Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump yuko kwenye wakati mgumu sana pengine kushinda marais wengi waliomtangulia
Na mayahudi probably walijua kumuingiza chaka wakati huu kwa kua hakuna nafasi ya ku back down kwa US bila madhara makubwa
Kumaliza vita bila objectives walizojiwekea kukamilika ni sawa na kushindwa na kukubali kushindwa ni sawa na kukubali kuachia hegemony yake na Iran ni taifa muhimu katika hilo
Hivyo analazimika either Iranians wakubali masharti yake au afanye annihilation alinde kiti kwa nguvu na hili ni hatari sana hata Trump anafahamu hilo ndiyo maana anarukaruka kujaribu kubuy time na vitisho na kuropoka hovyo
Aftermath is unthinkable endapo kama tutafikia hapo.
Au sio
 
Iran sio Libya mpaka wanavimba hivyo it's totally Definition Tayari wamejua opponents wao hawana Cha kuwatisha hawana jipya ni mikwara mbuzi tu 🤣🤣

USA kajichanganya kmmk ukisikia mbabe wa mtaa anapigwa na mkulima ndio hiyo sasa
 
Si MAREKANI walipiga Shule ya watoto!!!

umeona UN walivopiga kelele Sababu ile sehemu sio ya Kijeshi!!!

MAREKANI anataka Dunia ijue yeye ndio mwenye Maguvu sasa mbona anatwangusha tuone uwezo wake kivitendo!!!!

kufungua tu Hormuz anatafuta msaada mwisho katoa makam rais kutoka MAREKANIna ujumbe kibao kwenda kutafuta Suluhu!!!!!

Si aliamini kwenye Jeshi lake kila kitu kinawezekana!!!

vipi kuja tena kwenye Meza ya mazungumzo Je sio kushindwa uku!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
How?

Rescue mission ipi? Mbona Ndege zote zilipigwa chini au wewe unafuatiliwa lipi?

Unajua maana human Shield? (Ku- Google)

Kama ni hivyo basi saivi tungeona Kuna Ground invasion, regime imebadilishwa.. lakini mpaka saiv hamna kitu Cha maana ambacho US amefanya hapo middle east zaidi ya kutia hasara Gulf Countries

Utu upi? Si useme wameshindwa! Kama angekua na utu kwanini alishambulia shule na kuua watoto wasiyo na hatia zaidi ya 175?
Ndege zote zilipigwa chini
Kwa hiyo baada kuokolewa waliondoka na miguu au boda sio ?

Hata kama ni baba mwenye akili na nguvu huwezi kutanguliza watoto mbele ya adui

Jeshi baada ya kuona haliwezi moto wa us wakachimba na ndo ujinga hamas alikuwa anafanya kujificha kati kati ya Raia

Ground invasion ni mbinu za kizamani unalenga miundombinu ya kijeshi unamrudisha stone age basi

Hata Viongozi wa Iran wanajua Marekani Wana utu ndo wakatanguliza raia kuomba huruma ya Marekani
Walijua Marekani wasingeshambulia raia

No nuclear weapons progress in Iran
All top leader change by death sio Kwa hiari Yao

Kwa hiyo regime umefanikiwa Kwa asilimia 100
 
SHIDA yenu kuwa kondoo waliopotea ukiacha ukondoo unaweza kuonekana mwenye Akili sana!!

Ipo Ivi Sheria za kimataifa zinazuiya kupiga miundombinu ya Kiraia!!!!

sasa Marekani walitangaza kupiga Madaraja ya Kiraia✍️

ndipo Iranian ikawatakq Wananchi waende kwenye aya Madaraja ili kuzuiya Marekani isithubutu kuyapiga!!!!

Marekani alitakiwa kupiga maeneo ya Kijeshi sio ya Kiraia kama Daraja Masoko nk..✍️

Iranian haikuwa na kosa Sababu iyo miundombinu inalindwa kisheria za UN
Maana Marekani hawakuwa Wavamizi wa Ardhini kiasi wapate Sababu ya kupiga Madaraja!!!

Iranian haikuwapeleka Wananchi wake kulinda miundombinu ya
Kijeshi 💣

wangepelekwa uko ndipo tungewakosoa kwa pamoja✍️
Wale walitangaziwa na kulazimishwa Iran hakuna demokrasia ya kusema niende au nisiende

Kwa hiyo jeshi kilionyesha udhaifu wake Tena Kwa KUJICHANGANYA kati kati ya wananchi
 
Trump yuko kwenye wakati mgumu sana pengine kushinda marais wengi waliomtangulia
Na mayahudi probably walijua kumuingiza chaka wakati huu kwa kua hakuna nafasi ya ku back down kwa US bila madhara makubwa
Kumaliza vita bila objectives walizojiwekea kukamilika ni sawa na kushindwa na kukubali kushindwa ni sawa na kukubali kuachia hegemony yake na Iran ni taifa muhimu katika hilo
Hivyo analazimika either Iranians wakubali masharti yake au afanye annihilation alinde kiti kwa nguvu na hili ni hatari sana hata Trump anafahamu hilo ndiyo maana anarukaruka kujaribu kubuy time na vitisho na kuropoka hovyo
Aftermath is unthinkable endapo kama tutafikia hapo.
Trumph Hana wakati ngumu Wala hana lengo la kumaliza vita
Angetamani hivyo angechomokea kwenye negotiations ya Pakistan
 
