WAnasemaga iran alikua mdau wake marekani mkubwa tu huko zamaniKabisa mkuu, waliiwekea nchi yao ulinzi wa UKWELI NA UHAKIKA. Hakuna anaesogeza pua yake kuishambulia nchi yao. Iran alichelewa sana katika hili
Airspace inafungwa wakati wa vita kwa sababu Iron Dome hata kama ni best bado ufanishi wake ni 90% tu, alafu pia ni rahisi mifumo ya ulinzi wa anga kufail na kutungua ndege ya abiria, ni kawaida sana...
Kalaga baho! Israel italiliwa na dunia nzima mana ndo mission ya kupima uwezo wa bomu jipya la ibn qubul burdushaaIran italipizaji kisasi wakati USA imejipanga kuingia vitani kuibonda Iran? Iran ikae kimya tu mambo yasiwe makubwa, maana haitaweza kupigana na Israel na USA kwa wakati mmoja, mkumbuke kuna washirika wa NATO nao wataingia vitani kumsaidia mwanachama mwenzao USA
Mkuu huu Uzi ni wa vita ya USA na Iran hizo porojo zako peleka jukwaa la historia.Out of topic
Huwa najiuliza, pengine Wapalestina ndio Waisrael wa Mussa (Taifa Teule) kwani pia wapo lile eneo la Israel kwa Asili; Inakuwaje wanao jiita Waisrael na manguvu yao yote wanapigana vita na Palestina tangu miaka ya 1970, ambao hawana hata silaha ila wanaojiita waisrael wanachoka na kuomba vita iishe na chap unakuta palestina imejengeka? Ninawasisi, taifa teule ni Wapalestina.
Turudi kwenye Historia;
Baada ya vita kuu ya Pili, mwaka 1945, Marekani iliwazawadia mamluki walio isaidia kwenye Vita ambao wengi wao walikuwa ni Wajerumani; wale waliokuwa weupe (Wazungu) wakazawadiwa eneo la Palestina, tunalolitambua kama Israel kwa sasa na wale weusi (Waafrica) wakazawadiwa eneo la Africa magharibi linalo tambulika kwa sasa kama Ivory cost.
Ni mtazamo tu!
🤣🤣 teule gang ni janga sanaItakieni amani Israel
Mungu tulindie Israel yetu kwa wivu mkubwa
ikatawale kuanzia Sinai had damsucus ya kale Hadi vilima vya Herman
kuanzia ng'ambo ya Jordan Hadi judea na samaria ...
mashujaa wrtu warudi na ushindi kamili
adui aangamie asurud tena
Hatuna mkatholic km weweMkuu,hata mimi ni mkristo tena Mkatoliki. Ila tafadhali,tusitumie maneno MATAKATIFU ya Biblia kushangilia vifo na mauaji ya wengine. Hawa wakuu wa dunia wanafanya mambo kwa tamaa zao na sio kwa manufaa ya kiimani au kwa sababu wao wanampenda Mungu. Mwisho wa siku wanaolipa gharama za vita ni watu wa kawaida wasio na hatia huku wanaofaidika wakiwa wanasiasa. Hivi vita vikikolea,tutakaoteseka zaidi ni sisi nchi maskini maana bei ya mafuta itapanda maradufu na hatuna akiba za kujitosheleza muda mrefu wakati wa majanga
Hamna kitu kama hicho mjomba, hii vita ni ya Marekani na Iran.Kalaga baho! Israel italiliwa na dunia nzima mana ndo mission ya kupima uwezo wa bomu jipya la ibn qubul burdushaa
Juzi tu Israel iliomba msamaha na kikao juu Iran ikasema imewasamehe lakin kuna mabomu bado hayajatua toka yaagizwe yanakunywa maji katika ozone layer
Mafuta kupanda bei ni lazima mkuu hata kama serikali isipotafuta visingizio. Asilimia 20 ya mafuta yanayotumiwa na dunia yanapita kwenye Mlango wa Hormuz hapo Iran, vita itaathiri usafirishaji wa mafuta kwa namna moja au nyingine. Tutakaoteseka ni sisi nchi maskini tena za Afrika ambao tumeshindwa kujenga refinery tusafishe mafuta yetu yaliyotapakaa bara zima badala yake hadi leo tunategemea kuagiza mafuta nje.Ngoja na serikali yetu ipate visingizio mafuta yapande kila kitu kiwe ghali😢😢😢
Tulia ushuhudie unabii ukitimia bro. Waliomtundika YESU watamlilia soon:Wayahudi hawamjui Yesu bro..
