Homuz ya wapi, kijijini kwenu?Trump aliahidi kuiangamiza IRAN within 48 hrs Iran ikafungua homuz
Homuz ya wapi, kijijini kwenu?Trump aliahidi kuiangamiza IRAN within 48 hrs Iran ikafungua homuz
Kwani wewe unajua Hormuz ya wapiHomuz ya wapi, kijijini kwenu?
Hamna unachokijua, unafuatilia vita kila dakika kishabiki zaidi bila kuelewa kinachoendelea…! Ni kipofu anayebishana na wanao ona, ni mfuata mkumbo flani.Wewe huelewi unataka kusema nini, unaniuliza swali la kijinga. Mimi nafatilia vita najua kila dakika kinachoendelea aafu bado unaniuliza swali la kitoto
Pili siku nyingine ukiwa na text nddfu hiyo badala ya kuipachika kama ilivyo ungeweka link. Kwa akili yako kabisa naweza kukaa kusoma hiko umeandika?
Nilidhani kuna kijijini kina homuzKwani wewe unajua Hormuz ya wapi
Kwa hiyo Trump aliahidi kuiangamiza IRAN yenye mlango bahari WA Hormuz ya Tanzania?Nilidhani kuna kijijini kina homuz
Lakini kama ni Hormuz, hio bado haijafunguliwa na sio kama trump anavyodanganya
Hormuz haijafunguliwa badoTrump aliahidi kuiangamiza IRAN within 48 hrs Iran ikafungua homuz
Wewe mlokole mwenzangu unatuibisha sana humu wote tunaonekana hatuna akili Bali mihemko. Ndio wakatoliki wanatudharau mana wako objective sio mihemko kama mlokole wewe.Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo baada ya Iran kupigwa Mkwara wa kurudishwa kwenye Enzi za mawe!!
Acha kujipendekeza kwa Walokole wakati wewe ni Mfuga Midevu na Majini!!!Wewe mlokole mwenzangu unatuibisha sana humu wote tunaonekana hatuna akili Bali mihemko. Ndio wakatoliki wanatudharau mana wako objective sio mihemko kama mlokole wewe.
Naona Iraq wanaendelea na msako wa kuwatafuta wanadiplomasia na wanajeshi wa US.
View: https://m.youtube.com/watch?v=IAZHlyPr9VQ&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Acha kujipendekeza kwa Walokole wakati wewe ni Mfuga Midevu na Majini!!!
Kwani humu ndani kuna mtu ana meli ya mafuta?Anayesema hormuz imefunguliwa na aende akapite kama mwanaume kweli..
Sema jamaa huwa linamikwara mizito!
Iran imeifunga tena Hormuz. Hili unalizungumziaje??Trump aliahidi kuiangamiza IRAN within 48 hrs Iran ikafungua homuz
Unahisi USA hana ballistic missiles!!Kupigana na Iranian ni kugumu sana Sababu ktk Dunia Nzima Iranian ndio taifa la kwanza kupigana Vita ya Kisasa zaidi
yani Vita ya Kitechnology wakiwa nyumbani kwao kwashabahaa kali ya kushangaza Ulimwengu bila kukosea pamoja na malengo mengine yako km 2000+ ni hatari!!!!
Wameweza kufunga Anga za nchi kadhaa Kambi za Marekani zimebutuliwa pamoja na kuwepo air defense system !!!
Trump kafukuza MAGENERALS wengine wamejiudhulu wenyewe kukwepa kile Trump anataka kiwe!!!
Mageneral wanajua haiwezekani sababu Kitechnology wamedhidiwa na Iranian!!!
so wanajua kifuatacho ni Kuwapeleka Watoto wao kwenye kifo kinachojulikana wazi✍️