Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Aljazeera reports;
-Spain is about to reopen its embassy in Tehran to renew bilateral relations with Iran.

Spain ananifurahisha sana,hii vita imempa ujiko sana Iran.
Kuna kitu nakiona kuhusu Spain kuanzia vita ya Gaza na sasa Iran, anampinga waziwazi Israel na Marekani tena kwa kukumbushia historia. Ni aidha Spain ameokoka au anaona hanufaiki na hizi operation zinazofanywa na Europe dhidi ya nchi za dunia ya pili na ya tatu.
Kwa anayejua zaidi kuasi kwa Spain kambi ya West atuhabarishe tafadhali.
 
Report ya CBS kuhusu kambi ya Kuwait, Idadi ambayo USA wanaotoa kuhusu Wanajeshi wao waliokufa ni ya kikosi kimoja Tu ambacho lilikuwa stationed Kuwait, na according to wanajeshi

wenyewe hawakuwa hata na interceptor za drone, kambi hata hazikuwa fortified, kifupi walikua uchi wanauliwa Tu,
View attachment 3570566
Soon mengi tutayajua ambayo tulifichwa.

Wameuwawa kama kuku!

Ceasefire Trump kaitaka kutoa watoto wawatu kwenye kikaongo

wameshindwa kukimbia wataende wapi kama iyo kuwait nchi yao ukubwa wake na Dar es salaam yumkinj Dar kubwa!!!!!!
 
🚨 BREAKING: MOSSAD’S CYBER CHIEF AND HIS TEAM OF 12 ELITE HACKERS ELIMINATED AFTER IRAN TURNS THEIR OWN SYSTEM AGAINST THEM RIGHT NOW
Iran has hacked Mossad’s own cyber warfare unit, turning their systems against them. The Mossad cyber chief and his entire team of 12 elite hackers were eliminated in a precision strike guided by the stolen data.
This is a devastating blow to Israel’s digital intelligence. The regime is losing its best minds. The cowardly United States is powerless to help.
Iran is the superpower of the Middle East.
Sources: Iranian State Media, Al Jazeera, Reuters, Israeli Channel 13View attachment 3570530
Alafu walokole wa kutoka Ilelmela watakuja kusema Israeli imeuwa viongozi kadhaa, Je iran imeuwa nani? 🤣🤣
 
1775831338794.png
 
Report ya CBS kuhusu kambi ya Kuwait, Idadi ambayo USA wanaotoa kuhusu Wanajeshi wao waliokufa ni ya kikosi kimoja Tu ambacho lilikuwa stationed Kuwait, na according to wanajeshi wenyewe hawakuwa hata na interceptor za drone, kambi hata hazikuwa fortified, kifupi walikua uchi wanauliwa Tu,
View attachment 3570566
Soon mengi tutayajua ambayo tulifichwa.
naona vilio vinaanza kutoka mdogo mdogo
si walisema Iran anapiga ovyo
 
Kuna kitu nakiona kuhusu Spain kuanzia vita ya Gaza na sasa Iran, anampinga waziwazi Israel na Marekani tena kwa kukumbushia historia. Ni aidha Spain ameokoka au anaona hanufaiki na hizi operation zinazofanywa na Europe dhidi ya nchi za dunia ya pili na ya tatu.
Kwa anayejua zaidi kuasi kwa Spain kambi ya West atuhabarishe tafadhali.
Nchi nyingi mbona zishaanza kuasi dhidi ya West/USA!?
Belgium nao wakiwemo. Ni vile ukweli umeanza kufunuliwa juu ya siasa za kidunia.
 
Bado point zako za kitoto vile vile.
Hao viongozi wameuawa wakiwa vitani hilo sio jambo la ajabu,wangetaka kujificha kama wanavyojificha kina Netanyahu kiasi cha kukimbilia Ujerumani basi asingekufa kiongozi hata mmoja wa Iran. Viongozi wa Iran wote wamekufa wakiwa WIDELY OPEN katika vita. Mbona kina Netanyahu na jopo lake hatuwaoni wakitembea hadharani??
-Tofautisha assassination ya viongozi na total out war. Usidhani kuua kiongozi aliyejianika wazi ni sawa na kushinda vita kamili,kushinda vita kunahitaji kuimaliza nguvu jeshi pinzani. Kitu ambacho Israel na USA wamefeli hadi sasa.
-Endelea kujidanganya,kama wangeweza kufungua hiyo Hormuz wangeshafanya KABLA ya hizi siku 40 kuisha. It means hawawezi. Na kuhusu Kharg sahau USA kuweka ground troops maana kuna mobilization ya wanajeshi wengi kuliko Hormuz wale laki sita waliowekwa. Sasa kwa akili yako finyu kama maelfu ya askari wanaweza kushinda mamilioni ya askari aya endelea na fikra zako za KITOTO.
Kwa kipigo alichokipokea Iran sijui kama ile kauli mbiu yake ya kifo kwa Israel kifo kwa America anaweza kuisema tena. Amerudishwa kwenye ujima. Uzuri wa Netanyahu hanaga maneno mengi ukibweka anakuweka kwenye orodha kesho anakufikia na hamna cha kumfanya.
 
Kwa kipigo alichokipokea Iran sijui kama ile kauli mbiu yake ya kifo kwa Israel kifo kwa America anaweza kuisema tena. Amerudishwa kwenye ujima. Uzuri wa Netanyahu hanaga maneno mengi ukibweka anakuweka kwenye orodha kesho anakufikia na hamna cha kumfanya.
Nishakuzoea mzee wa empty talks.
Nenda kafutilie hasara alizopata Israel halafu urudi hapa. Nenda katizame INTERNAL DISPLACEMENT miji ya Metula,Kiryat Shmona na Galilaya halafu urejee hapa.
Kwa alichokifanya Iran,kamwe Israel haitothubutu hata kuitamka Iran midomoni.
-Iran bado ipo imara na jana wameanza kukarabati maeneo yaliyoharibiwa kwa kuanzia transportation infrastructure hususan miundombinu ya reli. Hiyo inaonesha Iran ilijipanga.
Raia bado wanaimba kifo kwa Marekani na kifo kwa Netanyahu,huwenda hukutizama video za sherehe ya ushindi Tehran.
Wacha empty talks.
 
Back
Top Bottom