City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hakuna haja ya ground invasion, Wairan wenyewe watamaliza kazi iliyobaki.Nataka kuona ground invasion ya U.S na Israel hapo Iran bila hivyo watanipa mashaka makubwa mno juu ya utayari wao na resources walizo ziandaa kwa miezi mingi
Propaganda, hao ni afghans na jews na wairan wachache ambao hawajielewi...Hakuna haja ya ground invasion, Wairan wenyewe watamaliza kazi iliyobaki.
Fikira leo Atokee mtu ashambulie kambi na ofisi zote za JWTZ, Polisi, Serikali na CCM unadhani nini kuwazuia watu kuchukua nchi
View: https://x.com/FaytuksNetwork/status/2027864778190848139
Sio mara ya kwanza Iran kushambuliwa, hao wananchi watachukua vipi hiyo nchi bila kuangushwa kwa serikali na jeshi ?Hakuna haja ya ground invasion, Wairan wenyewe watamaliza kazi iliyobaki.
Fikira leo Atokee mtu ashambulie kambi na ofisi zote za JWTZ, Polisi, Serikali na CCM unadhani nini kuwazuia watu kuchukua nchi
View: https://x.com/FaytuksNetwork/status/2027864778190848139
Kwa maelezo ya Trump muda huu, anasema wanajeshi wengi wamedefectSio mara ya kwanza Iran kushambuliwa, hao wananchi watachukua vipi hiyo nchi bila kuangushwa kwa serikali na jeshi ?
Ajabu ni kuwa matatizo aliyo nayo Iran na mataifa yote ya middle east ya kiintelijensia dhidi ya Israel ndio waliyo nayo U.S na Russia dhidi ya Israel[MOSSAD]100 others Khaibar
Pamoja kuwa mnaipenda Iran(mpo sahihi Ni haki kwenu), lakini lazima mkubali Iran wana udhaifu kwenye intelijensia yao
June mwaka jana shambulizi la kwanza tu waliuliwa mkuu wa majeshi na majenerali wengine.
Safari hii shambulio la kwanza tu limeondoka na Ayatollah, mtoto wake na wanafamilia wengine pamoja na waziri wa ulinzi.
Iran walikua hawajui kuwa watashambuliwa?? Ulinzi kwenye makazi ya Ayatollah na wanafamilia ilipaswa kuwa wa juu sana. Air defense system za eneo lote la makazi yao ilipaswa kuwa ya juu sana. Lakini sababu ya huo udhaifu inafanya kila mara wapate madhara makubwa
Trump ana zungumza sanaπ₯π₯π₯π₯
Trump: wengi wa wanajeshi wa Iran, polisi na Askari wengine wameamua kuacha kupigana wanataka wahakikishiwe usalama wao na marekani
Trump huzungumza na kuandika chochote,lolote wakati wowote vile ajisikiavyo.Kwa maelezo ya Trump muda huu, anasema wanajeshi wengi wamedefect
Ayatollah kufariki haitobadilisha chochote..100 others Khaibar
Pamoja kuwa mnaipenda Iran(mpo sahihi Ni haki kwenu), lakini lazima mkubali Iran wana udhaifu kwenye intelijensia yao
June mwaka jana shambulizi la kwanza tu waliuliwa mkuu wa majeshi na majenerali wengine.
Safari hii shambulio la kwanza tu limeondoka na Ayatollah, mtoto wake na wanafamilia wengine pamoja na waziri wa ulinzi.
Iran walikua hawajui kuwa watashambuliwa?? Ulinzi kwenye makazi ya Ayatollah na wanafamilia ilipaswa kuwa wa juu sana. Air defense system za eneo lote la makazi yao ilipaswa kuwa ya juu sana. Lakini sababu ya huo udhaifu inafanya kila mara wapate madhara makubwa
Alikua anataka kufa yeye na familia yake yote? Na waziri wa ulinzi? Na wasaidizi wake wote?Ayatollah kufariki haitobadilisha chochote..
Ayatollah ni kama alitaka kulengwa na hayo mashambulizi, maana alikuwa kwenye makazi kawaida tu na familia yake.
Hao kifo kama hiko wao wanasema wamekufa shaheed, na wanatamani vifo vya namna hio, na wanawaonea wengine wivu wakitangulizwa mbele za haki kwa staili hio π ..
Sioni kama ni ushindi kwa Israel na US kumuua Ayatollah ambae ana miaka 86 na alishamaliza kazi yake, ameshawalisha ideas zake na falsafa zake.