Wakati tukijiandaa na mtanange kipindi cha pili baada ya majadiliano kushindwa kuzaa matunda, ngoja tuweke rekodi sawa ili tusiwe tunapindisha mada kila mara humu ndani.
Malengo ya uvamizi wa kijeshi wa marekani na israel pale Irani ni, kubadilisha utawala wa Ayatollah, kuzuia urutubishaji wa uranium pamoja na umiliki wa bomu la nyuklia, kuzuia Irani isitengeneze makombola ya masafa marefu pamoja na kudhoofisha proxies wa Iran pale Mashariki ya kati
Tuishi humu katika mijadala yetu wadau
Na huku pia tupo, maana ndio sababu ya trump kuingizwa chaka na nyau kuwa ana faili lake na kama hatamsaidia vita na Iran, analimwaga wazi

1776011445322.png

1776011554468.png
 
Hapana, ili Idan afanye negotiation ilikua lazima Israel waache mashambulizi ndani y Lebanon. Walisema hawataenda Pakistan kufanya negotiation Kama Israel ataendelea kuishambulia Lebanon. but

Hapana, ili Idan afanye negotiation ilikua lazima Israel waache mashambulizi ndani y Lebanon. Walisema hawataenda Pakistan kufanya negotiation Kama Israel ataendelea kuishambulia Lebanon. but wameenda
View attachment 3571166
Mkuu kama nilivyo kuambiaa hapo awali Kuwa hizo ni proposal tu.

it's not an agreement/contract ni kitu ambacho kinazungumzika.

Kama Trump anavyo amka na kudanganya Dunia ameshinda vita but in reality tunaona ng'oma bado mbichi
 
Nifuatilie wapi? Kuna hasara kubwa kwa taifa kama kuwawa viongozi tena wa ngazi ya juu? Tatizo unaleta ushabiki kwenye mambo nyeti wewe unadhani kutumia raia kulinda madaraja ni hatua ya kawaida. Hiyo inaonesha jeshi limeishiwa mbinu wangeenda wao kulinda waone si huwa mnasema humu hawaogopi kufa.
Still una empty talks.
-Viongozi ni watu hivyo unaweza kuwa replace vizuri tu. Na hilo limeonekana viongozi wamefanyiwa replacement. Kwenye population ya watu 90 millions ushindwe ku replace viongozi!??
-Kwahiyo kaya ELFU KUMI kuharibika sio hasara?? Unajua ukubwa wa KAYA ELFU KUMI KIJANA!??
-Raia kuzunguka kwenye miundombinu na maeneo ya vinu vya nishati ni kuonesha SOLIDARITY kuwa wapo na serikali yao. Hawakushikiwa bunduki na kulazimishwa bali walienda kwa hiyari yao.

Muda mwingine hata sijui kwanini nakujibu . Nitaacha kukujibu kuaanzia sasa.
 
Then baada ya kuua top leaders walifanikisha malengo yao? Ikiwemo regime change?

Unaelewa maana ya human Shield?

Kama Jeshi limeishiwa nguvu, Marekani alishindwa nini kufungua strait of Hormuz? Mpaka kuomba negotiations?
Nahisi huyu jamaa mtoto kiumri maana point zake ni vichekesho.
Raia wameenda wenyewe kutanda kwenye miundombinu kama solidarity kwa serikali yao. Yeye anakwambia human shield.
 
Here we go again
Trump says US to blockade ships crossing Strait of Hormuz.
Al Jazeera


Hizi taarifa plus taarifa za Trump kuitishia China kuhusu kuwaongezea ADs na silaha nyingine Iran....
Hii vita ni zaidi ya Nuclear program ya Iran
Ataaibika hatoamini. Hilo geti la kuzuia Hormuz baada ya kupita maji ya Iran na Oman ataliweka wapi??
Ataaibika vibaya sana naona huyu mzee anaenda kudata.
 
Wale walitangaziwa na kulazimishwa Iran hakuna demokrasia ya kusema niende au nisiende

Kwa hiyo jeshi kilionyesha udhaifu wake Tena Kwa KUJICHANGANYA kati kati ya wananchi

We jamaaa utakuwa mtambo kichwa umejaza ujinga ujinga waKichungaji!!!!!

Sheria za UN zinapinga kupigwa. Miundombinu ya Kiraia tu.!!!

Mfano kwanini Sheria za UN zikapinga!!!

Jibu kunaweza kuwa zinapita Bus tano mpaka 8 za Wanafunzi au raia juu ya Daraja!!!!
.
So unaweza kuuwa raia zaidi mia400 ndiomana UN wakazuiya kupigwa maeneo ya Kiraia!!!!

Kwanini upige maeneo ya Kiraia !!!

Kwani maeneo ya Kijeshi hakuna ❗️❗️

Sasa ukubwa wa Marekani Kijeshi upo wapi kama anavizia miundombinu ya Kiraia badala ya Kijeshi!!!!

Iranian ingekuwa dhaifu Marekani isingetafuta Suluhu yoyote kwao kumtoa Makam Rais wa Marekani kumpeleka mpaka Pakistani kutafuta Suluhu bado wewe unawaita dhaifu

Ndiomana Wananchi wakaambiwa waende kuzuiya ujuma ilio kinyume cha Sheria za UN..

nyie Walokole bonyokwa mmeona mfanye propaganda kinyume na Ukweli wake!!

Ndiomana mkaitwa kondoo Mliopotea 👹👹👹 au nasema uwongo ndugu zangu rip JPM.
 
Back
Top Bottom