4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kuna ushaidi wingi , ona kila sehem waarabu wapo na ndo zao la waarabu wakolon waliokuwa wanaenda maeneo mbali mbali kupora ardhu na utajiri wa watuStori ya upande mmja,tupeni stori ya Wapalestina maana hiyo ya Netanyahu ni ya kujitetea.
Mwenye stori ya upande wa pili nae aiweke ili tulinganishe.
Tujue Mpalestina akitoka wapi maana isijekuwa wakati wa tawala zote hizo za kale na Wapalestina walikuwepo na kutawaliwa pia au isijekuwa ni ugomvi wa watu wa familia Moja.
Kusema Wayahudi walifurushwa na Wapalestina/Waarabu inaleta ukakasi.