Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Mbinu ya kutumia Raia ni ishara ya jeshi ya Iran kusarrenda na kuomba msamahaNan ameomba cease fire mara yamwisho ishu ilikua marekan alipue vituo vya nishati nakuipeleka Iran stone age tukaona raia wakipelekwa kuwekwa human shield then dakika zajion tukasikia majamaa wamekubal mazungumzo
Does military operations achieved?Kwanini mnapenda kujifaraji Kwa uongo
Iran imepigwa na Bado imelazimishwa mazungumzo na isipokubali inabondwa tena
Wewe ni mjingaMm hapo Israel kuvunja kanuni za mazungumzo siyo Msingi wa hoja yangu...
Kumbuka Iran iliwasilia proposal tu.. it can be accepted or rejected na ipo kwenye mazungumzo kipi kikubaliwe au kikataliwe so let's wait and see kwenye hizo proposal za Iran ipi imekubaliwa then ndiyo utauliza hili swali
Point yangu na swali la Msingi ni Kuwa Kwanini Marekani military operations yake ime-fail hapo Iran?
Kitendo Cha Marekani kuomba negotiations na Iran, tayari ushindi mkubwa sana kwa Iran.
Kama ndiyo hivyo! Mbona military operations haijatimizwa hapo Iran?Mbinu ya kutumia Raia ni ishara ya jeshi ya Iran kusarrenda na kuomba msamaha
Tumia akili kunijibu swali langu hapo juu.Ila Kwa vile hutumiagi akili huwezi kuelewa
Yes 💯Does military operations achieved?
Wewe ndo maana nasema tumia akiliKama ndiyo hivyo! Mbona military operations haijatimizwa hapo Iran?
Tumia akili kunijibu swali langu hapo juu.
Wasilisha hoja yako bila matusi..! JITAFAKARI.Wewe ni mjinga
Kwanini US amlazimishe kama yeye ni superpower alishindwa vipi kwenda kufungua?Marekani amemlazimisha Iran kufungua. Mlango bahari na arejee kwenye mazungumzo
Ujinga sio tusi ni kukosa uelewa wa jambo kama wewe kuhusu hii vita una ujinga FulaniWasilisha hoja yako bila matusi..! JITAFAKARI.
Kwanini US amlazimishe kama yeye ni superpower alishindwa vipi kwenda kufungua?
How?Yes 💯
Rescue mission ipi? Mbona Ndege zote zilipigwa chini au wewe unafuatiliwa lipi?Kwanza tulitegemea rescue mission jeshi la Iran longejitokeza kuzuia mateka likajifungia ndani
Unajua maana human Shield? (Ku- Google)Pili wakati Marekani imetaka kushambulia power plant tulitarajia jeshi liwe front kuzuia
Wanalazimisha raia kuingia front
Kama ni hivyo basi saivi tungeona Kuna Ground invasion, regime imebadilishwa.. lakini mpaka saiv hamna kitu Cha maana ambacho US amefanya hapo middle east zaidi ya kutia hasara Gulf CountriesJeshi la Iran limeshindwa vibaya
Utu upi? Si useme wameshindwa! Kama angekua na utu kwanini alishambulia shule na kuua watoto wasiyo na hatia zaidi ya 175?Marekani Ina utu inagoma kushambulia raia
Anyway kufunga mjadala mm na ww.Wewe ndo maana nasema tumia akili
Jeshi la Iran kama Bado Lina nguvu lisingetanguliza raia
Ni sawa na Nyerere atangulize wahaya kule Kagera. Mbele ya mizinga ya idd amini kipindi kile
Hapana, ili Idan afanye negotiation ilikua lazima Israel waache mashambulizi ndani y Lebanon. Walisema hawataenda Pakistan kufanya negotiation Kama Israel ataendelea kuishambulia Lebanon. but wameendaMm hapo Israel kuvunja kanuni za mazungumzo siyo Msingi wa hoja yangu...
Kumbuka Iran iliwasilia proposal tu.. it can be accepted or rejected na ipo kwenye mazungumzo kipi kikubaliwe au kikataliwe so let's wait and see kwenye hizo proposal za Iran ipi imekubaliwa then ndiyo utauliza hili swali
Point yangu na swali la Msingi ni Kuwa Kwanini Marekani military operations yake ime-fail hapo Iran?
Kitendo Cha Marekani kuomba negotiations na Iran, tayari ushindi mkubwa sana kwa Iran.
Sawa, hongera sana kwako wewe unaye elewa mambo. Kila la kheri.Hii comment yako inasikitisha inaonyesha wewe ni mtu usiyekua na uwezo wa kuelewa mambo. Nimekuonea huruma
Wewe ndo maana nasema tumia akili
Jeshi la Iran kama Bado Lina nguvu lisingetanguliza raia
Ni sawa na Nyerere atangulize wahaya kule Kagera. Mbele ya mizinga ya idd amini kipindi kile
Sijaenda Kwa kweli 🙌😁Marekani katuharibia starehe yetu kwa kuomba cease fire