Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Yote kwa yote Iron dome na mifumo ya arrows ipongezwe imefanya kazi kubwa na hakuna pingamizi hadi sasa hakuna mifumo bora ya ulinzi kupita hii dunianiš¤
Anazo Ila sio practical, we upo active Uzi huu ila hujifunzi, kila saa unaongea yale Yale ambayo yashazungumzwa nyuma.Unahisi USA hana ballistic missiles!!
Iron dome iondeo,imeonesha failure ya hali ya juu.Yote kwa yote Iron dome na mifumo ya arrows ipongezwe imefanya kazi kubwa na hakuna pingamizi hadi sasa hakuna mifumo bora ya ulinzi kupita hii dunianiš¤
Na kwa vita ya namna hii ballistic missiles hazina umuhimu halafu zile USA kazitengeneza special kwa kubeba vichwa vya nuclear... Kwa vita kama hii ya nchi zilizo mbali na ardhi na strategy zake za kupambana anahitaji ndege ndio maana kaweka nguvu kubwa huko!Anazo Ila sio practical, we upo active Uzi huu ila hujifunzi, kila saa unaongea yale Yale ambayo yashazungumzwa nyuma.
Marekani sasa hivi anacopy drone za Muiran anaziita Lucas, sio kwamba Drone za Muiran ni advanced kuliko Marekani la hasha ila zina gharama kubwa, huwezi pigana vita mwenzako anarusha drone ya Dola 5000 we unarusha drone ya Dola Million 40 utapigwa Tu, kila ukitengeneza drone 1 mwenzako anatengeneza 6000.
ICBM ya Mmarekani LGM-30G anazo unit 300-400 Tu hawezi zitumia kupigana na Muiran zinaisha fasta tu, Muiran kwa siku akiamua anarusha hata missile 500,
hizo ni missile za Enzi za mwalimu, sasa hivi zinakua replaced na LGM 35A ambazo gharama ya sasa ni Bilioni 140 za kimarekani (zaidi ya Trilioni 400 za madafu). Kwa same Budget Iran anaweza tengeneza mamilioni ya missile.
Mossad hii ambayo ilishindwaje kufahamu mateka waliotekwa na Hamas??Kuna kitengo cha ujasusi duniani kuzidi Mossad au kipo chenye udhaifu mbovu kama cha Iran
Acha utani kwa missles na drones alizorusha Iran, Hezbollah na wahouthi bila hiyo mifumo Israel si ingekuwaje!!!Iron dome iondeo,imeonesha failure ya hali ya juu.
Kwamba Mossad ndio ilienda kuwaokoa au?Mossad hii ambayo ilishindwaje kufahamu mateka waliotekwa na Hamas??
Mifumo angalau iliyosaidia ni ya USA ila sio Israel. Nenda katizame bro UA alipeleka mifumo ya patriot na THAAD kumsaidia Israel. Pasi na hii mifumo Israel ingetaabika sana.Acha utani kwa missles na drones alizorusha Iran, Hezbollah na wahouthi bila hiyo mifumo Israel si ingekuwaje!!!
Mossad unaowasifia kwanini wamefeli kugundua walipofichwa mateka kwa miaka miwili?Kwamba Mossad ndio ilienda kuwaokoa au?
Ndege gharama sana kuanzia mafuta hadi maintanance. Hata gharama za vita kwa utumiaji wa ndege ni kubwa. Nadhani wewe mwenyewe umeshaona gharama alizotumia Trump na Israel kwa siku 40 tu zimewafanya watake kusimamisha vita. Missile ni low cost hence hata katika vita huleta gharama ndogo za uendeshaji vita.Na kwa vita ya namna hii ballistic missiles hazina umuhimu halafu zile USA kazitengeneza special kwa kubeba vichwa vya nuclear... Kwa vita kama hii ya nchi zilizo mbali na ardhi na strategy zake za kupambana anahitaji ndege ndio maana kaweka nguvu kubwa huko!
Kuhusu kukopi ni kawaida kwa technology ngapi kazianzisha USA na mataifa mengine wamekopi au unahisi ata mwanzilishi wa missles ni Iran... Au hii AI dunia inayozungumzia kwa sasa si imetoka USA na mataifa mengine wameingilia
Sawa ila bado wamefanya mission nyingi sana pale mashariki ya kati huwezi ambazo bila wao Israel huenda isingekuwepoMossad unaowasifia kwanini wamefeli kugundua walipofichwa mateka kwa miaka miwili?
Kwa namna ya kuondoa viongozi, pia ndege zinaweza tumika even for defence bado zina ubora sana kwenye uwanja wa vita ndio maana mataifa yote makubwa yamewekeza pesa huko kwenye ndege za kizazi cha 5 na 6Ndege gharama sana kuanzia mafuta hadi maintanance. Hata gharama za vita kwa utumiaji wa ndege ni kubwa. Nadhani wewe mwenyewe umeshaona gharama alizotumia Trump na Israel kwa siku 40 tu zimewafanya watake kusimamisha vita. Missile ni low cost hence hata katika vita huleta gharama ndogo za uendeshaji vita.
Bado mifumo ya Israel ilifanya kazi kubwa sana na vipi umepata taarifa ujio wa arrows 4,Mifumo angalau iliyosaidia ni ya USA ila sio Israel. Nenda katizame bro UA alipeleka mifumo ya patriot na THAAD kumsaidia Israel. Pasi na hii mifumo Israel ingetaabika sana.
Drones ni game changer kwasasa. Drone inaweza kufanya yale ambayo fighter jets inafanya walau for 85%.Kwa namna ya kuondoa viongozi, pia ndege zinaweza tumika even for defence bado zina ubora sana kwenye uwanja wa vita ndio maana mataifa yote makubwa yamewekeza pesa huko kwenye ndege za kizazi cha 5 na 6
Bro kama THAAD na Patriot zisingekuwepo Israel ingetaabika. Narudia tena Israel ashukuru sana mifumo ya ulinzi ya Marekani.Bado mifumo ya Israel ilifanya kazi kubwa sana na vipi umepata taarifa ujio wa arrows 4,