Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Aljazeera reports;
-Spain is about to reopen its embassy in Tehran to renew bilateral relations with Iran.

Spain ananifurahisha sana,hii vita imempa ujiko sana Iran.
Kuna kitu nakiona kuhusu Spain kuanzia vita ya Gaza na sasa Iran, anampinga waziwazi Israel na Marekani tena kwa kukumbushia historia. Ni aidha Spain ameokoka au anaona hanufaiki na hizi operation zinazofanywa na Europe dhidi ya nchi za dunia ya pili na ya tatu.
Kwa anayejua zaidi kuasi kwa Spain kambi ya West atuhabarishe tafadhali.
 
Report ya CBS kuhusu kambi ya Kuwait, Idadi ambayo USA wanaotoa kuhusu Wanajeshi wao waliokufa ni ya kikosi kimoja Tu ambacho lilikuwa stationed Kuwait, na according to wanajeshi

wenyewe hawakuwa hata na interceptor za drone, kambi hata hazikuwa fortified, kifupi walikua uchi wanauliwa Tu,
View attachment 3570566
Soon mengi tutayajua ambayo tulifichwa.

Wameuwawa kama kuku!

Ceasefire Trump kaitaka kutoa watoto wawatu kwenye kikaongo

wameshindwa kukimbia wataende wapi kama iyo kuwait nchi yao ukubwa wake na Dar es salaam yumkinj Dar kubwa!!!!!!
 
Alafu walokole wa kutoka Ilelmela watakuja kusema Israeli imeuwa viongozi kadhaa, Je iran imeuwa nani? 🤣🤣
 
naona vilio vinaanza kutoka mdogo mdogo
si walisema Iran anapiga ovyo
 
Nchi nyingi mbona zishaanza kuasi dhidi ya West/USA!?
Belgium nao wakiwemo. Ni vile ukweli umeanza kufunuliwa juu ya siasa za kidunia.
 
Kwa kipigo alichokipokea Iran sijui kama ile kauli mbiu yake ya kifo kwa Israel kifo kwa America anaweza kuisema tena. Amerudishwa kwenye ujima. Uzuri wa Netanyahu hanaga maneno mengi ukibweka anakuweka kwenye orodha kesho anakufikia na hamna cha kumfanya.
 
Nishakuzoea mzee wa empty talks.
Nenda kafutilie hasara alizopata Israel halafu urudi hapa. Nenda katizame INTERNAL DISPLACEMENT miji ya Metula,Kiryat Shmona na Galilaya halafu urejee hapa.
Kwa alichokifanya Iran,kamwe Israel haitothubutu hata kuitamka Iran midomoni.
-Iran bado ipo imara na jana wameanza kukarabati maeneo yaliyoharibiwa kwa kuanzia transportation infrastructure hususan miundombinu ya reli. Hiyo inaonesha Iran ilijipanga.
Raia bado wanaimba kifo kwa Marekani na kifo kwa Netanyahu,huwenda hukutizama video za sherehe ya ushindi Tehran.
Wacha empty talks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…