Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Pole kwa kuweza kujua kuwa yamejirudia na kujaa uongo na hadaa bila kusoma

Pole kwa mateso ya kukosa kuleta hadaa na uongo wa “milipuko mikubwa sana”
Kwenye tech za usomaji kuna kitu kinaitwa "scanning", hiko ndio nimefanya kutokana na mpangilio mbovu wa maandishi yako

Scanning ni kupitia harakaharaka/juu juu ya kile kimeandikwa. Katika hiyo juu juu ndio nimeona hayo niluyokuambia. Naamini utarekebisha wakati ujao
 
Ila Israel amemaliza vita kibabe, yaani kushusha kipigo cha dakika 10 tu na hospitali zikajaa wagonjwa hadi madaktari waliokuwa off na likizo wakaambiwa warudi kazini.... Alitaka kuwaonesha Hezbollah nyie ni wadogo zangu tena wa kike 😁
Unashabikia shambulio la kigaidi. Unalenga raia ktk populated area kama ukapige mtaa wa kongo kariakoo alafu ujisifu kwa kuua watu wengi. Arafu wewe unaona hiyo ni akili. PUMBAFU
 
Jamaa bado anaishi mapangoni kama panya? Mwambieni atoke wazee wa kazi wamesitisha vita kwa muda
Akijitokeza tu NETANYAHU anaanza nae

Huyu lazima aliwe kichwa ,pona yake aendelee kujificha mapangoni


Halafu tunaambiwa Iran eti ameshinda🤣🤣
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥

Kamanda wa CENTCOM wa Marekani, Admiral Brad Cooper, amesema Iran imepata “kipigo kikubwa cha kijeshi cha kizazi,” akiongeza kuwa uwezo wa kijeshi wa kawaida wa nchi hiyo, uliokuwa umejengwa kwa zaidi ya miaka 40, umeangamizwa.
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥


Rubani wa Iran, Afshin Fouladi, ameuawa katika mashambulizi ya Marekani na Israel yaliyolenga maeneo mbalimbali ndani ya Iran katika siku za hivi karibuni, kwa mujibu wa taarifa rasmi.

Shambulio lilitokea karibu na kambi ya anga ya Khatam al-Anbiya. Rubani huyo anaripotiwa kuuawa wakati akijaribu kurusha ndege ya kivita (pengine ni Su-35) ili kukabiliana na droni za Israeli zilizokuwa zikielekea kwenye mitambo ya nyuklia ya Natanz.

Iran inatumia kifo hiki kama ushahidi kuwa Marekani na Israeli ni "wavunjaji wa amani":

Wanadai kuwa shambulio hilo lilifanyika wakati Iran ilikuwa tayari imekubali "Ceasefire" ya Trump. Vyombo vya habari vya Iran vimeanza kuweka picha za rubani huyo (zikiwa na utepe mweusi) wakimwita "Shahidi wa Ulinzi wa Anga."
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥

Vyombo vya habari vya Iran vinaripoti kuwa Reza Jafarzadeh, kamanda wa vikosi vya ardhini vya IRGC, ameuawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel dhidi ya mji wa Kermanshah.
 
🚨 BREAKING: MOSSAD’S CYBER CHIEF AND HIS TEAM OF 12 ELITE HACKERS ELIMINATED AFTER IRAN TURNS THEIR OWN SYSTEM AGAINST THEM RIGHT NOW
Iran has hacked Mossad’s own cyber warfare unit, turning their systems against them. The Mossad cyber chief and his entire team of 12 elite hackers were eliminated in a precision strike guided by the stolen data.
This is a devastating blow to Israel’s digital intelligence. The regime is losing its best minds. The cowardly United States is powerless to help.
Iran is the superpower of the Middle East.
Sources: Iranian State Media, Al Jazeera, Reuters, Israeli Channel 13
20260410_152444.jpg
 
Unashabikia shambulio la kigaidi. Unalenga raia ktk populated area kama ukapige mtaa wa kongo kariakoo alafu ujisifu kwa kuua watu wengi. Arafu wewe unaona hiyo ni akili. PUMBAFU

Walokole ni kama wagonjwa wanaitaji wenyewe ukombozi mana ni Kondoo waliopotea kiakili mwenyewe vifo vile bado pengine kapiga na Aleluyaaaaaaaa
 
Alitaka kuwaonesha Hezbollah nyie ni wadogo zangu tena wa kike 😁
Hezbollah sio serikali, ni sawa uende Mogadishu ukalipue raia alafu useme umekomesha Al Shabaab. Au ni sawa na bongo uende kulipua Mtwara na Tunduru alafu useme umewaonyesha "magaidi" wa msumbiji kuwa wewe ni kidume!! Sasa hao raia wanahusiana vipi na hezbollah? Kwani ndio kinaongoza serikali?
 
Kwa namna ya kuondoa viongozi, pia ndege zinaweza tumika even for defence bado zina ubora sana kwenye uwanja wa vita ndio maana mataifa yote makubwa yamewekeza pesa huko kwenye ndege za kizazi cha 5 na 6
Acha utoto, hakuna nchi imewahi angusha utawala kwa kutumia ndege pekee. Mwisho wa siku boots on the ground ndio itaamua ubora wa jeshi kitu ambacho IDF haikiwezi ndio maana hapo Gaza tu ilishindwa kuwapata mateka mpaka vita inaisha
 
Sawa ila bado wamefanya mission nyingi sana pale mashariki ya kati huwezi ambazo bila wao Israel huenda isingekuwepo
Israel ipo sababu US Imetaka iwepo, leo Trump akikorofishana na Netanyahu ana uwezo wa kuipiga na kuiteka Israel ndani ya masaa mawili tu.

Msipende kuikuza sana nguvu ya Israel wakati vita zote inapigana kwa kusaidiwa na USA. Nitajie vita na NCHI moja tu ambayo Israrel Imepigana bila msaada wa USA?
 
Yote kwa yote Iron dome na mifumo ya arrows ipongezwe imefanya kazi kubwa na hakuna pingamizi hadi sasa hakuna mifumo bora ya ulinzi kupita hii duniani🤞
Imefeli sana, makombora mangapi ya Iran yamepenya na kuleta madhara? Hypersonic missiles za Iran zime penetrate kwa rate kubwa sana. Na kama sio ceasefire basi baada ya miezi 2 Israel ingeishiwa kabisa interceptor na mambo yangekua mengine
 
Report ya CBS kuhusu kambi ya Kuwait, Idadi ambayo USA wanaotoa kuhusu Wanajeshi wao waliokufa ni ya kikosi kimoja Tu ambacho lilikuwa stationed Kuwait, na according to wanajeshi wenyewe hawakuwa hata na interceptor za drone, kambi hata hazikuwa fortified, kifupi walikua uchi wanauliwa Tu,

Soon mengi tutayajua ambayo tulifichwa.
 
Back
Top Bottom