City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kwenye tech za usomaji kuna kitu kinaitwa "scanning", hiko ndio nimefanya kutokana na mpangilio mbovu wa maandishi yakoPole kwa kuweza kujua kuwa yamejirudia na kujaa uongo na hadaa bila kusoma
Pole kwa mateso ya kukosa kuleta hadaa na uongo wa “milipuko mikubwa sana”
Unashabikia shambulio la kigaidi. Unalenga raia ktk populated area kama ukapige mtaa wa kongo kariakoo alafu ujisifu kwa kuua watu wengi. Arafu wewe unaona hiyo ni akili. PUMBAFUIla Israel amemaliza vita kibabe, yaani kushusha kipigo cha dakika 10 tu na hospitali zikajaa wagonjwa hadi madaktari waliokuwa off na likizo wakaambiwa warudi kazini.... Alitaka kuwaonesha Hezbollah nyie ni wadogo zangu tena wa kike 😁
Kama ni hatari kiivyo kwanini akwenda kupigana na iran peke yake? Israeli imepigana na nchi gani mpaka unalopoka kiasi hicho?Hadi sasa duniani hakuna jeshi kali la anga ambalo limethibitishwa linaweza kupita la Israel, wale wadada ni hatari!!
Jamaa bado anaishi mapangoni kama panya? Mwambieni atoke wazee wa kazi wamesitisha vita kwa muda
Akijitokeza tu NETANYAHU anaanza naeJamaa bado anaishi mapangoni kama panya? Mwambieni atoke wazee wa kazi wamesitisha vita kwa muda
Unashabikia shambulio la kigaidi. Unalenga raia ktk populated area kama ukapige mtaa wa kongo kariakoo alafu ujisifu kwa kuua watu wengi. Arafu wewe unaona hiyo ni akili. PUMBAFU
Hezbollah sio serikali, ni sawa uende Mogadishu ukalipue raia alafu useme umekomesha Al Shabaab. Au ni sawa na bongo uende kulipua Mtwara na Tunduru alafu useme umewaonyesha "magaidi" wa msumbiji kuwa wewe ni kidume!! Sasa hao raia wanahusiana vipi na hezbollah? Kwani ndio kinaongoza serikali?Alitaka kuwaonesha Hezbollah nyie ni wadogo zangu tena wa kike 😁
Acha utoto, hakuna nchi imewahi angusha utawala kwa kutumia ndege pekee. Mwisho wa siku boots on the ground ndio itaamua ubora wa jeshi kitu ambacho IDF haikiwezi ndio maana hapo Gaza tu ilishindwa kuwapata mateka mpaka vita inaishaKwa namna ya kuondoa viongozi, pia ndege zinaweza tumika even for defence bado zina ubora sana kwenye uwanja wa vita ndio maana mataifa yote makubwa yamewekeza pesa huko kwenye ndege za kizazi cha 5 na 6
Israel ipo sababu US Imetaka iwepo, leo Trump akikorofishana na Netanyahu ana uwezo wa kuipiga na kuiteka Israel ndani ya masaa mawili tu.Sawa ila bado wamefanya mission nyingi sana pale mashariki ya kati huwezi ambazo bila wao Israel huenda isingekuwepo
Imefeli sana, makombora mangapi ya Iran yamepenya na kuleta madhara? Hypersonic missiles za Iran zime penetrate kwa rate kubwa sana. Na kama sio ceasefire basi baada ya miezi 2 Israel ingeishiwa kabisa interceptor na mambo yangekua mengineYote kwa yote Iron dome na mifumo ya arrows ipongezwe imefanya kazi kubwa na hakuna pingamizi hadi sasa hakuna mifumo bora ya ulinzi kupita hii duniani🤞