Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Nenda kasome historia vizuri ya lile eneo, unafuata propaganda mfu
 

Mandela alimtosa Nyerere? Wacha wewe. Mandela kalamba Nobel, kamaliza apartheid, heshima yake duniani Haina mfano nk, huyo mjinga na mpuuzi kuliko wewe?!

Itakuwa buza ya wapi ndugu?
 


Wayahudi wapi unao ongelea. Hawa waliopo sasa wametoka nchi za Ulaya kuanzia miaka 75 iliyopita!. Wengi ni waabudu wa dini ya kiyahudi lakini sio kabisa wale waliokuwepo miaka hiyo!. Kuna watu wengi wanaitwa wayahudi kwasababu tu ya kuabudu dini na sio lazima wale jamii hii naona wengi wanajichanganya. Ukifuatilia DNA wayahudi wa miaka 2000 iliyopita wengi wapo North Africa, East Africa na wengine walibaki sehemu ile. Hawa wanao ongoza wengi wametoka German na Poland
 
Ahsante kwa kushare
 
Mandela alimtosa Nyerere? Wacha wewe. Mandela kalamba Nobel, kamaliza apartheid, heshima yake duniani Haina mfano nk, huyo mjinga na mpuuzi kuliko wewe?!

Itakuwa buza ya wapi ndugu?
hao waliokuwa wanampa nobel prize, ndio waliokuwa maadui wa nyerere na Tanzania wakati yeye akiwa gerezeni tunampigania, alitakiwa anapopokea hizo nobel prize basi awe anatuacknowledge. ulishawahi kumsikia zaidi ya kukenua mimeno yake ile tu? unajua kama Tanzania zamani ndio ilikuwa Iran ya Africa? vile iran inavyotrain hamas na hezbullah hadi inawekewa vikwazo, sisi pia tumetrain wapiganaji wa south africa, angola, mozambique, namibia na zimbazwe, wapo hadi leo wameishi hapa na wanaongea kiswahili kizuri tu? hao kina mbeki, zuma na wote hao walishakuwepo hapa. ulishawahi kuoan hata siku moja ametuacknowledge? wakati wa kifo chake, kikwete alitoa utani kwamba mandela alisafiri kwenda nje kwa passport ya Tanzania, at least pengine wakumbuke mchango wetu ila wakapotezea. wewe ni mburura ya wapi?
 
Yeah yuko sahihi ila amenikera kuua wapalastetine wengi namna hii angeishi kwenye 1500 kushuka chini duh kazidi sana
Hayuko sahihi,wayahudi kazi yao kuibadili history iendane na agenda zao, byzantine waliwatimua, waislam chini ya ummar wakawarudisha baada ya kuwatimua wabynztine
 
hapo cha ajabu nini? walikuwa wanarudi kwenye ardhi ya kwao baada ya kuikimbia kwa miaka mingi. shida yenu huwa hamsomi na elimu dunia kwenu mnaipuuza, haya mambo yapo documented, asiye na akili tu anaweza kubisha kwamba ile ardhi ni ya waisrael, pamoja na uwepo wa evidence kibao ambazo bado zipo. sawa na wewe umefungwa gerezani umekaa huko miaka 30, unarudi kwenye nyumba yako mtu amevamia anaishi na ameshazaa watoto, baba kafa watoto wameachiwa urithi, na ile unaona kabisa ni nyumba yako una ushahidi, kwanini usinyang'anye kilicho chako?
 

Ondoka Buza huko ukajifunza historia.

Julius Nyerere, Mandela and Winnie at Dar es Salaam | South African History Online

Waonekana kumwongelea Savimbi na kina Nkomo wewe.

Nyerere hakuwahi kuwa na tatizo na Mandela.

Nelson Mandela travels through Africa – Nelson Mandela Foundation

Punguza makasiriko ndugu. Mandela hana cha kufanya na maisha magumu Tanzania. Komaa na CCM sIyo Mandela ndugu.
 
achana na kuja dsm au popote, kwenye zile international platforms ambazo alimtaja hata fidel castrol, kwenye international media, uliwahi kusikia amemtaja nyerere?
 
Yani hawa waisrael waliondoka karne ya 7 wakarudi karne ya 19 takribani miaka 1200 hawa jamaa ni kama wavamizi tu.
 
achana na kuja dsm au popote, kwenye zile international platforms ambazo alimtaja hata fidel castrol, kwenye international media, uliwahi kusikia amemtaja nyerere?

Uliwahi kumsikia Nyerere akilalamika?
 
Kwa kuomba? Wanyenyekevu kabisa
 
nyerere alikuwa mstaarabu wala asingelalamika. alimwachia Mungu. angelalamika angeaibika tu.

Acha hizo ndugu. Mtadanganyana hizo huko huko. Mandela alikuwa jembe. Wewe na fake ID kumvaa huyo hujihurumii?
 
Acha hizo ndugu. Mtadanganyana hizo huko huko. Mandela alikuwa jembe. Wewe na fake ID kumvaa huyo hujihurumii?
mandela alikuwa jembe kuliko nyerere? unaongea nini wewe? mandela amelialia tukamwonea huruma na kupoteza hadi uchumi wetu hapa tunampigania yeye yupo gerezani hadi watu wetu wameuliwa kwasababu yake, halafu unakuja kusema alikuwa jembe? alifanya nini cha maana? kukubali kuishi pamoja na wazungu? icho tu? wakati alikuwa hana namna lazima angefanya hivyo tu? tuambie amefanya nini cha maana? yeye yupo gerezani wengine ndio wanapambana. hata aliyekuwa mkewe winnie, alipambana na alikuwa jembe kuliko mandela.

wazungu walimpa nobel prize kwasababu apartheid ilienda miaka mingi, walitegemea kuwakuta na kulipiza kisasi, lakini akasamehe yote. kule kusamehe tu ndio aliwafurahisha wazungu ambao walikuwa wanatuita sisi iran na tulinyimwa hadi misaada kwasababu ya kumsaidia yeye akiwa gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…