Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nan ameomba cease fire mara yamwisho ishu ilikua marekan alipue vituo vya nishati nakuipeleka Iran stone age tukaona raia wakipelekwa kuwekwa human shield then dakika zajion tukasikia majamaa wamekubal mazungumzo
Mbinu ya kutumia Raia ni ishara ya jeshi ya Iran kusarrenda na kuomba msamaha

Ila Kwa vile hutumiagi akili huwezi kuelewa
 
Mm hapo Israel kuvunja kanuni za mazungumzo siyo Msingi wa hoja yangu...

Kumbuka Iran iliwasilia proposal tu.. it can be accepted or rejected na ipo kwenye mazungumzo kipi kikubaliwe au kikataliwe so let's wait and see kwenye hizo proposal za Iran ipi imekubaliwa then ndiyo utauliza hili swali

Point yangu na swali la Msingi ni Kuwa Kwanini Marekani military operations yake ime-fail hapo Iran?

Kitendo Cha Marekani kuomba negotiations na Iran, tayari ushindi mkubwa sana kwa Iran.
Wewe ni mjinga
Marekani amemlazimisha Iran kufungua. Mlango bahari na arejee kwenye mazungumzo
 
Does military operations achieved?
Yes 💯
Kwanza tulitegemea rescue mission jeshi la Iran longejitokeza kuzuia mateka likajifungia ndani

Pili wakati Marekani imetaka kushambulia power plant tulitarajia jeshi liwe front kuzuia
Wanalazimisha raia kuingia front

Jeshi la Iran limeshindwa vibaya
Marekani Ina utu inagoma kushambulia raia
 
Kama ndiyo hivyo! Mbona military operations haijatimizwa hapo Iran?

Tumia akili kunijibu swali langu hapo juu.
Wewe ndo maana nasema tumia akili

Jeshi la Iran kama Bado Lina nguvu lisingetanguliza raia

Ni sawa na Nyerere atangulize wahaya kule Kagera. Mbele ya mizinga ya idd amini kipindi kile
 
Wasilisha hoja yako bila matusi..! JITAFAKARI.

Kwanini US amlazimishe kama yeye ni superpower alishindwa vipi kwenda kufungua?
Ujinga sio tusi ni kukosa uelewa wa jambo kama wewe kuhusu hii vita una ujinga Fulani

Anayelazimisha na anayelazimishwa na akakubali kwenda nani mwenye nguvu ?
 
How?
Kwanza tulitegemea rescue mission jeshi la Iran longejitokeza kuzuia mateka likajifungia ndani
Rescue mission ipi? Mbona Ndege zote zilipigwa chini au wewe unafuatiliwa lipi?
Pili wakati Marekani imetaka kushambulia power plant tulitarajia jeshi liwe front kuzuia
Wanalazimisha raia kuingia front
Unajua maana human Shield? (Ku- Google)
Jeshi la Iran limeshindwa vibaya
Kama ni hivyo basi saivi tungeona Kuna Ground invasion, regime imebadilishwa.. lakini mpaka saiv hamna kitu Cha maana ambacho US amefanya hapo middle east zaidi ya kutia hasara Gulf Countries
Marekani Ina utu inagoma kushambulia raia
Utu upi? Si useme wameshindwa! Kama angekua na utu kwanini alishambulia shule na kuua watoto wasiyo na hatia zaidi ya 175?
 
Mm hapo Israel kuvunja kanuni za mazungumzo siyo Msingi wa hoja yangu...

Kumbuka Iran iliwasilia proposal tu.. it can be accepted or rejected na ipo kwenye mazungumzo kipi kikubaliwe au kikataliwe so let's wait and see kwenye hizo proposal za Iran ipi imekubaliwa then ndiyo utauliza hili swali

Point yangu na swali la Msingi ni Kuwa Kwanini Marekani military operations yake ime-fail hapo Iran?

Kitendo Cha Marekani kuomba negotiations na Iran, tayari ushindi mkubwa sana kwa Iran.
Hapana, ili Idan afanye negotiation ilikua lazima Israel waache mashambulizi ndani y Lebanon. Walisema hawataenda Pakistan kufanya negotiation Kama Israel ataendelea kuishambulia Lebanon. but wameenda
Screenshot_20260412-000429_1.jpg
 
Wewe ndo maana nasema tumia akili

Jeshi la Iran kama Bado Lina nguvu lisingetanguliza raia

Ni sawa na Nyerere atangulize wahaya kule Kagera. Mbele ya mizinga ya idd amini kipindi kile

SHIDA yenu kuwa kondoo waliopotea ukiacha ukondoo unaweza kuonekana mwenye Akili sana!!

Ipo Ivi Sheria za kimataifa zinazuiya kupiga miundombinu ya Kiraia!!!!

sasa Marekani walitangaza kupiga Madaraja ya Kiraia✍️

ndipo Iranian ikawatakq Wananchi waende kwenye aya Madaraja ili kuzuiya Marekani isithubutu kuyapiga!!!!

Marekani alitakiwa kupiga maeneo ya Kijeshi sio ya Kiraia kama Daraja Masoko nk..✍️

Iranian haikuwa na kosa Sababu iyo miundombinu inalindwa kisheria za UN
Maana Marekani hawakuwa Wavamizi wa Ardhini kiasi wapate Sababu ya kupiga Madaraja!!!

Iranian haikuwapeleka Wananchi wake kulinda miundombinu ya
Kijeshi 💣

wangepelekwa uko ndipo tungewakosoa kwa pamoja✍️
 
Wakati Iran ikidai Trump amekubali kuachia mabilioni ya fedha yaliyoko Qatar ili kufungua Hormuz, White House imejibu kwa neno moja: 'Uongo'

Ikulu ya Marekani imekanusha taarifa zinazoeleza kuwa Marekani ilikubali kufungua (kuachia) mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa, baada ya chanzo kutoka Iran kudai kwamba fedha zilizohifadhiwa nchini Qatar na katika benki nyingine zingeachiliwa.

Kiasi kinachozungumziwa zaidi ambacho Marekani imekishikilia (hasa kile kilichopo Qatar) ni Dola za Kimarekani bilioni 6 sawa na Tsh trilioni 15.54 (15,546,654,000,000 TZS).

Fedha hizo zilitoka wapi?

Hizi ni fedha zinazotokana na mauzo ya mafuta ya Iran kwenda Korea Kusini. Zilikwama huko tangu mwaka 2018 baada ya Trump kuweka vikwazo mara ya kwanza. Baadaye zilihamishiwa nchini Qatar mwaka 2023 kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa, lakini zikazuiliwa tena baada ya mzozo wa Mashariki ya Kati kuongezeka. Pesa hizo ndio serikali ya Tehran inadai zimeachiliwa.

Idadi ya pesa za Iran zinazoshikiliwa na Marekani

Licha ya hizi bilioni 6 (Tsh trilioni 15.5), inakadiriwa kuwa Marekani imezuia jumla ya mali za Iran zenye thamani ya zaidi ya Dola bilioni 120 duniani kote. Hiyo ni zaidi ya Tsh trilioni 310, kiasi ambacho kinaweza kuibadilisha kabisa uchumi wa Iran ikiwa kitaachiwa.
 
Back
Top Bottom