Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Njia ya Bombers zinatayarishwa ili kumaliza kila kitu Iran waanze upya
 
Ndio maana wanataka wana nchi waingie barabarani waandamane ili kutokee uasi ili serikali ipinduliwe kutoka ndani.
Na haya maombolezo yanayo endelea ni kama bado mambo yapo 50/50 kuendelea kusubiri civil war itokee au uvumilivu uwashinde wazame kama Iraq au wakimbie wajipange upya tena bado mambo magumu
 
Anayefuata ni China, a paper tiger (mbwa asiye na meno). Na this time milio itakuwa mingi sana, fikiria milio ya Wachina zaidi ya bilioni moja. We will be there to collect their tears.
 
Anayefuata ni China, a paper tiger (mbwa asiye na meno). Na this time milio itakuwa mingi sana, fikiria milio ya Wachina zaidi ya bilioni moja. We will be there to collect their tears.
Anafuata lini ? Ili tusubirie tumuone huyo paper tiger

Kukusaidia China na Marekani zimewahi pigana na huyo paper tiger alimpa somo Marekani mpaka akatishia matumizi ya bomu la nyuklia tena kipindi hicho huyo China alikuwa choka mbaya aliye athiriwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
Israel haina hasara kila gharama hapo anayelipa ni Marekani. Marekani ndio anagharamia kila kitu hapa. Pia anaiahinikiza Iran kijeshi kwa niaba ya Israel. Marekani anataka kuifanya Israel kuwa Super Power wa Mashariki ya Kati. Kikwazo ni Iran sasa wanatumia shinikizo kubwa kuifanya Iran isalimu amri iwe kama Syria, Lebanon, Jordan, UAE, Bahrain, Iraq, Qatar, Kuwait, Egypt. Baada ya Iran ni Pakstan na Uturuki.
 
China ipi hiyo!? ya huyu clown!?
 
Amka mkongwe!
Wachina weusi, amkeni, mtajikojolea.

Kila siku Xi anahangaika na makamanda wake wa jeshi wanaotaka kumpindua, yaani huyu Marekani wakitaka kumzima, anapulizwa kama mshumaa. Iv, unajua kuna scandal kubwa sana za ufisadi na usaliti kwenye Jeshi la China
 
muda sio mrefu misri nayo itaanza kupokea kichapo
Misri koloni la Israel hivyo Marekani na Israel hawawezi shambulia maana ilisalimu amri zamani ndio maana hata haina msaada wa Palentina, wamefunga mpaka wa Rafah huku ndugu zao wakifa kwa kukosa mahitaji muhimu. Pia wanashare intel na Marekani na Israel kuhusu Hamas.
 
Inachofanya Iran heshima kwake hata akianguka hizi guts za kukabiriana na mataifa makubwa mawili na ile military buildup niliyokuwa naiona kwa miezi kadhaa hapo mashariki ya kati mataifa mengine yangekuwa yamekwisha salimu amri muda tu hata kabla ya kichapo.

Israel imeweka historia ya kutumia ndege nyingi kwa wakati mmoja na Iran bado ipo heshima kwao aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…