Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

kuna ushaidi wingi , ona kila sehem waarabu wapo na ndo zao la waarabu wakolon waliokuwa wanaenda maeneo mbali mbali kupora ardhu na utajiri wa watu
 
Ukienda kwenye dini mvamizi ni Myahudi alitoka Misri akaenda hapo alipo na aliwakuta watu ,kabla ya kwenda Misri Kwa njaa Wayahudi walikuwa wanaishi wapi? Walikotoka kabla ndio kwao ila sio hapa Kwa Wapalestina huu ni uongo.
kwan nabii issa uzao wa bi maryam walikuwa wapalestina?
 
Hiyo ni ardhi ya Wayahudi na Wapalestina,
Waarabu na Wapalestina hawawataki Wayahudi hapo, kwa muda mrefu walikuwa wanapiga 2 states solution.
Kazi ya Israel ni kujimegea maeneo kadiri atakavyo wewe ungekuwa mpalestina ungekubali ?
 
Unachanganya mambo,
Kusema Waisrael wana haki na ardhi waliyo nayo Mashariki ya kati haina maana kujustify vita, ukatili na vurugu za kugombania ardhi zinazoendelea eneo hilo.
Wana haki nayo ipi ?
 
Waliichukua kwa mtindo gani ? Na kwa nini wachukue ardhi isiyo yao ?
Kwa mtindo Wamerakini walivyoichukua ardhi ya Wahindi wekundu au Waarabu walivyoichukua Misri ya leo kutoka kwa Wamisri original.
 
elewa karne ya 7 ndo inazungumziwa sio miaka 1000 hata kabla ya yesu kuzaliwa
 
Ni sawa ?
Kama sio sawa anza kwanza kudai Waarabu waondoke Misri, Morocco, Algeria na Tunisia na Wazungu na Blacks waondoke kabisa katika mabara ya America Kaskazini na Kusini na Wazungu pia waondoke Australia na New Zealand.
 
Kama sio sawa anza kwanza kudai Waarabu waondoke Misri, Morocco, Algeria na Tunisia na Wazungu na Blacks waondoke kabisa katika mabara ya America Kaskazini na Kusini na Wazungu pia waondoke Australia na New Zealand.
Nimekuuliza kiufupi tu. Ni sawa ?Ila umeamua kunipa mipasho.

Nakuuliza tena. Ni sawa ?
 
Kwani wanafaida gani kuwepo kwao? Kutwa mikelele tu. Wamalizwe wote tu.++Tukimaliza Palestina tunaingia Saudi Arabia. Maliza wote na mikanzu yao.
bangi hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…