China yuko busy na uchumi, Taiwan itarudi kilaini sana. Wao wenyewe watakuja kuamua kurudi ili kuwa taifa moja lenye nguvu.Daah ila huu uonevu mpaka lini? Haya huu ndio muda china nae aikamatie chini Taiwan maana USA yuko busy na Iran.
Mkuu, basi tuishie hapa. Maneno yako ni makali sana aisee. Samahani kama nimekukeraHatuna mkatholic km wewe
wewe ni Shia Gaidi km Ayatollah
Kama ni mkristo lakini ukisoma Biblia utajua ni kwanini walisambaa Dunia nzima,Out of topic
Huwa najiuliza, pengine Wapalestina ndio Waisrael wa Mussa (Taifa Teule) kwani pia wapo lile eneo la Israel kwa Asili; Inakuwaje wanao jiita Waisrael na manguvu yao yote wanapigana vita na Palestina tangu miaka ya 1970, ambao hawana hata silaha ila wanaojiita waisrael wanachoka na kuomba vita iishe na chap unakuta palestina imejengeka? Ninawasisi, taifa teule ni Wapalestina.
Turudi kwenye Historia;
Baada ya vita kuu ya Pili, mwaka 1945, Marekani iliwazawadia mamluki walio isaidia kwenye Vita ambao wengi wao walikuwa ni Wajerumani; wale waliokuwa weupe (Wazungu) wakazawadiwa eneo la Palestina, tunalolitambua kama Israel kwa sasa na wale weusi (Waafrica) wakazawadiwa eneo la Africa magharibi linalo tambulika kwa sasa kama Ivory cost.
Ni mtazamo tu!
israel ipigwe bomu la kuiangamiza, marekani itakuwa imelala usingizi gani ishindwe kuiadhibu iran? Unajua muundo wa vita hii lakini?Kalaga baho! Israel italiliwa na dunia nzima mana ndo mission ya kupima uwezo wa bomu jipya la ibn qubul burdushaa
Juzi tu Israel iliomba msamaha na kikao juu Iran ikasema imewasamehe lakin kuna mabomu bado hayajatua toka yaagizwe yanakunywa maji katika ozone layer
Marekani apigan na Iran direct, hao aliowatanguliza ndo watakoona kilicho cha moto. Yeye hata kama atashinda lakin nina hakika Israel hatakubali kutumika tena kama awamu hii. Hii itakuwa ya mwisho na fundishi kwakeHamna kitu kama hicho mjomba, hii vita ni ya Marekani na Iran.
Huwez kuwa mkirsto ukachekelea watoto wakiisrael walivyoangamizwa na Iran kwa mgongo wa HamasMkuu, basi tuishie hapa. Maneno yako ni makali sana aisee. Samahani kama nimekukera
Nahakikisha muda wote humu JF kwenye hii Thread mkuu ili nipate updates zako.Israel official statement imesema kuwa siku 4 zijazo zitakuwa ngumu zaidi Kwa Iran, maana Leo Israel inafanya kazi ya kupiga rada zote, viwanja vya ndege na kambi zote za kijeshi
Enzi za shah PahlaviWAnasemaga iran alikua mdau wake marekani mkubwa tu huko zamani