Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nifuatilie wapi? Kuna hasara kubwa kwa taifa kama kuwawa viongozi tena wa ngazi ya juu? Tatizo unaleta ushabiki kwenye mambo nyeti wewe unadhani kutumia raia kulinda madaraja ni hatua ya kawaida. Hiyo inaonesha jeshi limeishiwa mbinu wangeenda wao kulinda waone si huwa mnasema humu hawaogopi kufa.
 
BREAKING: The US has agreed to 'release Iranian frozen assets held in Qatar and other foreign banks' and this is 'directly linked to ensuring safe passage through the Strait of Hormuz', according to Reuters report.
Iran kajua kuikomalia Israel na baba ake US.

Iran angeendelea kushikilia bomba kidogo tu Trump angedata kabisa.
 
BREAKING: The US has agreed to 'release Iranian frozen assets held in Qatar and other foreign banks' and this is 'directly linked to ensuring safe passage through the Strait of Hormuz', according to Reuters report.
 
BREAKING: The US has agreed to 'release Iranian frozen assets held in Qatar and other foreign banks' and this is 'directly linked to ensuring safe passage through the Strait of Hormuz', according to Reuters report.
Kuna habari ukisikia tu unajua hii haiwezi kuwa kweli. Unaamini marekani wanaweza kufanya hivyo?
 
Kwanini isiwezekane wakati mali ni halali ya iran?
Sijasema sio halali ya Iran, nilichosema ukisoma hiyo habari haiwezi kuwa kweli kwa sababu bado Iran hana nguvu ya kufanya marekani watekeleze hilo

Nitakupa mfano Iran walisema lebanon ni sshemu ya makubaliano kwa ajili ya ceasefire. Marekani na Israel wakasema Lebanon sio sehemu ya makubaliano. Iran wakasema israel akiendelea kushambulia lebanon basi ceasefire inakufa na hakutakua na majadiliano.
Israel bado anashambulia lebanon, mbona bado Iran wameenda kwenye majadiliano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…