepo Sheria ya kuzuiya habari za aina iyo,???
Iran waweze kuigia ndani ya israel alafu wafanye assassination ya viongozi wakubwa, alafu iwe Siri? Israel wafiche?
Israei inapofanya assassination ya viongozi ndani ya Iran, israel ndio hutoa taarifa na huwa wana uhakika. Khamenei, Larijani nk walipouwawa waziri wa ulinzi na Netanyahu ndio wa kwanza kutoa taarifa, kwa maana Wana uhakika na kile walichofanya. Kama Iran wakiweza kufanya hivyo haihitaj tusubiri tuanbiwe na israel, iran wenyewe watatueleza

Umedai Iranian imeapa kulipiza kisasi kweli!!!

Lkn kwakuwa wewe kwenye macho umefichwa Vifo wanajesh wengi wa Marekani wameangamia ni wengi na raia wa Israel
Unamaanisha hiki ndio kisasi ambacho Iran waliapa kulipiza? Kama ni raia hao mbona pote wanakufa

Na ukobaz ndio utaelewa kwanini Marekani na Israel wametafuta hii Ceasefire!!!

Pia Usipende kuongea na watu wa mlengo mmoja tu.
Utoelewa kinachoendelea pande nyengine!!!✍️
Marekani na israel wametafuta ceasefire? Alafu Iran akakubaliana na hiyo ceasefire? Naingia kwako mara ya kwanza naua naowakuta naondoka, narudi siku nyingine naua wazazi wako na ndugu wengine alafu naondoka. Baada ya muda nakuambia njoo tuongee, unakuja tunaongea?
Mtu anayekuita kwenye mazungumzo anakuambia kabisa endapo anayotaka hayatafanyika atakupiga tena kwa nguvu kubwa alafu bado unakubali mazungumzo ikiwa na wewe una nguvu kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…