Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wakati tukijiandaa na mtanange kipindi cha pili baada ya majadiliano kushindwa kuzaa matunda, ngoja tuweke rekodi sawa ili tusiwe tunapindisha mada kila mara humu ndani.
Malengo ya uvamizi wa kijeshi wa marekani na israel pale Irani ni, kubadilisha utawala wa Ayatollah, kuzuia urutubishaji wa uranium pamoja na umiliki wa bomu la nyuklia, kuzuia Irani isitengeneze makombola ya masafa marefu pamoja na kudhoofisha proxies wa Iran pale Mashariki ya kati
Tuishi humu katika mijadala yetu wadau
 
Si mlisema mmarekani kashindwa vita
Sasa huo ubavu wakumshambulia mbabe wake kautoa wapi?
 
Kuomba majadiliano ya kusitisha vita pia ni dalili kuwa marekani hali haiko upande wake. Ingekuwa Iran ndiye kaomba usitishwaji vita angekubaliana na masharti ya marekani. Kinachomponza marekani ni kiburi chake tu ila mambo sio mambo
 
Wakati tukijiandaa na mtanange kipindi cha pili baada ya majadiliano kushindwa kuzaa matunda, ngoja tuweke rekodi sawa ili tusiwe tunapindisha mada kila mara humu ndani.
Malengo ya uvamizi wa kijeshi wa marekani na israel pale Irani ni, kubadilisha utawala wa Ayatollah, kuzuia urutubishaji wa uranium pamoja na umiliki wa bomu la nyuklia, kuzuia Irani isitengeneze makombola ya masafa marefu pamoja na kudhoofisha proxies wa Iran pale Mashariki ya kati
Tuishi humu katika mijadala yetu wadau
Wakija member wa kwaya ya mtakatifu Gwajima watakwambia tumeua viongozi wao 60,haya what achieved after that!? Watakwambia Trump Kasema Trump kasema
 
Sahizi sisi tunajiandaa kama mlitaka mtumie muda wa Ceasefire kujipanga upya msidhani na sisi tulirelax
1774978362327.jpg
 
Here we go again
Trump says US to blockade ships crossing Strait of Hormuz.
Al Jazeera

Hizi taarifa plus taarifa za Trump kuitishia China kuhusu kuwaongezea ADs na silaha nyingine Iran....
Hii vita ni zaidi ya Nuclear program ya Iran
 
Wakati tukijiandaa na mtanange kipindi cha pili baada ya majadiliano kushindwa kuzaa matunda, ngoja tuweke rekodi sawa ili tusiwe tunapindisha mada kila mara humu ndani.
Malengo ya uvamizi wa kijeshi wa marekani na israel pale Irani ni, kubadilisha utawala wa Ayatollah, kuzuia urutubishaji wa uranium pamoja na umiliki wa bomu la nyuklia, kuzuia Irani isitengeneze makombola ya masafa marefu pamoja na kudhoofisha proxies wa Iran pale Mashariki ya kati
Tuishi humu katika mijadala yetu wadau
Hawawezi kuishi humo maana west proxy hawaelewi wanataka nini
 
Trump yuko kwenye wakati mgumu sana pengine kushinda marais wengi waliomtangulia
Na mayahudi probably walijua kumuingiza chaka wakati huu kwa kua hakuna nafasi ya ku back down kwa US bila madhara makubwa
Kumaliza vita bila objectives walizojiwekea kukamilika ni sawa na kushindwa na kukubali kushindwa ni sawa na kukubali kuachia hegemony yake na Iran ni taifa muhimu katika hilo
Hivyo analazimika either Iranians wakubali masharti yake au afanye annihilation alinde kiti kwa nguvu na hili ni hatari sana hata Trump anafahamu hilo ndiyo maana anarukaruka kujaribu kubuy time na vitisho na kuropoka hovyo
Aftermath is unthinkable endapo kama tutafikia hapo.
 
Back
Top Bottom